kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Asusiwa chakula msibani kisa huwa hali kwenye misiba ya wengine

    Tulikuwa kwenye msiba mmoja huku Buhigwe Kigoma, tulikuja kumsindikiza jamaa yetu aliyefiwa na dada yake, kufika msibani watu walikuwa wengi tu kama kawaida ya msiba huku watu wakiendelea kumsadia mfiwa shughuli za pale kama kuandaa chakula. Cha kushangaza baada ya kumaliza kupka kila mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Kisa cha Dr. Nyambane na mauaji ya mkewe huko Kenya

    Taasisi ya ndoa na mahusiano kwa ujumla ni taasis yenye changamoto nyingi san . wewe Ikiwa uko kwenye ndoa na mambo yanaenda vizuri , basi hiyo ni baraka kubwa sana na umshukuru sana baba muumba aliye juu Mbinguni. Kisa hiki nachokupa kimetokea huko Kenya kwa majirani kwenye Kaunti ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mipango ya siri ya Walokole na WAKRISTO kumuua Civilian-Coin kisa hamwamini Yesu Kama Mungu wao imevuja.

    Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin. Hata...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Bunda DC hatujapokea Posho za Masaa ya ziada mwezi Julai, inadaiwa zimegharamia mbio za Mwenge

    Habari, nawasilisha malalamiko haya kwa niaba ya watumishi wa Bunda DC. Kwa kawaida, watumishi tumekuwa tukipokea posho za masaa ya ziada kila mwezi, fedha ambazo hutolewa na Hazina kwa ajili ya kuwalipa watumishi wanaostahili. Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida, hadi sasa hatujapokea...
  5. JamiiForums Tanzania Kisa cha Mary J. Blige: Usaliti na Mtego wa Fedha

    Katika umri wa miaka 47, akiwa anatakiwa kupumzika na kufurahia matunda ya jasho lake la zaidi ya miaka 20 kwenye muziki, Malkia wa Hip-Hop Soul, Mary J. Blige, alipanda jukwaani usiku na mchana kufanya ziara (tours) za kimataifa bila kupumzika. Lakini safari hii, hakuwa anafanya shoo hizo kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu kureport ametukanwa kisa kazidiwa hoja ni utoto

    Kuna watu humu wanaroho nyepesi sana. Yaani hawana emotional maturity kabisa Yaani nimeanzisha uzi unakuja na maneno machafu, then na kujibu kiustaarabu alafu una report kwa modz eti umetukanwa? Aisee mnachekesha sana. Anyways.. Najua mimi ni platinum maana hakuna kiumbe mwingine hapa wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa cha Zimbabwe kuchapisha kiasi kikubwa cha fedha, lakini bado ikakabiliwa na upungufu wa cash mtaani

    Tujikumbushe kuhusu kisa hiki cha Zimbabwe Thamani ya fedha iliporomoka kiasi kwamba manunuzi ya kawaida yalihitaji kiasi kikubwa sana cha noti, hali iliyozalisha picha maarufu za watu kubeba mafungu makubwa ya fedha kwa ajili ya bidhaa za msingi. Cha kushangaza zaidi ni kwamba, pamoja na...
  8. JamiiForums Tanzania Kisa cha Dola 10 Zilizotupwa Mtoni jasho la mtu haliliwi

    Salamu sio lazima twende moja kwa moja kwenye kisa Cha kweli chenye hekima kubwa👇 Zamani kidogo, kulikuwa na mzee mmoja tajiri na mchapa kazi aliyekuwa anamiliki mali na biashara nyingi. Alikuwa na mtoto mmoja wa kiume aliyekuwa mvivu sana, asiyetaka kufanya kazi yoyote na aliyekuwa anasubiri tu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aliingilia Msafara wa Mwenge na hicho ndicho Polisi waliamua kumfanyia. Je, ni haki?

    Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha? Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kisa cha jamaa anaetembea na mke wa fundi kinyozi

    Jamaa mmoja aliingia saluni akakuta Pana watu kama watano na kinyozi wa sita. Akauliza kama kuna foleni kubwa akajibiwa kwamba wanao nyoa ni watatu tu yaani aliyekuwa ananyoa kwa muda ule na wengine wawili waliokuwa wameketi kwenye sofa, hawa wawili wengine walikuwa washkaji zake kinyozi...
  11. JamiiForums Tanzania KKKT Loliondo wasalia nje kisa hawamtaki Mchungaji aliyeletwa na Askofu

    Mgogoro unaendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Loliondo, Jimbo la Maasai Kaskazini, umeingia katika hatua mpya baada ya waumini kuendelea kufanya ibada nje ya jengo la kanisa kwa zaidi ya wiki nane, wakipinga kuondolewa kwa mchungaji wao, Hery Johannes...
  12. JamiiForums Tanzania Kisa cha Irene Gakwa na Nathan Hightman. Unsolved murder mystery.

    Nimekutayarishia tafsiri ya Kiswahili sanifu, rahisi kueleweka na yenye mtiririko mzuri: Writing Irene Gakwa alikuwa na umri wa miaka 32. Alizaliwa na kukulia karibu na jiji la Nairobi, Kenya, katika familia iliyokuwa na upendo na mshikamano mkubwa. Alikuwa mtoto wa mwisho kati ya watoto...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

    Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
  14. JamiiForums Tanzania Jamaa amwaga chozi kisa kukuta SMS zangu kwenye simu ya mwanamke wake

    Shimboni, 2016- nimetulia zangu mtaani ghafla sister binamu ananiletea kischana kizuri , ananitania kaka nimekuletea mchumba naona umekaa kizembe sana, nikatabasamu, ilikuwa jioni ya saa mbili Tukapiga story tukiwa wote watatu, then nikawasindikiza mtaani kwao, mara mazoea na kile kischana...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna kisa cha ajabu sana; Baada ya kunikopesha na kurudisha kwa wakati niripo rudi tena kukopa kagoma kabisa na kunipa sababu.

    Kuna jamaa yangu kanisumilia kisa ambacho nimeanza kufikiria hizi tabia za watu wa mikopo. Jamaa alipata changamoto kwenye biashara zake. Muda wa kupata pesa kuziba changamoto ulikuwa mdogo sana ikabidi kwenda kwa hawa wenye kukopesha haraka ukiweka mali. Jamaa akaweka nyumba bond na kupewa...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Msikiti wa Kichangani, Sheikh Walid hajatokea

    Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa. Katika mitandao ya kijamii kulisambazwa taarifa za waumini kujikusanya katika msikiti...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani: Tunaomba Nchi Zingine Tuungane Kuivunjilia mbali Mahakama ya ICC Kisa Wanataka Kuficha Uhalifu waliyofanya Gaza na Sasa Iran.

    My Take Chadomo wakiona hii watalia sana 😂😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/DaxHrfqjpeU/?igsh=NWJ5N2JkY256ajlq
  18. JamiiForums Tanzania Wakati Wakulima wa Tanzania Wakilia Kuporomoka Kwa bei za Mahindi,Huko Uganda Watu 16 waripotiwa kufariki Kwa njaa kisa ukame.

    My Take Kama mahindi yamejaa kwenye maghala ya NFRA basi wapeleke Msaada Uganda harafu wanunue ku restock upya Ili kusaidia wakulima kabla hawajashindwa kulima mwakani. Usalama wa chakula unategemea incentives Kwa mkulima mdogo kuweza kuendelea kulima na hii inategemea bei ya mazao. Kwa Sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Paul Makonda aenda Kuandamana Paris Ufaransa kisa Kiswahili huku Tanzania Maandamano ya KATIBA MPYA yakipigwa Marufuku

    Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Wimbo "Mwamvua" (Pesa Zanisumbua) wa Bima Lee: Kisa cha Kweli cha Kambi ya Sinza na Siri ya Mtindo wa Magnet

    Habari za muda huu Wana-JF wenzangu, natumai mko salama. Leo kwenye jukwaa la burudani na kumbukumbu (Zilipendwa), natamani tuutazame kwa ukaribu wimbo mmoja maarufu sana uliorekodiwa miaka ya 1980 na bendi nguli ya Orchestra Bima Lee. Huu si mwingine bali ni wimbo wa "Mwamvua", ambao wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…