kirusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC02 Kirusi cha NHIF

    Nakala hii nitazungumzia KIRUSI CHA NHIF kimaana TATIZO LA MFUKO WA BIMA YA AFYA LINALOPELEKEA KUFA KWA NHIF. Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kukizungumzia KIRUSI CHA NHIF lakini kabla ya kwenda kwenye MADA kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa DUNIA...
  2. Manara ni kirusi ameua wengi Yanga

    Wakati Manara Yuko Simba tulidhani ni kawaida kumuona akig'ara Kwa umaarufu. Tulidhani alistahili kuwa hivyo kutokana na nafasi yake. Lakini uchunguzi umeleta mambo tofauti kabisa. Katika kauli zake amekua akitamka vita ya umaarufu, na maranyingi amekua alisema anapigwa vita Kwa umaarufu wake...
  3. M

    SI KWELI Mgonjwa wa Omicron aripotiwa Tanzania, alazwa Hospitali ya Amana

    Wakati Rais Samia akimpolea Rais wa uganda Yoweri Mseveni uwanja wa ndege jijini Dar kuna taharuki ya kuwepo mgonjwa wa kwanza wa kirusi kipya kilichogunduliwa Afrika ya Kusini siku tatu zilizopita. Mgonjwa huyo Mzungu Rais wa Botwana aliyedaiwa kuingia nchini kutokea mjini Johannesburg Afrika...
  4. Kirusi kipya kinachosambazwa na mbu kinaweza kusababisha kiharusi na kifo

    Kirusi kipya "West Nile" virus kimeripotiwa huko Oklahoma ambapo visa 10 vimeripotiwa CDC, hali hii imetia hofu hasa kutokana na kuongezeka kwa ama kipindi hiki cha majira ya joto My take: Kuibuka kwa magonjwa mapya duniani kunashiria hatari zaidi ========= US health officials brace for...
  5. Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii yetu ni...
  6. Manara tumembeba habebeki. Ndo maana Simba walimfukuza. Huyu jamaa ni kirusi

    Manara ana Nyota ya Ufitini na Uchonganishi. Wakati anakuja kwa Steve kuomba asaidiwe usemaji Yanga, mimi nlikuwa mmoja ya watu ambao tulikuwa tunaona Manara kafukuzwa kwa kuonewa Simba. Lakini kwa kipindi hiki ambacho tumekaa naye huyu jamaa ni kunguru. Hafugiki. Kashawachonganisha watu wengi...
  7. Tafadhali hiki 'Kirusi' naomba kidhibitiwe upesi kwani '(ikizoeleka' huko mbeleni kitakuja kuwa na Madhara makubwa na Kitatugharimu

    Hujawa Rais ili uje Uwainue Wanawake Wenzako kwa Gharama za ama Kuwadharau au Kuwadidimiza au Kuwakomoa Wanaume bali umekuwa Rais wa Watanzania Wote tu Waume kwa Wake ( Jinsia Mbili zenye Kutengeneza Muunganiko wa Kimaendeleo ) kwa Ustawi wa Mama Tanzania na Kizazi chake. Nanyi Viongozi wa Kike...
  8. Tanzania yafatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19

    Waziri wa Afya nchini Tanzania , Ummy Mwalimu, amesema serikali ya nchi hiyo inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Alisema kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha...
  9. Majibu kuhusu Kirusi kipya cha UKIMWI hiki hapa!

    Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamegundua virusi vipya vya Ukimwi wanavyoita ‘VB variant’. Wanasema virusi hivyo ni hatari zaidi ikilinganishwa na vile vilivyokuwepo katika sehemu tofauti duniani tangu miaka ya themanini na vimekuwapo nchini Uholanzi kwa muda mrefu...
  10. Kirusi kipya cha HIV kimegunduliwa Uholanzi

    Nimeikuta hii habari kwenye ukurasa wa Millard Ayo. Kirusi hicho ni hatari zaidi ya kile cha mwanzo. Kinashambulia kinga za mwili mara mbili zaidi ya kile cha awali. Mpaka sasa hakuna dawa wala chanjo ya hicho kirusi. Corona inasuasua, hapa tusipokuwa makini tutapatikana. === Wakati dunia...
  11. M

    Kirusi kipya cha Corona, Deltacron chagunduliwa

    Kirusi kipya cha korona kilichotokana na muunganiko wa virusi vya delta na omicron kimegunduliwa huko nchini Cyprus Kirusi hicho kipya kilichopewa jina la Deltacron mpaka sasa kimegundulika kwa watu 25 tu huko Cyprus na bado haijawa wazi uhatari wa kirusi hiki ukilinganisha na virusi vya delta...
  12. WHO: Kirusi cha Omicron hakipaswi kuainishwa kama hakina makali, kinaua watu

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Visa Milioni 9.5 vimeripotiwa ulimwenguni Wiki iliyopita, ikiwa ni ongezeko la 71%. Japokuwa Kirusi cha Omicron kimeonekana kutosababisha makali kama Delta, WHO imesema Kirusi hicho hakipaswi kuainishwa kama 'Hakina makali'. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt...
  13. WHO: Athari ya Kirusi cha Omicron ipo juu

    Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limesema leo kwamba athari inayotokana na aina mpya ya kirusi cha Omicron bado iko juu baada ya idadi ya maambukizo ya virusi vya corona kuongezeka kwa asilimia 11 kote duniani wiki iliyopita Katika taarifa yake ya kila wiki kuhusu udhibiti na kuenea kwa virusi...
  14. T

    Chanjo za Sinopharm, Johnson & Johnson na Sputnik hazina uwezo wa kumkinga mtu dhidi ya kirusi kipya cha Omicron

    Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron. Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa omicron. Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni...
  15. T

    Kirusi Kipya, kama ugonywa ushakupitia dalili zake zi zipi ili wote tujue na kuchukua tahadhari

    Wanajamvi Kuna huu ugonjwa ( kirusi kipya ), ambao unasambaa kwa kasi sana Tanzania Dalili zake ni zipi.? kama ushawahi kupata Mimi najisikia uchovu sana, kuanzia kichwani mpaka mguuni Je wewe kama umeumwa, unajisikiaje.? Na kama umepona umetumia dawa gani.?
  16. WHO yaonya kuhodhiwa kwa chanjo kutoka na aina mpya ya kirusi cha Omicron

    Shirika la afya duniani WHO, leo limeelezea wasiwasi kwamba mataifa tajiri yanayotishiwa na kuzuka kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron huenda yakahodhi chanjo za ugonjwa wa COVID-19 na kutatiza usambazaji wa chanjo hizo kote duniani hali itakayotatiza juhudi za kukabiliana na janga hilo. Mkuu...
  17. Serikali: Hatujabaini Kirusi cha Omicron mpaka sasa

    Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo mpya ya Kirusi Imesema haijajulikana kama abiria kutoka Tanzania aliyeripotiwa kubainika na Kirusi...
  18. B

    Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

    Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki. "Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama." "Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini. Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
  19. Wataalamu: Kirusi cha Omicron kitashusha ufanisi wa chanjo kwa 40%

    Katibu wa Nchi, Afya na Jamii wa Uingereza Sajid Javid amesema aina mpya ya kirusi cha #COVID19, Omicron ni kikali kuliko virusi vilivyotangulia Wataalamu wa Afya wamesema kirusi hicho kinaweza kupingana na chanjo zilizopo na kushusha ufanisi wa chanjo kwa 40% Nchi kadhaa zimechukua hatua...
  20. M

    Kirusi cha corona kimejibu mapigo dhidi ys chanjo: Kimejibadilisha na kutokea Super Corona Variant Nu!!

    Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na kimeshasambaa mataifa kadhaa yakiwemo ya ulaya!! Mataifa mengi ya ulaya yameshapiga marufuku wasafiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…