kirusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ANOLD MEDIA

    SI KWELI Je, hiki kirusi kweli kama media zinavoripoti?

    JE NI KWELI HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI? KAMA BAADHI MEDIA ZINAPOST INSTAGRAM ZIKISEMA HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI KIKIWA KIMEKUZWA KWENYE ELECTRONIC MICROSCOPE BY ANOLD MEDIA
  2. C

    Wajumbe CCM ni kirusi nchini, Wanakula rushwa na kupitisha viongozi wasiofaa

    Hello jf members, Hilo halina ubishi hawa wajumbe wamegeuka janga kwenye nchi yetu. Bora kura tupige wanachama wote.
  3. Yoda

    Kwa nini Waafrica hawatumii majina ya Kirusi

    Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?
  4. This is...

    Tatizo la Tanzania, Kirusi kinachoitafuna kikiondolewa nchi itapona

    Kirusi hicho ni EX CEO. Kikiondolewa hiki kirusi Tanganyika itapona na itapata ahueni. Hata mubadilishe Ma CEO mara elfu moja kama bado hiki kirusi kitakuba bado SCANNED ni bure.
  5. Zemanda

    Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

    Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a woman” na pia utaweza kukutana na maana ikisema “describes qualities, appearances, or behaviours...
  6. S

    Nahitaji majibu kuhusu kirusi cha HIV

    Habari za wakati huu Ndugu zangu Wana-jamiiforums. Nina maswali kadhaa kuhusu kirusi kinachosababisha HIV. 1. Kwanini ni vigumu kirusi kinachosababisha HIV kufa hata kikiwa nje ya mfumo wa mwili wa binadamu? Mfano( Mtu mwenye maambukizi anashona viatu ila bahati mbaya sindano inamchoma...
  7. M

    Viongozi wangu wa Simba, ondoeni kirusi Chasambi ndani ya timu yetu, msikilizeni akimsifia Max Nzengeli na kudai Simba hakuna role model wake

    Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli. Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo...
  8. Mmawia

    Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

    Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo. LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani. Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu. Wana CHADEMA...
  9. TODAYS

    Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  10. Mto Songwe

    Nepotism ni hatari kuliko hata kirusi

    Huu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi: - Kama taifa ambalo tumeamua kufanya kila aina ya ujinga lakini inabidi tujipe tahadhari na ukomo wa ujinga wetu. Hapa nazungumzia kujiweka mbali na "Nepotism" tunaweza fanya kila aina ya ujinga lakini kuendekeza huyu mdudu nepotism haina afya...
  11. M

    Meja Jenerali wa Kirusi auawa huko Ukraine

    Meja General wa Kirusi kauawa huko Zaporizhzhia baada ya sehemu alipokuwa kupigwa Mzinga. =========== Russian media reported on Monday that a Ukrainian missile strike on the southern Zaporizhzhia front killed an experienced Russian general. “As a result of an enemy missile attack, the Chief...
  12. D

    Matola ndiye alikuwa kirusi cha debi ya Simba na Yanga kiufundi bora abakie aliko

    Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana! Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu! Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima! Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma Manara, Wawa, Matola na Manula kwenye mechi za debi zilikuwa ni ..........kwao
  13. Zee la madawa

    Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
  14. Carlos The Jackal

    Ukraine hapumui kwa sasa, silaha mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa kujifunza

    Ukraine kama Nchi ilotokana na USSR, Hawa Hadi Leo hii Asilimia kubwa ya Silaha zao ni za Kisovieti . Ukraine hapumui Kwa Sasa, Silaha Mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa kujifunza. CIA kupitia washirika wake Duniani kote, Kwa Sasa wanaendesha Operesheni Dunia nzima hasa...
  15. BARD AI

    Kasi ya ongezeko la Saratani za Kirusi cha HPV nchini yashtua

    Kirusi cha HPV (Human Papilloma Virus) kimetajwa kuwa hatari kwa kusababisha saratani za aina mbili zinazokua kwa kasi ikiwemo inayoathiri koo na shingo ya kizazi aina inayoongoza kwa asilimia 36 kati ya saratani zote zinazoshambuliwa nchini. Wataalamu wamesema asilimia 80 ya wagonjwa wa...
  16. Shujaa Mwendazake

    UTURUKI inataka gesi ya bei nafuu ya Kirusi - Bloomberg

    Punguzo hilo linaweza kusaidia Ankara kuzuia kupanda kwa bei ya nishati, 'The outlet reports' Ankara inatafuta kupunguzwa kwa bei kwa zaidi ya 25% ya gesi asilia ya Urusi, Bloomberg iliripoti Alhamisi, ikitoa mfano wa maafisa wakuu wa Uturuki. Suala hilo linaripotiwa kujadiliwa siku ya Ijumaa...
  17. TAI DUME

    Historia ya dunia inapaswa kumkumbuka huyu mwamba wa Kirusi, kwani alishawahi kuuokoa ulimwengu

    Huyu mwamba hapo pichani anaitwa bwana Vachili Archipov. Alikuwa ni mwanajeshi wa jeshi la Urusi kitengo cha kulipua mabomu kwenye manowari jeshi ya kivita huko Urusi, wakati huo ikijulikana kama USSR (Ukraine ilikuwa sehemu ya USSR). Ilikuwaje kuwaje mpaka akauokoa ulimwengu dhidi ya maafa...
  18. GENTAMYCINE

    Hiki 'Kirusi' naona sasa kinaanza 'Kuzoeleka' kwa Watanzania

    Yaani kukitokea Jambo fulani baya (hasa la Kiserikali) na (Kiutawala) kwa nchi ya Tanzania utaona wanaokuja Kulijibia (kulitolea Ufafanuzi) watajibu huku wakililinganisha (weka Reference) na nchi nyingine kuwa na Wao Kwao limetokea ili tu Kulizima na kulifanya lionekane la Kawaida hivyo...
  19. I

    Musa Zungu ndiye kirusi cha tozo

    Musa Zungu mbunge wa Ilala ndiye aliyependekeza na kushinikiza kuwepo kwa tozo kwa wananchi fukara wa Tanzania. Bila aibu yo yote alisimama bungeni kutoa hoja ya kuanzisha wizi wa fedha za wananchi huku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya! Mwigulu akiwa amefikia...
  20. GENTAMYCINE

    Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu acha 'Kujishtukia' na 'Kujihami' tunakujua Wewe ndiyo 'Kirusi' Kikuu ndani ya Klabu yetu

    Kama kuna sehemu ambayo GENTAMYCINE nilikuwa nakutamani ujilete Mwenyewe na nikuparure Kihasira kama Simba Mnyama afanyavyo Msituni ni hii uliyoingia ( uliyojiingiza ) Mwenyewe. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu hivi karibuni umekuja na Shutuma kuwa kuna Watu ndani ya Simba SC...
Back
Top Bottom