Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana katika Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2021/22, leo Jumamosi Mei 28, 2022 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, huo ni mchezo wa mwisho kwa timu hizo kukutana msimu huu.
Katika mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara msimu huu hakuna mbabe...