kirahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Polepole ni dhaifu na hakukata kiu

    Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
  2. JamiiForums Tanzania Akiwa anawindwa muwindwa atakimbilia mahali pasipo fikika kirahisi na wasaidizi wake je huko atasalimika?

    Ni hivi pata taswira mjongeo, uko mbugani ukaona Simba katika mawindo yake anamkimbiza swala nae swala anakimbia hatari kwa maneuvers na kasi ya ajabu... Huku na huku, huku na huku Swala akapita kama mshale simba nae akafuatia kwa nyuma wakapotelea kwenye kichaka kinene. Isijulikane ni nini...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu huwa hawazeeki kirahisi?

    Kwema wakuu, Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule, Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita, Swali langu ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wasukuma ni jamii watu wanaodanganyika kirahisi mno

    Wasukuma wana mioyo ya plastic Wao kila kitu ni " no taabu" CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Jimbo la Kisesa watakubali kumtosa Mbunge wao kipenzi ndugu Mpina kirahisi?

    Hellow! Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani, Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi huu lazima aliyekalia kiti ashinde tu, tena kirahisi sanaa

    Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana. Maisha yatazidi kuwa magumu na hali ya uhalifu itashika kasi hapa nchini, watu wa kawaida watauana wao kwa wao Uchumi wa nchi utaendelea kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

    Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu. Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu

    Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu. Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
  9. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais kutakua na mradi wa kupunguza half-life ya nuclear waste

    Moja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake kabla ya kuanza mradi wa kutumia nuclear energy Mfano wa nuclear waste na half life Plutonium-239 Caesium-137 Strontium-90
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Aitaka Serikali Kuweka Ruzuku Kwenye Mkaa Mbadala Ili Wananchi Waupate Kirahisi

    MBUNGE MARTHA MARIKI: AITAKA SERIKALI KUWEKA RUZUKU KWENYE MKAA MBADALA ILI WANANCHI WAUPATE KIRAHISI "Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya nchini Tanzania. Nampongeza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, Kamishna wa Madini na Watendaji wote wa Wizara ya Madini kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake amemchorea ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

    Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu? Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini kumeongezeka trend ya Watanzania kukamatika kirahisi katika utapeli na watu maarufu?

    Upatu na ponzi scheme zimekula pesa za watu sanaaa, na imekuwa rahisi kuliwa pesa zao kama mtu huyo anaekusanya pesa zao akiwa ni mtu maarufu kwenye mitandao au biashara. Ni tamaa za kupata faida haraka haraka ambazo unakuta wanahaidiwa? Ulimbukeni wetu katika maswala ya uwekezaji?
  14. JamiiForums Tanzania Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  15. JamiiForums Tanzania Usikubali kushindwa kirahisi kwenye mahusiano

    Asili ya maisha ni kuforce tangu kuingia mimba (wakati wa tendo hadi jasho) hadi kuzaliwa kiasi wengine hadi njia inaongezwa (poleni wanawake). Huo ni mfano mdogo tu wa asili ya maisha kuwa ni mwendo wa kutokukata tamaa na kukubali kushindwa kirahisi. Ukipata demu au mwanaume usikubali kukataa...
  16. JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa/umekutana na changamoto gani ya utapeli na ukatapeliwa kirahisi?

    Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara kwa njia rahisi. Watu wengi wamefaidika na biashara hii, wengine wakitengeneza mtandao mkubwa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  18. JamiiForums Tanzania Jitibu chunusi kirahisi sana ukiwa nyumbani kwa gharama nafuu kuanzia tsh. 100/-

    Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu ya uso wa ngozi na ndani. Chunusi kwa ujumla hutokea wakati wa ujana na kusababisha vipele vyeupe...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  20. JamiiForums Tanzania Ibenge hawezi kuiachia Yanga kirahisi rahisi

    Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea. 1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…