kirahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Media na kukosa uaminifu ni mambo mawili yanayowapoteza kirahisi vijana wanaoibuka kimafanikio

    Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti ambayo ni kubwa zaidi. Hii mimi naona haijakaa sawa. Dominik kateleza. Uongo wa aina hii kwenye...
  2. Masikini demu wa kilokole kaliwa kirahisi hivi, sikutegemeq daah

    Huyu mrusi kazi yake kuwala wadada tu adi kanisani , haangalii sura yeyote analiwa tu asee. Sikutegemea kama binti wa kilokole anaupolewa kirahidi hivyo duuuh Mwanamke ni kiumbe hatari sana.
  3. Sasa hivi mtu mwenye akili timamu atadanganyika kirahisi hivi?

    Hivi Tanzania ya leo ambayo jeshi la Magereza wana viwanda vya kutengeneza na kudesign nguo na vifaa muhimu vya jeshi, jeshi la kujenga Taifa JKT wana viwanda lakini mtu mmoja anakuja na kofia ya kushonwa na cherehani ya singer ya 1980 eti Captain wa jeshi. Na wajinga wakaamini na kusubiri...
  4. M

    Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  5. Kiongozi anayekaa madarakani sababu ya kiburi cha risasi na jeshi huondoka madarakani kirahisi sana

    Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo. Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho. Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu...
  6. M

    Siku ya Kwanza ya Maandamano CCM tumeshashindwa vibaya mno. Hivi hatuna watu wa strategies Lumumba? Hawa Gen Z mnawapaje ushindi kirahisi?

    Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation, wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
  7. Je wewe ni mwajiri, tangaza ajira yako nasi hapa BURE

    Kama wewe ni mwajiri na unatamani kuajiri kisasa kabisa, tembelea website yetu www.kazilink.co.tz na utangaze kazi yako.. Platform hii pia itakusaidia kuweza kuona walioomba kazi kupitia account yako ya mwajiri na kuwaita kwenye interview moja kwa moja kwenye mfumo. Jisajili as employer na...
  8. GE2025 CCM sio chama kirahisi hivyo kwenye suala la Dola

    Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah...
  9. Njia ya hamza ndo njia inayoeleweka kirahisi

    Mchana mwema Oktoba tunatiki
  10. Ukweli usemwe Polepole ni dhaifu na hakukata kiu

    Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
  11. Akiwa anawindwa muwindwa atakimbilia mahali pasipo fikika kirahisi na wasaidizi wake je huko atasalimika?

    Ni hivi pata taswira mjongeo, uko mbugani ukaona Simba katika mawindo yake anamkimbiza swala nae swala anakimbia hatari kwa maneuvers na kasi ya ajabu... Huku na huku, huku na huku Swala akapita kama mshale simba nae akafuatia kwa nyuma wakapotelea kwenye kichaka kinene. Isijulikane ni nini...
  12. Kwanini walimu huwa hawazeeki kirahisi?

    Kwema wakuu, Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule, Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita, Swali langu ni...
  13. Wasukuma ni jamii watu wanaodanganyika kirahisi mno

    Wasukuma wana mioyo ya plastic Wao kila kitu ni " no taabu" CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori...
  14. R

    PreGE2025 Je, Jimbo la Kisesa watakubali kumtosa Mbunge wao kipenzi ndugu Mpina kirahisi?

    Hellow! Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani, Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za...
  15. Uchaguzi huu lazima aliyekalia kiti ashinde tu, tena kirahisi sanaa

    Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana. Maisha yatazidi kuwa magumu na hali ya uhalifu itashika kasi hapa nchini, watu wa kawaida watauana wao kwa wao Uchumi wa nchi utaendelea kuwa...
  16. Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

    Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu. Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna...
  17. Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu

    Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu. Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
  18. Nikiwa Rais kutakua na mradi wa kupunguza half-life ya nuclear waste

    Moja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake kabla ya kuanza mradi wa kutumia nuclear energy Mfano wa nuclear waste na half life Plutonium-239 Caesium-137 Strontium-90
  19. Mbunge Martha Mariki Aitaka Serikali Kuweka Ruzuku Kwenye Mkaa Mbadala Ili Wananchi Waupate Kirahisi

    MBUNGE MARTHA MARIKI: AITAKA SERIKALI KUWEKA RUZUKU KWENYE MKAA MBADALA ILI WANANCHI WAUPATE KIRAHISI "Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya nchini Tanzania. Nampongeza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, Kamishna wa Madini na Watendaji wote wa Wizara ya Madini kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…