kipya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rijali jandoni

    2030 na baada ya hapo, kuna uwezekano wa kuundwa Chama kipya chenye ushawishi au serikali ya mseto

    Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
  2. Bawabu wa pili

    Sonko aanzisha Chama kipya cha Siasa, awakaribisha GenZ

    Aliyekuwa Gavana wa Nairobi na Mfanyabiashara maarufu Nchini Kenya, Mike Sonko, amerejea tena kwenye ulingo wa siasa baada ya kusajili rasmi chama chake kipya, National Economic Development Party (NEDP), kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Sonko aliondolewa katika nafasi ya Gavana wa Nairobi mwaka...
  3. Mjanja M1

    Unahisi ni misemo gani ya wahenga ambayo haina nguvu kwa kizazi hiki kipya?

    Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano -Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu -Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga...
  4. Desierto

    Baada ya kukaa naye zaidi ya miaka 4 leo kanionyesha kitu kipya

    Nimekaa naye miaka zaidi ya 4 hapa katikati tulipitia migogoro kadhaa mpaka nusu ya kuachana Basi leo ni siku ya pili naogeshwa ndani kwenye beseni na hajawahi fanya hapo kabla. Je? Au kuna sehemu kajifunza nahisi itakuwa ni mtandaoni. Maana naona kama movie hivi ila ndo ukweli wenyewe hivo...
  5. S

    Arusha: RC Kihongosi akionesha uwezo wake wa kuimbisha nyimbo za kizazi kipya

    CCM ina hazina kubwa Cheki Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kihongosi akionyesha uwezo wake mkubwa wa kuimbisha nyimbo za kizazi kipya https://youtu.be/eJgyNBrkPas?si=MrgfOBY0Fj3NtgUB
  6. M

    Kiwanda kipya Cha CEMENT kigoma chaanza kuuza cement kwa Tanzania na nje ya nchi congo,burud

    Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
  7. Mkalukungone Mwamba

    Musk aanzisha chama cha America Party 'kuwarudishia watu uhuru wao' baada ya kufufua uhasama mkali na Trump

    Musk, tajiri namba moja duniani na mfadhili mkubwa wa kisiasa wa Trump katika uchaguzi wa 2024, avunja uhusiano na Rais na kuanzisha chama cha kisiasa kipya Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniani na aliyekuwa mfadhili mkuu wa Donald Trump katika uchaguzi wa 2024, amevunja uhusiano na Rais huyo...
  8. Tabutupu

    Access Bank TZ, nikimeo kipya bongo

    Access bank wamewachukua wateja wa Standard charted Bank toka 23 June 2025 , lakini hadi muda huu, huwezi kutoa fedha kwa njia yoyote, na call centre yao hawapokei. BoT wanahitajika hapa ili wananchi waendelee kupata huduma kama kawaida. Cha ajabu zaidi hawatoi support yoyote wala taarifa.
  9. matunduizi

    Tangu CCM iingie madarakani Daraja la Busisi ndio KITU Kipya walichothubutu nje ya Box

    Mambo mengine ni ya kawaida, hata kama nchi ingekuwa chini ya wakina mkwawa au mtemi Myugumba wangefanya. Siku nasikia hicho KITU nilibisha nikaona ni uongo, ule ni umbali mkubwa. Hii ndio ishara pekee ya ukubwa wa akili ya thinkers wa CCM. Changamoto maengineer sidhani kama wametukumbuka...
  10. 2019

    Kwa kauli hii Dodoma hakuna ujenzi wa kiwanja kipya cha AFCON

    Arusha, tumeona maendeleo, Benjani tumeona maboresho, Dom mbona hata ramani hatuoni?
  11. Hismastersvoice

    EATV saa moja jioni leo 15/05/2025: chama kipya kimesajiliwa

    Kama kichwa cha Post kinavyojieleza, mwenye kujua jina la hicho chama naomba aliweke hapa maana nimejaribu kukitafuta nimeshindwa.
  12. S

    Kizazi kipya kinaelimika zaidi lakini kimeharibika zaidi. Je, tatizo ni Elimu au Malezi?

    Leo hii tuna vijana wengi waliomaliza shule, wana vyeti, wanaweza kutumia mitandao kwa ufasaha—lakini nidhamu iko chini, maadili yameporomoka, na heshima kwa wazazi au jamii haipo kama zamani. Je, tatizo ni mfumo wa elimu unaotoa maarifa bila malezi? Au ni familia zinazokimbizana na maisha hadi...
  13. P

    Ni Wakati wa Freeman Mbowe Kujiunga Chama Kipya Na G55..! Lakini lazima kipewe hatamu ya Uongozi...!

    Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu: Itakuwa ndiyo nguzo...
  14. Zemanda

    Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

    Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a woman” na pia utaweza kukutana na maana ikisema “describes qualities, appearances, or behaviours...
  15. Yoda

    PreGE2025 Muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu unawatosha G55 kuanzisha chama chao kipya kushiriki uchaguzi?

    Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha wagombea wao kushiriki uchaguzi?
  16. JOHNGERVAS

    Ushauri kwa wachungaji,manabii na nitumie wa sasa (kizazi kipya)

    Kwenye makanisa ya sasa mtaji mkubwa na nguvu ya kanisa ni watu,yaani kanisa au huduma Yako ipate watu wengi. Kwa dar sasa Imejaa makanisa yapo mengi mno na wanaonufaika ni wale wenye majina ie Mwamposa,kuhani Musa an CO. Mkoa mzuri kwa Huduma kwa sasa ni Dodoma,dodoma inakuwa sana kwa haraka...
  17. Binti wa zamani

    Kitu gani kipya umejaribu na mwanamke au mwanaume wako hivi karibuni?

    Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa. Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni” Mkao wa Nilie juu ya meza: tulimaliza kula nikamwambie abaki mezani anisubiri nitoe vyombo. Nilivyomaliza...
  18. matunduizi

    Kitambulisho changu cha NIDA Kinafutika Kila siku. Je wanaweza kuniprintia kipya.

    Hapa nakitambulisho cha mpiga kura tangu 2015 hakina hitilafua hata nukta. Miezi kadhaa iliyopita nimepokea kitambulisho changu cha NIDA. Tena nawashukuru maana aliniletea mjumbe wangu wa Nyumba KUMI wa Chama cha Mapinduzi. NIDA Tanzania Jambo ambapo sijapenda haijapita hata mwaka herufi...
  19. Mganguzi

    Ikiwa Leo freeman mbowe ataanzisha chama kipya Cha siasa maelfu ya wanachadema wataungana nae na huo utakuwa mwisho wa chadema

    Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
  20. Fredrick Nwaka

    TBC YAJA NA KIPINDI KIPYA CHA MADA KUU

    Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kupitia luninga ya Taifa TBC 1 limeanzisha kipindi kipya Kiitwacho “MADA KUU”. Ni kipindi kinachohusu mijadala moto moto kuhusu masuala mbalimbali yanayojiri katika jamii iwe ni siasa, uchumi, michezo, uongozi n.k Tayari TBC imejizolea umaarufu miongoni mwa...
Back
Top Bottom