Muhali gani Wadau;
Kiukweli kila mmoja wetu humu na nje ya humu JF alishaipitia hii hatua ktk ukuaji wake, ndio kama ukaribisho wa kuingia kwenye utu uzima.
Kila mmoja ana style yake ambayo alibadilika kitabia, Wapo ambao balehe yao iliwatuma Ujeuri, Kiburi, Kujiamini kuliko kawaida, Ubabe, na...