kipigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Askari amshushisa dereva matusi na kipigo, Ni vipi tunaweza kujitetea na uonevu bila hofu ya kuuliwa, kubambikiwa kesi za madawa, ugaidi, n.k

    Cheo kinapopewa kwa mtu ambae sio muadilifu huwa ni janga kwa wananchi. Baadhi (sio wote) ya ma askari hutumia cheo hiki kunyanyasa raia, mfano anaweza kukupora mali yako, anaweza kukataa kukurudishia ulichomkopa, anaweza kukupiga, n.k. Ukijaribu kujitetea kwa askar ambae sio muadilifu kitendo...
  2. JamiiForums Tanzania Harmonize anusurika kupewa kipigo Kenya baada ya shoo yake kubuma na kutaka kutoroka!

    Harmonize alikuwa na show nchini Kenya lakini kwa mara nyingine tena amekosa watu kama kawaida yake akifanya shows nje ya Tanzania. Na alipojaribu kutoroka hiyo aibu aliishia kukoswa koswa na kipigo kitakatifu kutoka kwa wakenya wachache waliojitokeza. Bahati nzuri polisi waliwahi na kumchukua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka ameachiwa kwa dhamana ya Polisi, ameteswa sana kupata kipigo kisichofaa

  4. JamiiForums Tanzania DAR: Amuua mtoto wa mdogo wake kwa kipigo, aufunga mwili kwenye ndoo kisha kuutupa Ubungo

    Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wa Mdogo wake aliyekuwa na umri wa miaka miwili (2) na miezi minne. Mtuhumiwa huyo LATIFA BAKARI (33), mkazi wa Mabibo aliachiwa mtoto huyo na mdogo wake kwa lengo la malezi na Tarehe 05/04/2022...
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Urusi Sasa yaamua kuhamisha majeshi yake na kulinda Donbas baada kipigo kizito

  6. JamiiForums Tanzania Askari wa jiji wapokea kipigo toka kwa machinga mtaa wa Samora

    Baada ya kuchoshwa na uonevu wa askari wa jiji ambao wamekua wakiwavamia machinga na kuharibu mali zao. Leo askari hao wameonja joto ya jiwe baada ya kupokea kipigo na kuamua kukimbia na virungu vyao. Hiyo ni salamu tosha kabisa kwa wahusika kuachana na utaratibu huu unaokiuka utu kwa raia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

    Inasikitisha. Kulikuwa hakuna utii bila shuruti?
  8. JamiiForums Tanzania Lugha pekee ambayo binadamu anaielewa ni ubabe na kipigo tu

    Huwa tunajidanganya sana kuwa binadamu ni kiumbe aliyestaarabika. Kwamba ni kiumbe anayesikiliza reasons. Kujidanganya kabisa. Kwenye saikolojia kuna kanuni inasema, "Mind gets what it want." Kuwa akili inapata inachotaka. Mfano. Kwenye mechi ya Simba na Yanga. Mshabiki wa Yanga atasema ni...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17. Pia soma
  10. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni Ahmed Ally, Suleiman Matola na Barbara Gonzalez kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia wana Simba SC juu ya Kipigo cha Keshokutwa Berkane

    Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za Ugenini ( Away ) Hata hivyo nisiwe Mnafiki au Muongo kwa wale Wabobezi wa Communication Psychology na...
  11. JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  12. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  13. JamiiForums Tanzania Kigoma: Wamuua binti kwa kipigo wakimlazimisha kuolewa ili wapate ng'ombe

    JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Machachari apata kipigo kikali

    Heshima sana wanajamvi, Katika nchi ya Guyana Mwanasiasa machachari apata kipigo cha Paka Mwizi. Nasisitiza kipigo hiki kimetokea katika magareza ya Nchi ya Guyana 🇬🇾 na bendera nimeweka kabisa. Mwanasiasa huyo machachari kashindwa mara mbili kuripoti katika Hospital ya taifa kwaajili ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kinachomuondoa Didier Gomez Da Rosa ni Mshahara mkubwa, siyo kipigo

    Huyu ni miongoni mwa makocha wanaolipwa hela nyingi, si kocha wa bei rahisi, halipwi kama Kishingo. Ni kocha wa mshahara kama wa Uchebe. Ikumbukwe kwamba MO halipi mshahara wa kocha wa Simba kutoka mfukoni mwake kama wengi wanavyodhani , alilipa kutokana na fungu ambalo Simba walikuwa wanapata...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha kushtukiza: Yote maisha, tusigombane, tuangalie tumejikwaa wapi, turekebishe na maisha yaendelee!

    Chonde chonde wana msimbazi wenzangu, tujiangalie na kujitathmini kwa uwazi, tusiruhusu kugombana, turekebishe na tusonge mbele!! Adui zetu tusiwape faida!! Ila tusifumbie macho udhaifu wa wazi uliopo kwenye timu yote. Tujue tumejikwaa na kukosea wapi! Turekebishane kwa upendo na maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Sitosahau siku niliyotishiwa bunduki na baba!

    Ilikuwa hivi. Muda mrefu sana yapata miaka 10 na ushee. Hiyo siku nilikuwa nacheza pool table mtaani, huo mchezo unaitwa "shamkware." Ni kamari na una majina mengi sana huo mchezo, pia mnaweza cheza watu wawili na zaidi. Katika kucheza na kupiga mahesabu makali mwisho wa game mshindi nlikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Songwe: Raia wampiga anayedaiwa kuwa mlinzi wa JKT aliyejificha kukamata magendo

    Thread was deleted
  19. JamiiForums Tanzania Waalgeria watoa Kipigo kingine cha mbwa koko kwa Niger Aggrgate: 10-1

    Aisee,,hawa Algeria wanatafuta nini bandugu!! First game kamdunda NIGER GOLI 6 kwa 1, Marudiano ya leo kamdunda GOLI 4 kwa 0 😁 dahh. very sad NIGER 0-4 ALGERIA, FULL TIME JUMLA YA MAGOLI KATIKA GAME 2 WALIZOKUTANA, ALGERIA 10-1 NIGER POLENI SANA NIGER. Mungu ibariki taifa stars, angalau...
  20. JamiiForums Tanzania Kipigo cha mbwa koko: Algeria 6-1 Niger 😆

    Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera 😄,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza kwa akili nyingi na kwa ushirikiano, unaweza sema hawaishi afrika hawa njemba. Soka lao lakipekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…