kipigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe fidia watanzania wanaopata madhara wakiwa wanahojiwa na polisi. Ni wangapi ni vilema mpaka sasa kwa kipigo ?

    Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu! Jeshi la polisi halina mbinu nyingine ya kipelelezi lazima watumie virungu? Interjensia inayosemwa kila siku...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

    Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa. Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
  3. JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa sana na Kipigo Walichopokea Yanga kutoka kwa Belouizdad

    Habari wakuu, Kiufupi nimepokea matokeo haya kwa Furaha iliyotukuka, Nafikiri sasa ni wakati sahihi wa Yule Rais wenu mbea aliyepeleka umbea kwa Rais wa Fifa kwamba Simba imefungwa 5. Sasa ni wakati sahihi pia amwambie Rais wa Fifa kwamba na Wenyewe wameshikilia Bomba huku pande za Algeria...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tunaendelea tu Kujengwa Kisaikolojia kwa Kipigo cha leo Usiku kutoka kwa Mwarabu huko Algeria

    "sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi waandamizi walioambatana na yanga sc huko nchini Algeria Cognizant "Think Tank and Adorable Angel"...
  5. JamiiForums Tanzania Kama sio kutukimbia uwanjani siku ile, Yanga ingeambulia kipigo cha fedheha mno

    Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa. Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki mechi hii Ya SIMBA vs YANGA pale kwenye banda umiza la diwani. Michuano ilikua ya kagame na klabu za...
  6. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya kipigo cha goli 5 yalifanyika kwa miaka 2

    Kuna mengi nimekuwa naelezea humu ndani kwa muda mrefu ila nadhani nilikuwa sieleweki ila nadhani sasa mtanielewa. Yanga haiwezi kumfunga Simba goli 5 katika mazingira yoyote ya kawaida na pamoja na mafanikio yoote ya Yanga, moja ya kitu ambacho walikuwa wanatamani kukifanikisha ili kweli...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji watano wa Simba wasimamishwa kupisha uchunguzi kwa kichapo kikali cha goli 5 kutoka kwa Yanga

    Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili. Wachezaji hao wanatuhumiwa kuihujumu timu kitendo kilichopelekea kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao. Maamuzi hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Tuache kujifariji 'kipuuzi' kuwa hata sisi tuliwafunga 5 - 0 mwaka 2012, ukweli ni kwamba kipigo chao kimetuuma mno

    Halafu msisahau Sisi tulipowafunga wao walikuwa na Kikosi dhaifu na Mgogoro mkubwa Klabuni kwao wakimtaka aliyekuwa Kiongozi wao Lyoed Nchunga ajiuzuru. Na nakumbuka Usiku wa kuelekea Mechi hiyo Mchezaji na Rafiki yangu mkubwa tu Jerryson Tegete alinipigia Simu na kuniambia kuwa Mechi yao ya...
  9. JamiiForums Tanzania Team Ndogo na Mbovu ambazo zimekutana na Kipigo Kizito Hadi saiv kwenye NBC Msimu wa 2023/2024

    Zifuatazo ni Team Ndogo zilizokula Kichapo Kikubwa Msimu huu wa NBC 2023/2024
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba: Kipigo Cha Leo kitutoe usingizini.

    Naomba kuwapa pole mashabiki wa Simba kwa kipigo Cha Leo. Sio lelemama. Kutokana na kipigo hicho Simba inatakiwa ikitumie kipigo hicho Kama changamoto ya mabadiliko. Ila Simba Kama Klabu ikichukulia kipigo hiki Kama kawaida, basi yatakuja makubwa zaidi. Naomba nishauri yafuatayao: 1. Kwanza...
  11. JamiiForums Tanzania Nilionya mapema hapa JF asianze Kipa 'mbovu' Aishi Manula, naona 'Mnanipuuza' hivyo leo tusilaumiane kwa 'Kipigo' akidaka Yeye

    Kipa aliye Fiti 99.9% kwa sasa ni Mwarabu Ayubu Lakred na kutokana na Urababu wake na ikizingatiwa leo tunacheza na Waarabu Wenzake Kiutamaduni na Kinujumu akidaka Yeye atatusaidia na Mechi kuwa Salama zaidi Kesho. Akidaka tu Aishi Manula ambaye Kiufundi na hata tu kwa Kumuona bado hajawa Fiti...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa kipigo cha juzi na kwa hii ratiba ya mechi zao tano zijazo kuna mtu anaweza kurejea kwao Maradona Country kwa kufukuzwa

    Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza. Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam. Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam. Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam. Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga. Kila...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC [emoji414] 04.10.2023 [emoji909] Highland Estates [emoji797] 10:00 Jioni Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Moscow ndani yapokea kipigo kingine cha drones za Ukraine, imekua matukio ya kila siku sasa

    Hii picha inaonyesha uharibifu wa drones ndani ya Moscow, kwa kifupi Warusi wanaishi kwa hofu ya kuangza macho angani muda wote, yaani mjini kati, tena mji mkuu.... Putin alisema Urusi ikiguswa ndani atafanya makuu hata kama itabidi kubonyeza manyuklia.... The damaged facade of an office...
  15. JamiiForums Tanzania Meya ashushiwa kipigo kikali kikaoni, aokolewa na walinzi wa Manispaa, akimbizwa hospitalini

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuber Kidumo amejikuta akichezea kichapo kikali kutoka kwa diwani mwenzake, Abuu Shayo, wakati akiendesha kikao cha Kamati ya Mipango Miji na Ardhi katika manispaa hiyo. Tukio hilo limetokea leo majira ya saa sita mchana mjini Moshi, wakati kamati hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Simiyu: Askari wawili wadaiwa kumshushia kipigo kijana na kumsababishia kifo wakimtuhumu kuiba baiskeli

    Kijana aliyefariki anaitwa Mandela Petro inadaiwa alishambuliwa akiwa mtaani na Askari wawili wakimshutumiwa kuhusika katika wizi wa baiskeli ambapo baadaye baiskeli husika iliyodaiwa kuibiwa ilipatikana na kubainika marehemu hakuwa mwizi, Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu. Ikidaiwa mmoja wa Askari...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaitakia Yanga kipigo kizito toka kwa USM Alger

    Mimi na wenzangu tunaitakia USM Alger ushindi mzito wa kuanzia goli 3. Hawa Utopolo wakipigwa hata 6 tutafurahi zaidi. Wapigwe mpaka wasahau kama wamefika fainali. Kiwe ni kipigo cha aibu kuu itakayodumu miaka mitano. Wapigwe magoli ya chenga za maudhi kama ya Chama au mishuti mama mkanye...
  18. JamiiForums Tanzania Kila mwana Yanga SC unayekutana nae baada ya Kipigo anasema Inshaallah hivi ina maana USMA wao hii Inshaallah haiwahusu?

    Wanafiki wakubwa nyie yaani leo baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USMA ndiyo mnajifanya Kumjua Allah ( Mwenyezi Mungu ) mbona kabla ya Mechi yenu neno hili mlikuwa hamlitaji mara kwa mara? Kudadadeki imeshaisha hiyo.
  19. JamiiForums Tanzania Zijue Kauli mpya za Kujitetea za wana Yanga SC baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USM Alger FC

    1. Hatuna cha Kuwadai Wachezaji wetu wa Yanga SC na Jana Wachezaji wetu wa Yanga SC walikuwa na Siku mbaya Kazini / Ofisini 2. Lengo letu lilitimia pale tu Yanga SC ilipofuzu hatua ya Robo Fainali 3. Simba SC Wameroga ili Mvua inyeshe na tufungwe 4. Mchezaji wetu Tegemeo Khalid Aucho hakuwepo...
  20. JamiiForums Tanzania Fundi simu leo nusu nichezee kipigo kutoka kwa mteja

    Leo nikiwa zangu ofisini kwangu jua la mchana hivi nikiwa napiga tu miayo kwa njaa ya pesa, Akaja mdada mmoja akiwa na simu ya batani imevujia kioo, sasa kwa bahati mbaya nikawa sina kioo cha aina hiyo, kwa haraka haraka nikapiga hesabu kuna simu moja ya mteja nilimtengenezeaga spika akawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…