kipigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Wakristo washerehekea Pasaka chini ya kipigo kikali cha mayahudi huko Gaza.70 wafa kote.

    Siku ya Pasaka ni moja ya siku za kuheshimika kwa wakristo kote duniani.Lakini kwa watu wa Gaza wa madhehebu ya kikristo na waislamu imekuwa ni moja ya siku chungu kwao baada ya watu zaidi ya 70 kuuliwa kwa siku moja maeneo mbali mbali ya ukanda huo wa Palestina. Katika siku hiyo ya Pasaka...
  2. Echolima1

    Marekani inafanya mashambulizi kwenye vituo vya kuhifadhia mafuta Yemen

    Magaidi wa Houth huko Yemen wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani baada ya vituo vyao vya kuhifadhia mafuta kuangamizwa na majeshi ya Marekani usiku wa kuamkia leo. Kipigo cha leo kitasababisha upatikanaji wa mafuta nchin humo kuwa mgumu sana kwa wananchi na utawala...
  3. Setfree

    Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

    Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa...
  4. Echolima1

    Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
  5. Waufukweni

    Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi. Askari huyo alikimbilia basi...
  6. Komeo Lachuma

    Nawaonea huruma Mikia. Leo ni kipigo tu kama sivyo nitafanya hivi hadharani

    Leo Simba. Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. Yaani wanapigwa ndani wanapigwa nje. Wanapigwa wakisimama wanapigwa wakikaa. Wanapigwa wakiinama wanapigwa wakichuchumaa. Wanapigwa wakilala wanapigwa wakikimbia. Hamna namna wanapigwa. Nasema hapa kama Simba hata wakipata draw leo mimi nakula...
  7. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  8. Echolima1

    Waasi wa Houthi waandamana Yemen kupinga shambulizi la Marekani la hivi karibuni

    Maandamano makubwa yalizuka katika miji kadhaa ya Yemen, ikiwemo Sana’a, Saada, Dhamar, Hodeida na Amran, baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Houthi. Waandamanaji, wengi wakibeba bunduki, visu na Quran, walipaza sauti wakisema, “Kifo kwa Amerika, kifo kwa Israel!” Katika mji...
  9. GENTAMYCINE

    Yasipotokea haya tarehe 8 Machi, 2025 Kipigo kipo pale pale kwa anayepigwa kila mara

    1. Mchezaji mmoja Kupasuka na kuvuja Damu Kichwani au Usoni. 2. Kadi Nyekundu (ya Mchezaji tegemezi) na Timu moja kucheza pungufu. 3. Mtanange kusimama kwa dakika 3 hadi 5 kutokana na Fujo. 4. Kama kafara la Mtu maarufu na mwanachama lia lia halijafanyika au hajafa 5. Ndimu zisipotumika 6...
  10. Pdidy

    TUKUMBUSHANE KIPIGO CHA REFA ISRAEL MKONGO VS STEPHEN MWASIKA(AZAM VS YANGA) KILA JAMBO LINAMWISHOOOOO

    Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google Mechi n Azam vs YANGA REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
  11. Bushmamy

    Arusha: Mke ampa kipigo mumewe hadi kumuua

    Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua. Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa...
  12. The Father of All

    Hii imekaaje ya mke kumua mumewe kwa kipigo baada ya kuwa chaulevi?

    https://www.youtube.com/watch?v=8_9k1D_x6gs Siongezi neno. Jamaa aitwaye Daudi kapata kipigo toka kwa mkewe na watoto wake na kupoteza maisha. Hebu tudurusu kadhia hii wakati tukijikumbusha kuwa kuna wanawake wengi wameuawa na wanaume wengi tu. Je hapa ni kile kisa cha mbwa kumng'ata mtu ikiwa...
  13. Setfree

    Duuh! Amepigwa kipigo cha mbwa koko!

    Majigambo yake yameisha. Amepigwa kipigo cha mbwa koko! Amepigwa na Bwana Mkubwa! Loo, aibu yake! Alivyoona amefaulu kuwaingiza mtegoni ndugu zetu, kwa hila zake, alifikiri atadumu kuwa mwerevu. Sasa ameshushwa chini kabisa. Kila mtu anamzomea, hata watoto wadogo wanambeza! Alijiinua juu kwa...
  14. itakiamo

    Hiki kipigo kilikuwa mwana ukome

    Unaambiwa mwaka 1941 uto alichezea kipigo cha mbwa koko. Hii rekodi hawatokuja kuisahau
  15. R

    Kwa huyu kocha mpya wa Yanga, Dube kupewa kipaumbele na Aziz Ki kutumia nguvu nyingi kwenye pisi, Kipigo hakikwepeki Derby, Simba wanazirudisha zote 5

    Zinarudi zote na zinaweza kuzidi, Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote. Unahitaji akili za kawaida kabisa...
  16. M

    Matokeo ya kipigo cha Israel dhidi ya Iran 0ctober 26,024 yanazidi kudhihirika

    Mnamo October 26,2024 Israel ilifanya shambulizi la kulipiza kisasi dhidi ya Iran,katika shambulio hilo Israel ilitumia anga la Iraq kulitekeleza huku ndege chache aina ya F 35 zikipenya anga la Iran bila kutambuliwa na ulinzi wa Anga wa Iran Baada ya shambulizi Hilo Iran ilikuja na majibu...
  17. W

    Nikiwa kama mzazi namuunga mkono Inspector Haroun (Babu) kumtembezea kipigo mtoto wake baada ya kumkuta studio

    Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia ada. Mzazi au mlezi unaweza kutimiza wajibu mtoto aende kusoma shule za serikali bure lakini utaanza...
  18. Just Pray

    Waziri Gwajima: Huwezi kumlea mtoto kwa kumpiga, unatengeneza uoga ndani yake

    Kufuatia kufunguliwa kwa shule, waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu amekemea vikali tabia ya BAADHI ya Wazazi na BAADHI ya Walimu kupiga watoto kupita kiasi BILA KUFUATA KANUNI ZA UTOAJI WA ADHABU STAHIKI. Amesema adhabu za kupitiliza zinawajengea watoto hali ya...
  19. Minjingu Jingu

    Mashujaa leo kipigo chao si chini ya bao 2 toka Yanga. Dube anatupia ameshafunguliwa

    Wachezaji hawa 1. Prince Dube 2. Aziz Ki 3. Chama Lazima wote au baadhi wa/atupie. Hilo lipo wazi limepitishwa. Na Dube alifanyiwa maombi majini yaliyotupwa kwake na wazee wa Zanzibar yameondolewa. Sasa yupo huru kweli kweli atakuwa anatupia tu. Aziz Ki naye amekaa sawa hakutakuwa na shida...
  20. Brain Kingdom

    Yanga SC Wamekwama wapi Kipigo Day kwa Al Hilal FC?

    Hebu tuwe wakweli shida ya Yanga ipo wapi? Wachezaji hawana teamwork? Ina wachezaji ambao hawajui kusoma wapinzani? Wachezaji wamelewa sifa? Physicality ya wachezaji ni hafifu? Wameingia kwa dharau na matokeo mfukoni? Karibu kwenye mjadala wa Utopolo katika Utopolo wao. Pang Fung Mi
Back
Top Bottom