kipara

The Australian bustard (Ardeotis australis) is a large ground dwelling bird which is common at grassland, woodland and open agricultural country across northern Australia and southern New Guinea. This bustard stands at about one metre (several feet) high, the wingspan is around twice this length. The species is nomadic, flying to areas when food becomes plentiful, and capable of travelling long distances. They were once widespread and common to open plains of Australia, becoming rare in regions that became populated during the colonisation of Australia. The diet of Ardeotis australis is omnivorous, they mostly consume the fruit or seed of plants, but include invertebrates such crickets or grasshoppers and smaller mammals, birds or reptiles.
The species is also commonly referred to as the plains turkey, and in Central Australia as bush turkey, particularly by Aboriginal people who hunt it, although this name may also be used for the Australian brushturkey as well as the orange-footed scrubfowl.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Upasuaji wa urembo kuotesha Nywele kwenye Kipara wafanyika Muhimbili

    Watalaam wa upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini Marekani wamekamilisha kambi maalum ya siku tano iliyohusisha upasuaji wa urembo na upasuaji wa matibabu (Cosmetic and Reconstructive Surgery) kwa wagonjwa nane. Akizungumza wakati wa kuhitimisha...
  2. Sir John Roberts

    Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu. Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
  3. Mzee Saliboko

    Kunyoa upara baada ya kufiwa kuna maana gani?

    Sote au baadhi ya jamii wakifiwa na mtu wao wa karibu huwa wanaambiwa au hunyoa kipara. Sisi tuliambiwa maana yake mzimu wake usije ukawa unakula na sisi. Hadi kuleta uzi huu maana hali ya kunyoa kipara msibani sijajua. Karibuni kwa michango.
  4. anti-Glazer

    Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

    Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako. Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
  5. sanalii

    Shairi: Bibi kanyoa kipara

    Paukwa tena pakawa, mtaani taharuki Bibi kanyoa kipara, na nywele tena hasuki Chaajabu kina chawa, kichwani hawabanduki Bibi kanyoa kipara, mtaani taharuki Mtaani wauliza, hiki kipara chanini Mana wengi chawaliza, madukani na saluni Ma tena chaleta giza, biashara taabani Bibi kanyoa kipara...
  6. Jorge WIP

    Kakoswa koswa kugongwa na gari akamtukana dereva, hajafika hatua mbili akagongwa na bajaji (Karma is real)

    Leo kuna machinga kapata ajali maeneo flan akiwa anavuka, japo makosa nilihisi ni ya kwake mwenda kwa miguu Kwanza alikoswa kugongwa na gari, maaana mwenye gari alijaribu kumpisha japo gari lilikuwa speed kidogo.. sasa jamaa kabla ya kuvuka barabara akawa anamtukana mwenye gari na kumuonyeshea...
  7. Y

    Kwa mara nyingine Dimba la Santiago Bernabeu leo moto utawaka REAL MADRID vs MANCHESTER CITY nani kucheza fainali?

    Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu , huenda mechi itakuwa ya kasi na ushindani ila atakayecheza kimbinu zaidi ndie atakaeshinda...
  8. K

    Kwanini Wanaume wengi wanapenda kunyoa kipara?

    Wengi wa wanaume siku hizi hupenda kunyoa kipara. Nimejiuliza sana lakini sipati jibu. Mtu mzima na heshima zake hunyoa kipara labda anataka aonekane kijana, labda kichwa chote kimejaa mvi au ameumbwa na upara. Staili ya kunyoa kipara uanzia kwa vijana na hata wenye vyeo Serikalini...
  9. A

    Usimwamini mtu anaenyoa kipara au anayekunja mikono ya mashati

    Hili kundi sio la kuamini kabisa Ukiona mtu hadi anafikia hatua anatoa nywele zote kichwani yaani yeye mwenyewe haziamini hata nywele zake ujue hapaswi kuaminiwa hua ni waongowaongo sana. Na ukiona mtu anavaa shati mikono mirefu na anakunja kama Obama vile hawa watu kimbia kabisa mbali hawafai...
  10. Kurunzi

    Sabaya asomewa mashitaka ya uhujumu uchumu, Atinga mahakamani akiwa amenyoa Kipara

    Aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Jambazi Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kusomewa mashtaka 6 ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa. Ijumaa Oktoba 15 mwaka huu, Sabaya alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela pamoja na...
  11. Stroke

    Kipara kimeanza kuota

    Sikuwahi kufikiri kama itatokea siku nikawa napoteza nywele aisee. Kwa mbaali kimeanza kuja. Na nywele nyeupe nazo zimeanza. Sasa nakua nanyoa Kila baada ya wiki mbili. Sitaki kuamini nimefikia hatua ya kuwa na kipara. Please help.
  12. Dusabimana

    Je, kuna aliyewahi shuhudia mwanamke mwenye kipara kati ya kichwa chake?

    Wanajukwaa habarini za leo! Ninaomba kufahamu kama yupo mwanamke mwenye kipara kati ya kichwa chake, maana nimewahi shuhudia wanawake wenye ndevu tu.
Back
Top Bottom