Kunyoa upara baada ya kufiwa kuna maana gani?

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Jan 29, 2018
1,204
885
Sote au baadhi ya jamii wakifiwa na mtu wao wa karibu huwa wanaambiwa au hunyoa kipara. Sisi tuliambiwa maana yake mzimu wake usije ukawa unakula na sisi. Hadi kuleta uzi huu maana hali ya kunyoa kipara msibani sijajua. Karibuni kwa michango.
 
Ila siku hizi tunanyoa kipara kama kusafisha kichwa, kuficha kipara/upara na fasheni tu, inaitwa kunyoa dongo au kunyoa zungu
 
Ila siku hizi tunanyoa kipara kama kusafisha kichwa, kuficha kipara/upara na fasheni tu, inaitwa kunyoa dongo au kunyoa zungu
Hapa umenigusa nina kipara kimeanza kijingajinga basi nimestuka baada ya kuacha nywele kwa muda kidogo wife akanistua aliponiambia unakipara dah noma japo nilikua napiga dongo full time ila now ndio kabisaaa kila baada ya siku mbili lazima wembe upite
 
Waulize wachaga wakibosho ndio wananyoa upara baada ya kufiwa na ndugu
 
Back
Top Bottom