kipaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa vyovyote aliyekuwa akidonoa hili gitaa la treble katika kibao hiki cha Lusa Mwana Mama cha Oliver N'goma alikuwa na kipaji cha kweli cha muziki

    Ni kweli kabisa huyo mtu anayelidonoa guitar la trebble, hilo gitaa kiongozi katika kibao kinachojulikana kama Lusa Mwana Mama cha Oliver N'goma Download | Oliver N’Goma - Lusa | Audio - Yinga Media alikuwa na kipaji cha asili na cha kweli cha fani hiyo na sio kama vijana wa siku hizi...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unataka kugundua kipaji cha mwanao upande wa compyuta au laptop weka nyumbani kwako utanishukuru baadae

    Sio wote watakao kuja kuipenda compyuta au laptop kwenye matumizi wanayotaka ila inamchango mkubwa kama utajiwekea nyumbani kwako watoto wakitumia. Naeleza ili sababu nimeshuhudia vipaji vingi ambavyo ukifatilia nyumbani kwao walikuwa wamewekewa mfano kama maproduza,wahandisi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Aguswa na Mtoto Mwenye Kipaji cha Ujenzi wa Barabara na Madaraja, Aahidi Kumsaidia

    WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
  4. JamiiForums Tanzania Kama sio handsome, huna kipaji na huna hela ila una cheat, ungekua navyo ungekuaje ?

    Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu ingekuaje? Mungu fundi. Mi pamoja na uhandsome wangu, ingawa nikicheat mke anaweza nisamehe mana...
  5. JamiiForums Tanzania Mchezaji mwenye kipaji kikubwa sana pale Barcelona (most talented Barcelona player)

    huyu ataimbwa sana next season
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

    Habari ya muda Great Thinkers!! Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii. Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tangu nimejua muziki wa HipHop Bongo sijawahi kushuhudia wala kusikia msanii mwenye uwezo kiasi hiki kwenye FREESTYLE, "Wizzy MP" ni level nyingine

    Freestyle na muziki ni vitu viwili tofauti katika Hip Hop, wanaoweza vyote ni wachache, Freestyler hapimwi kwa hits za studio, anapimwa kwa uwezo wa kutema mistari papo kwa papo bila kuandika, bila kujiandaa bila kujali beat. Tangu nianze kuijua hiphop miaka ya 2000 hapa bongo nimewajua...
  8. JamiiForums Tanzania Kama una kipaji cha U Mc na haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako waone Maduskodusko Entertainment. Wana manage Ma Mc ( Washereheshaji)

    Wewe una kipaji cha U Mc( Ushereheshaji?) Haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako? Kama jibu lako ni NDIO basi hii ni HABARI NJEMA Sana kwako. Maduskodusko Entertainment Promotion tuna manage Ma Mc wenye vipaji kwa kuwatafutia events mbalimbali za Ku perform ndani na nje ya jiji la...
  9. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari: Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
  10. JamiiForums Tanzania Neymar Jr kipaji cha soka kilichoshindwa kufikia malengo

    Nimeona taarifa Neymar Jr anarejea zake kwao Santos kutokea Uarabuni. Kipaji maridhawa kilichoenda na maji. Neymar alitajwa kama mmoja ya wachezaji bora watakaovunja ufalme wa Messi na Ronaldo, lakini wapi!! Neymar baada ya kuona ameshindwa kuwa mfalme Barcelona akakimbilia PSG ghafla na...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  12. JamiiForums Tanzania Hili la Mbowe kuibua kipaji cha Prof. Kitila Mkumbo lina ukweli?

    Wakuu, kama tulivyomsikia Mbowe akizungumza namna alivyoibua vipaji vya kisiasa , na miongoni mwa aliowataja kama matunda yake ni kitila Mkumbo wakati anasoma! Kuna ukweli hapa? Mwenye kumbukumbu na history ya Pro. Mkumbo atupe mwanga
  13. P

    JamiiForums Tanzania WIMBOMPYA: Hili ni Bonge la Wimbo wa Kuwanadi Lissu na Heche kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, sikiliza hiki kipaji TOT wakasome

    https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
  14. JamiiForums Tanzania Je, kuweka akiba ni kipaji?

    Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu. Get back to the point kuweka akiba ni kipaji sio kwa ajili ya Kila mtu ndio maana formal sector walikaa chini na kuumiza vichwa namna watakayo...
  15. JamiiForums Tanzania Una kipaji usichokitumia?

    Mimi kipaji changu ambacho sikitumii kabisa ni kupiga gitaa, hasa hasa gita la solo. Hiki kipaji Mungu alinipa toka utoto wangu,nilianza kwa kupiga madebe, makopo, nikapiga marimba, zeze, ndipo nikawa nawafata wana miziki nawaomba gitaa wananipa na hatimae nikafaulu sana nikawa mpiga mzuri mno...
  16. JamiiForums Tanzania Rodri: "Cristiano Ronaldo hana kipaji asilia. Mtu yoyote anaweza ku-train na kuwa kama yeye"

    Naona huyu jamaa tangu amepata ballon d or uchwara analopoka lopoka tu.
  17. JamiiForums Tanzania Fadlu apagawa kipaji cha Mpanzu, awaita mashabiki

    Wakati dirisha dogo la usajili likikaribia kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa, wakae tayari kumuona mchezaji mpya, Elie Mpanzu, akisema ataongeza kitu ndani ya kikosi chake kutokana na kipaji kikubwa alichonacho...
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan na dili la Juventus Academy Tanzania

    Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema: Juventus Academy Tanzania inalenga kusaidia vijana wenye vipaji vya soka kwa kutumia mbinu za mafunzo za Juventus zinazotambulika...
  19. JamiiForums Tanzania Ushereshaji (MC) ni kipaji mtu anazaliwa nacho au unaweza ukajifunza?

    Huku lindi kuna shughuli za rusha roho mataraabu au unyago mtoto anachezwa yaani kama kipindi hiki ndo zimefululiza kila siku na hasa weekend unakuta mtaani maspika yanapiga tu visengeli vigodoro vinachezwa nyumba mpaka nyumba watu wanagarauka na wanafupana pesa na sio siri watu wanapata hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…