kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. TheMaster

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Hussein Bashe angekuwa kiongozi mwingine angekuwa ameshatenguliwa

    Kauli Chonganishi ya waziri wa kilimo Hussein Bashe kuhusu wananchi wa jimbo la kisesa, Jimbo halali lililo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi wake ni wananchi halali wa Taifa hili kuwa hatowapekekea pembejeo za kilimo, ni kauli tata, ngumu na isiyovumilika hata kidogo. Huko...
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
  4. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

    Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi? Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako? 1. JK Nyerere 2. Ali Hassan Mwinyi 3. BW Mkapa 4. J M Kikwete 5. JP Maguful 6. SS Hasani
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rostam: Tuungane kukomesha vitendo vya kishetani katika nchi yetu. Poleni CHADEMA

    TAARIFA YA ROSTAM AZIZI KUFUATIA MAUAJI YA KIONGOZI WA KISIASA Katika siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia kujirudia tena kwa matukio ya kikatili ambayo yamehusisha kuripotiwa kwa vitendo vya utekaji, utesaji na jana tukashuhudia tukio baya zaidi la mauaji ya kiongozi wa Chadema, Ndugu...
  6. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hasara za Mbowe kuwa kiongozi wa Kiimla

    Hasara za Freeman Mbowe kuwa kiongozi wa kiimla katika CHADEMA, au chama chochote cha kisiasa, zinaweza kuwa nyingi na zinaweza kudhoofisha chama na harakati zake za kisiasa kwa ujumla. Hapa ni baadhi ya hasara kuu: ### 1. Kudhoofisha Demokrasia Ndani ya Chama Uongozi wa kiimla unaweza kuzuia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Kiongozi wa CCM aliwahi kusema ushindi CCM hauna Mungu akipenda, ni lazima!

    NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020 Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇 "…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mlaani hapa kiongozi aliyekukosea

    Mimi naanza. •Alaaniwe kiongozi aliyeuza nyumba za serikali kwasababu yoyote ile. Nyumba zile ni za watumishi wa kawaida, wakaziuza kisha watumishi wakaanza kuishi kifukara lakini wao wenyewe waliishi nyumba za bure. Watumishi kutokana na vipato vyao hawawezi kupata viwanja vya milioni 30 hivyo...
  9. Synonyms MP

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

    Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA, Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe, Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao 1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA" 2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuepuka fedheha ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu ujao unamshauri kiongozi gani wa upinzani, busara imuelekeze kutokuthubutu kugombea Urais?

    ili walau kiongozi huyo abaki na heshima aliyonayo hivi sasa aliyoijenga kwa muda mrefu sana, lakini pia kuepuka kufilisika uzeeni maana uchaguzi ni gharama sana. lakini pia kuepuka kuaibisha ndugu, jamaa, marafiki na chama husika kwa kushindwa vibaya kwa fedhaha uchaguzi ujao. na zaidi sana...
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aondoka Gaza akiwa amevaa kama Mwanamke

    Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab --- Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli intelligence sources said last night. The architect of the October 7 atrocities was already a target on...
  12. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kanisa katoliki adakwa na vyombo vya usalama

    ⚠️😳 Kiongozi wa kanisa Katoliki adakwa na vyombo vya usalama Marekani na kuvuliwa wadhifa huo kwa kuishi maisha ya kifahari kwa kufanya utapeli wa zaidi ya shilingi bilioni 1.7 ($650k) ambazo ni michango ya wahisani na waumini kwa ajili ya kusaidia wagonjwa/wahanga wa vita nchini Lebanon...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kutokea Lebanon Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
  14. Girland

    JamiiForums Tanzania Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

    UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hezbollah Hassan Nasrallah kuzungumza na vyombo vya habari Duniani kote leo saa 12 jioni

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12 Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote Tutakujuza Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024 Nasrallah expected to give speech at 6 p.m. Today, 10:25 am 3...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine leo ijumaa kiongozi mwingine wa Hezbollah Saeed Mahmoud Diab auawa kwa drone ya IDF, akiendesha gari

    Wadau hamjamboni nyote? IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao! Leo kwa mara nyingine tena wamefanikiwa kuliua kubwa lingine la magaidi likiwa ndani ya gari lake huko Lebanon ya Kusini IDF...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kulitumikia Taifa langu kama Kiongozi katika ngazi ya Wilaya au Mkoa

    Wasalaam! Katika kipindi hiki cha mabadiliko na changamoto mbalimbali zinazoikabili Tanzania, kuna hitaji kubwa la viongozi wenye maono, dhamira, na ujasiri wa kuleta maendeleo chanya. Mimi, kama mwana-Tanzania mwenye ardhi ya mzizi na dhamira ya dhati, nipo tayari kuchukua jukumu hilo kama...
  18. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Huhitaji Nabii kujua kuwa kuna anguko kwa kiongozi anayeua watu ovyo

    Ni majira na Nyakati zimefika kwamba wauwaji Wasiojulikana wameanza kujulikana! Kwa ukimyaa wa Viongozi kukemea na kuchukua hatua inaonyesha ndio Waasisi wa haya mauaji,kulinda utawala wao. Historia inaonyesha kuwa ukiua watu damu zao zinadai malipo, Viongozi walikufa japo walipenda watawale...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Trump ni noma ep 1, aliwachimba mkwara Taliban hakuna Mmarekani aliguswa kwa miezi 18, Biden alipoingia waliua, kupora silaha na kupindua serikali

    Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki. Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi kutumia siku 3 kwenye matamasha katika nchi yenye changamoto kibao, tutafika kweli?

    Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua...
Back
Top Bottom