kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuwa na akili nyingi za darasani na kuwa kiongozi bora!?

    Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi. Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote. Yaani wenye uwezo mkubwa dalasani na pia wenye uwezo mdogo na hata uwezo wa kawaida tu dalasani lakini pia wakaongoza...
  2. JamiiForums Tanzania Trump Asema Anamheshimu Sana Zelensky, ni Kiongozi Jasiri. Haamini Alimwita Dikteta

    Rais Trump wa Marekani anatarajiwa kukutana na Rais Zelensky wa Ukraine, siku ya leo, ikulu ya Marekani White House. Jana, Rais Trump akisubiria ujio wa Rais Zelensky, alimsifia kiongozi huyo kuwa ni kiongozi jasiri, na kwamba anamheshimu sana. Rais Trump, alipoulizwa kama yupo tayari kumwomba...
  3. JamiiForums Tanzania Meneja wa Yanga akiteta jambo na kiongozi wa Mashujaa

    Mipango inaenda vizuri
  4. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kiongozi na mgombea tunayetegemea atumie 'Neoclassical economics' na adadavue 'Complex Economic Boost Projects' Kuondoa umasikini Tanzania

    Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa

    Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa. Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha na wao watoto wa kike wa Tanga wanajengewa shule ya bweni ya wasichana ili...
  8. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini wito wa kuichangia CHADEMA pesa ya maji na kuendeshea chama hicho uliotolewa na kiongozi wake mpya unasuasua kama vile umepuuzwa?

    Wengi wameshtukia na kuhisi mpango huo wa kiongozi wao ni utapeli? Au wanaona michango yao kupitia ruzuku inatosha kabisa kuendeshea chama, kununua maji ya kunywa spirit, nyama na matumizi mengine, na kuchangishwa tena ni usumbufu na ulaghai? Au wanahisi watadanganywa tena kama...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Brigedia Jenerali, Mndolwa: Wananchi kuongozwa na kiongozi mmoja, haimaanishi kwamba hawana akili, kiongozi bora anakubali ushauri wa wananchi

    Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani viongozi wanasaidia kusimamia kanuni ambazo zimekubalika, na kanuni hizo haziwezi kusimamiwa na watu...
  10. JamiiForums Tanzania Elon Musk ataka Julius Malema apigwe vikwazo vya kimataifa na atangazwe kuwa mhalifu wa kivita

    Mjasiriamali bilionea Elon Musk ameibua mvutano mpya na kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, akipendekeza kwamba Malema atangazwe kuwa mhalifu wa kimataifa. Mvutano huu umetokana na video ya Malema akidai kuwa chama cha Democratic Alliance (DA) kinawaunga mkono...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa dini anasema ukweli

    Kuna watumishi wazalendo🙏 https://youtu.be/OaJUpqRmdUI?si=k4rHM3xLXXEWmI3I
  12. JamiiForums Tanzania DKT. Mwigulu Nchemba: Kiongozi mwadilifu na nguzo ya maendeleo ya taifa

    Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za wapinzani wake kueneza kampeni chafu dhidi yake, ukweli unabaki palepale—hana doa la ufisadi, hana tuhuma...
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama ya kijeshi yatoa hati kiongozi wa AFC/M23 Corneille Nangaa akamatwe

    Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa. Shirika la Habari la AP limeripoti leo Februari 7, 2025, kuwa mahakama ya kijeshi nchini humo...
  14. JamiiForums Tanzania Maelfu ya wakazi wa Goma wakusanyika uwanjani kusikiliza Hotuba ya Corneille Nangaa kiongozi wa AFC/M23

    Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23). Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini. Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiongozi wa chama Thirdway Alliance asema Kenya inaweza kujitegemea bila misaada ya Marekani. Asema shida ni kubwa ufisadi na ubadhirifu

    Kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot, amesema kuwa Kenya inaweza kujitegemea bila msaada kutoka Shirika la Usaidizi la Marekani (USAID) tatizo kubwa limekuwa ni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma Aukot alisema kuwa Kenya inapata fedha nyingi lakini nchi hiyo haina pesa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa hakuna kiongozi atakayeihama CCM na kuifanya itetereke hata awe anapendwa vipi

    Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

    Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88. Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
  18. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa umma apimwe kwa Uwezo wake si kwa Jinsia, Ukabila, Dini, Uzanzibari au Ubara

    Salamu wakuu, Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia yake, Dini yake, Uzanzibari wake, Utanganyika wake, Sura yake nk. Bali ubora wa Kiongozi unatokana...
  19. JamiiForums Tanzania AI yamuweka Kagame kuwa kiongozi bora zaidi kuongoza Afrika moja iliyoungana!

    Ni ChatGPT AI
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

    Ndugu zangu Watanzania, Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…