kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Victor Tesha – Kiongozi Mpya Kwa Moshi Vijijini | Maono, Uaminifu na Uwezo

    UJUMBE: Wana-Moshi Vijijini, Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi wa kisasa usioegemea siasa za maneno matupu. Moja ya majina makubwa yanayosisimua mioyo ya vijana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano ukawa mwanafunzi huku ukiwa kiongozi wa kisiasa?

    Habarini wakuu. Hivi kuna uwezekano ukawa bado mwanafunzi wa chuo halafu hapo hapo ukawa kiongozi wa kisiasa mathalan diwani wa kata? Na je ukafanikisha kuwa na hiyo nafasi, kuna uwezekano ukaweza kufanya majukumu yote hayo mawili kwa nyakati moja!? Na je utayafanyaje na utapangiliaje muda...
  3. JamiiForums Tanzania Mpinzani mkuu wa Rais Paul Biya wa Cameroon aenguliwa kugombea

    Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025. Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa. Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    a. Aliingia kupitia mtandao b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama. d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama...
  5. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Benjamin Mkapa: Ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa Serikali iliyopita

    Leo ikiwa ni miaka mitano tangu kufariki kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, alisisitiza kuwa ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa serikali iliyopita na kuwataka viongozi kuheshimu misingi na mafanikio yaliyotangulia. "Tuna mabadiliko ya serikali katika nchi za Afrika, wakati...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  7. JamiiForums Tanzania Katiba ijayo isiruhusu mwenyekiti/ kiongozi mkuu wa chama cha siasa kuwania nafasi ya uraisi ili kuleta mizania katika uongozi wa Taifa

    Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni mwa hoja zenye uzito mkubwa ni ile ya kutenganisha madaraka ya chama na dola. Nikiwa Mtanzania...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nikija kuwa Rais huko mbeleni.

    Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4. 1. Kulinda mipaka ya Nchi. 2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu. 3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa kuhakikisha hakuna mhimili au chombo chochote kinatumia mabavu na vyombo vyake kupora HAKI za Watanzania...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moshi mjini Tunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi!

    Moshi mjiniTunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi! Katika kipindi hiki muhimu cha siasa, Moshi inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa, na moyo wa dhati wa kuwatumikia wananchi, si mtu anayesukumwa na makundi ya kimaslahi au ajenda...
  10. JamiiForums Tanzania Raisi Wa Iran Ashutumiwa Kutaka Kumpindua Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei Kipindi Alipokwenda Chimbo Wakati Wa Vita Na Israel

    Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei. https://iranintl.com/en/202507149808
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Kiongozi siyo tu awavumilie wakosoaji na watukanaji, bali pia awazuie wanaompenda na kumtetea au kujibu hoja za wanaokosoa

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kuypitia ukurasa wake wa Facebbok ==== Uimara wa nchi hautokani na wananchi kutokosoa wala kutotukana. Uimara na mshikamano wa taifa hutokana na wanaokosolewa au kutukanwa; kuwa na ngozi ngumu na ustahimilivu. Kiongozi siyo tu...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyenyimwa Fomu sio super black tu hata yule katibu mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja tu na yeye alinyimwa

    Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
  13. JamiiForums Tanzania Polepole kaonyesha kivitendo maana ya Demokrasia: Usipokubaliana na Kiongozi wako, unajiuzulu!

    Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia. Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa. Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi. Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run. Bila kuonyesha sababu zake za...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
  15. JamiiForums Tanzania Je,Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika kama Kiongozi

    Wakuu, Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika? Mimi najua tu ni Kiongozi Mahiri, Mwanasheria na Mwanadiplomasia.
  16. JamiiForums Tanzania Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas awahutubia wakazi wa Gaza!!!

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag: “Hamas haitatia saini mkataba huo. Morag Corridor inawatia hofu. Hawataki...
  17. JamiiForums Tanzania Polepole: Kiongozi wa Umma ukificha last seen ya WhatsApp, ukiwa ‘online’ hauonekani huo ni uhuni

    Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole aliwahi kutoa kauli kali kuhusu tabia ya baadhi ya viongozi wa umma kujificha kwenye mitandao ya kijamii, hususan WhatsApp. Akizungumzia suala hilo, Polepole alisema “Wewe ni kiongozi wa umma, lakini simu yako kwenye WhatsApp ukiwa umetumiwa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema alisema Lissu hawezi kuwa kiongozi kwa sababu hana pesa, hawezi kuendesha chama

  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  20. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

    Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani. Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…