Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.
ENEO LENYE FRAME ZA MADUKA LINAUZWA
UKUBWA WA KIWANJA NI 400 SQM
BEI NI BILLION MOJA,MAONGEZI KIDOGO YAPO
NI CORNER PLOT,KARIBU KABISA NA KITUO CHA MWENDOKASI
DOCUMENTS:TITLE DEED
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
ENEO LENYE FRAME ZA MADUKA LINAUZWA
UKUBWA WA KIWANJA NI 400 SQM
BEI NI BILLION MOJA,MAONGEZI KIDOGO YAPO
NI CORNER PLOT,KARIBU KABISA NA KITUO CHA MWENDOKASI
DOCUMENTS:TITLE DEED
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
HEshima yenu wakuu.
Kuna kelele zinazosikika usiku huu karibu kinondoni nzima kuanzia makaburini mpaka kinondoni hananasifu mpaka kinondoni manyanya yote..
Kelele hizi zinatokea kwenye msikiti.zilianza mapema saa tatu usiku na mpaka usiku huu mnene bado zinaendelea na kwakweli huwezi...
Aisee haya mambo sijasimuliwa nilijionea mwenyewe juzi.
Kuna jamaa yetu alikua anaumwa kwa muda mrefu ikabidi kwenda kumsabahi hapo Mwananyamala hospital. Tulipofika ndio hio siku akawa ameruhusiwa kwenda kwake hivyo ikabidi niwape lift hadi wanapokaa.
Ule mtaa nilioyaona aisee ni kufuru...
Najiuliza hawa DDC wanapata wapi uharali wa kupima viwanja maeneo ya Mbopo, Mabwepande na Tegeta A. Nadhani sheria za ardhi zinakiukwa na naona kuna mgogoro mkubwa unakuja huko mbeleni. Wizara ya Ardhi wanatakiwa walifuatilie hili jambo kwa umakini sana
Plot Available For Sale.
Location: Kinondoni Morocco, Uporoto Street.
Size: SQM 3326.
Price: USD 1.2 Million (Negotiable).
Document: Clean Title Deed.
For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply.
Contacts: 0784 829565 or 0767 833345
@prathlimited
Plot Available For Sale.
Location: Kinondoni Morocco, Uporoto Street.
Size: SQM 3326.
Price: USD 1.2 Million (Negotiable).
Document: Clean Title Deed.
For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply.
Contacts: 0784 829565 or 0767 833345
@prathlimited
Wanabodi
Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni
https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu
Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
Wakuu
Mbunge wa Kinondoni Mhe Tarimba Abbas amekutana na akina Mama wapatao 54 wa Kata ya Mzimuni na kuwapatia mitaji kuendeleza shughuli zao za ujasiriamali.
Pia, Soma
Kinondoni patachimbika! Wanaotaka Ubunge kibao, yumo Iddi Azzan, Tarimba na mjukuu wa Bakhresa
Uongozi wote wa Manispaa ya Kinondoni kuna haja ya kujitafakari:
Stand ya daladala Bunju imehamishiwa barabara kuu ya Bagamoyo Manispaa imeshindwa kujenga standi hata ya changarawe. Matokea yake ni ajali na kugongwa kwa wananchi.
Kata zote Barabara wananchi wanajichangisha wenyewe kulipia...
Habari wanajamii forum,
Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
Eng Hersi amekuwa ambaye ndiyo Rais wa club ya Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa, amekuwa mahiri na kuonyesha uongoza thabiti na wenye weledi
Akiwa Yanga amefanya mapinduzi makubwa na mafanikio kimataifa,
Amefanya biashara ya mpira na kiuwezesha timu ya Yanga kuwa Moja ya timu kubwa...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) @dawasatz Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Kinondoni kufikia asilimia 97%.
Akizungumza katika Kikao Kazi cha DAWASA na...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya kuwashirikia viongozi wa Serikali za mitaa kwenye utekelwzaji wa majukumu yao.
Amesema hatua hiyo itawasadia...
NYUMBA INAUZWA
MKOA: Dar es Salaam, Tanzania
WILAYA: Kinondoni
MAHALI: Bunju Beach, Moga
NYUMBA INAUZWA KAMA ILIVYO
BEI: TZS Milioni 550
MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA KIWANJA: SQM 1600
UMILIKI: Ina hati safi
NYUMBA KALI SANA INAUZWA
SIFA ZA NYUMBA:
Vyumba 4 vikubwa vya...
Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba.
Umeme Kila siku unakatika katika ndani ya muda mfupi na wakati mwingine kukatwa kwa muda mrefu kwa maelekezo...
Mfanyabiashara na mkazi wa Kinondoni, Daud George (28) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuiba mita za maji na kuisababishia hasara ya Sh904,277. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa).
George amefikishwa...
Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...