kimataifa

  1. Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Salaam Wakuu, Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu? Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
  2. Kilio cha Tigray: Jamii ya Kimataifa chukueni hatua

    Kumekuwa na kilio cha muda mrefu cha kuzorota kwa hali ya kibinadamu huko Tigray, Kaskazini mwa Ethiopia. Hali ya vita inasemekana kusababisha vifo, njaa na hata miundombinu msingi kama umeme, barabara na majengo. Kwa hali inayoripotiwa na viongozi wa Tigray, Jamii ya Kimataifa haijachukua...
  3. Kwa kikosi hiki cha Simba SC, nawashauri mashabiki wajiandae kisaikolojia maana hawatafika popote

    Takwimu za Asec mimosa ligi kuu mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi Huku upande wa simba mambo yako hivi. Morrison Lwanga- injury Chama Mugalu kibu denis- injury Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa. Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
  4. Je, wanaanga waliopo kwenye kituo cha anga cha kimataifa, International Space Station wanapata usiku na mchana?

    Mimi nauliza kwenye kituo cha anga huko juu na wao pia wana usiku na mchana na wanatumia saa kama huku duniani? Maana wanakua wametoka kwenye mfumo wa dunia wa kuzunguruka kupata usiku na mchana. Nasubiri maarifa yenu wana jamvi kuu, JamiiForums, kisima cha maarifa
  5. K

    Wachambuzi wa siasa za kimataifa naomba mnijibu maswali yangu haya kuhusu taifa la USA

    Mnafahamu kuwa kwa Sasa mgogoro baina ya Ukraine na Urusi ,unaonekana kuwa Kati ya Urusi na Marekani? Yaani sasa hivi ni majibizano kati ya Joe Biden na Vladimir Putin? Kwanini Marekani kashikia bango mgogoro huu? Kwanini Urusi anashauri NATO isiiunge Ukraine? Lakini kwa Nini Marekani...
  6. M

    Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

    ===== Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka, Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa...
  7. Afghanistan: Kaimu Waziri Mkuu asema Uongozi wa Taliban umekidhi vigezo, utambuliwe kimataifa

    Mullah Hasan Akhund anayekaimu nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema Utawala wa Taliban umekidhi vigezo vyote hivyo itambuliwe na Serikali za Kimataifa Akhund ameeleza hayo katika hotuba yake ya kwanza tangu akaimu nafasi hiyo Septemba 2021. Serikali zimekuwa zikisita kuitambua #Taliban...
  8. Mlio kwenye system mtujuze, ni kwanini mikataba inayoingiwa kati ya Serikali na entity nyingi ya kimataifa hufanywa kuwa siri kwa wananchi?

    Eti jamani, hasa nyie mlio kwenye system hebu tupeni mwanga kidogo; ni kwanini mikataba inayoingia serikali huwa inafanywa kiwa siri kiasi mwananchi wa kawaida hapaswi kabisa kujua. Mathalani hii mikataba ya mikopo, ni kwanini msiiweke hadharani ili tujue masharti yake yakoje, why?
  9. Full Text: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya kufunga mwaka 2021. Kirusi kipya cha Corona cha Omicron kimeshaingia Nchini Tanzania

    Rais Samia Suluhu anahutubia Taifa kuuga mwaka 2021 na ameanza na mfumuko wa bei. Rais Samia ametaja changamoto ya mfumuko wa bei ulioshuhudiwa 2021 kuwa ni zao la ongezeko la bei za mafuta kwenye soko la dunia. Aidha Rais Samia amelitaja janga la COVID19 kuwa sababu nyingine ya ongezeko la bei...
  10. Mtu anaweza kulaumiwa kimataifa, lakini kwa Katiba yetu ilivyo sasa, huhitaji sababu kumuondoa Rais ikulu

    Katiba yetu ni ya ki war lordism. Ni jungle justice. Natural justice. Kariba yetu imeandikwa na Charles Darwin. It is about survival of the fittest. The leader can be challenged at any time. Kama ambavyo recently ilikuwepo referendum ya Scotland kutaka kujitoa kwenye Union. Iliposhindwa Ile...
  11. Tetesi: Nadhani viongozi wote mliofanya mikutano ya kimataifa mmeona changamoto ya lugha.

    Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu. Nilipata kuhudhuria kongamano moja tulikua nawaganda kwakweli sisi kiingereza kinapiga chenga na hata...
  12. U

    Leteni ushahidi wa namna Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilivyoharibu mahusiano ya kimataifa

    Enyi walimwengu Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana. Angalizo kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo...
  13. J

    Shaka: Uthubutu wa Rais Samia unaifungua nchi kiuchumi na kimataifa

    SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
  14. S

    Mnaoidharau TMA someni hapa, ndio mjue bila TMA, hata ujio wa ndege za kimataifa ungekuwa wa mashaka na hata Watalii kuwapata ingekuwa mtihani

    Nimesoma thread moja hapa JamiiForums watu wanaiponda TM. Nachowaambia hawa watu waachei kudhrau kazi za watu bila kufanya utafiti wa kutosha. Tambueni, mbali na huduma zingine, unaporuka na kutua salama kwa ndege hapa nchini, TMA inahusika pakubwa. Soma hii: Habari Imewekwa: Jan, 16 2021...
  15. L

    FOCAC yaweka mfano mzuri kwa ushirikiano wa kimataifa na Afrika

    Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umefanyika hivi karibuni mjini Dakar, Senegal. Tangu kuanzishwa kwa jukwaa hilo, ushirikiano kati ya China na Afrika umepata mafanikio makubwa, na kuwa mfano mzuri kwa ushirikiano wa kimataifa na Afrika. Ili...
  16. Hii ni list ya wasanii waliotazamwa zaidi nchini Kenya, Mmakonde anazidi kupotea kupotea anga za kimataifa

    Mondi azidi kuonyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa East africa 🌍 kutokana na kuwa namba moja kwenye list ya watu walioangaliwa zaidi mjini YouTube ....... Ushauri wangu watanzania tuhamasishe wasanii wetu wafanye muziki na sio kulia lia kwenye media
  17. Viwanda Vidogo Katika Level ya Kimataifa

    Kwenye masoko ya kimataifa, kuna bidhaa nyingi ambazo hazitengenezwi na viwanda vikubwa. Mifano michache ni pamoja na spare parts mbalimbali za magari, mipira, viatu, na nguo za kuvaa. Kwa nini Tanzania hatutoboi katika viwanda vidogo vya namna hiyo na kuingia kwenye masoko ya dunia...
  18. Live From Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika Day 2: Prof. PLO Lumumba, Mhe. Dotto Biteko Ndani ya Nyumba!

    Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  19. Kutoka Arusha: ITAC - Mkutano wa Kimataifa Kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Nchi za Afrika. "Bila Uwazi, Hakuna Uwajibikaji" -Ludovick Utouh

    Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
  20. Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…