kimasihara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Namfananisha January Makamba na Harry Maguire!

    Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.
  2. De Professor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A real man should have class: Nilivyoshindwa kula kimasihara

    Nikiri wazi kale ka uzi Pendwa ka vijana wakati mwingine kana hamasisha na unaeza kuwa mtaani na mambo yako ukikumbuka tu JF unasema eemu ngoja nitest zari. Kwa kifupi last 2 weeks nilikua napita pita tik tok kuna mdada kiukweli ni pisi hatar nilikua namfatilia kwa week kadhaa huwa anapenda...
  3. VMWare-Oracle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhusiano wa bia na kula tunda kimasihara

    Habari za wakati huu wana JF. Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi. Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumla kimasihara mwanamke wa rafiki yako

    1Kuna siku nilikwenda club na washkaji zangu nikakutana na ex wa brother wangu. Nikamsalimia akaniomba nimnunulie bia nikamletea huyo nikaondoka nikajichanganya zangu bado kama nusu Saa club kufungwa yule ex wa bro alikuja kucheza na mimi hapa nami nikiwa nimelewa. Club ikafungwa nikatoka nae...
Back
Top Bottom