kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. Polisi wa Kigamboni wameungana na Wananchi wa Kimara kuwatia moyo

    Salaam, Nimefarijika sana.. Maandamano ya leo yalijaa wana wa Jeshi. Sio Polisi wote wabaya. Wanne wametoka Kigamboni, Askari Magereza Wawili wametoka Mbezi beach, Wanajeshi Watatu wametoka Goba. Tumekinukisha balaa. Leo baada ya night shift, tutahakikisha tunaenda maandamano yalipo...
  2. GE2025 V8 ya ‘watu wasiojulikana’ yachomwa moto Kimara na waandamanaji

    Aloooo, V8 imekula moto inateketea bila habari! Yaani leo tena hawa wasiojulikana wanaojulikana wajitokeze vizuri, ili wafichuliwe. Siku iishe watekaji wote nao wawe wamejulikana. IKiwa katikati ya barabara wananchi wamepiga moto V8 ya watu wasiojulikana.
  3. Ratiba ya maandamano Kimara - Posta

    Amani iwe nanyi Tutaanzia kimara wengine tutawapitia ubungo, wengine tutakutana nao Kariakoo then tutashuka mpaka Magogoni Polisi watatupa ushirikiano wa kutosha na watakuwa wanarudi nyuma wenyewe Kadiri watakavyokuwa wanarudi nyuma ndo tutakavyokowa tunasogea Mpango umesukwa ukasukika...
  4. W

    Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  5. Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    Kwa kweli sijawahi kuona raia useless kama hawa wa Kimara na viunga vyake. Yaani kila siku wanateseka na foleni, wanabebwa kama mizigo kwenye mwendokasi, lakini bado wako kimya, wakiwa wamekaa kwa roho ya “basi tuendelee tu.” Ni aibu. Hii siyo tena subira wala uvumilivu – ni upumbavu uliokomaa...
  6. Kimara inaharibu taswira ya jiji la Dar, serikali haioni hii aibu?

    Wanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na vinyumba vyenye mabati yenye kutu hadi unajiuliza hivi shida ni nini? Mbona hata manzese siku hizi...
  7. Mfanyakazi anahitajika alie Karibu na Kimara/Morogoro Road Mshahara 150k

    Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea. Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa) Muda wa Kuingia kazini : 12:50 asubuhi,means saa 1 kamili igonge upo kazini) Muda wa Kutoka kazini : 3:50...
  8. Foleni Kimara Stop Over mpaka Suka - tarehe 16.08.2025

    Habari za jioni wakuu. Nimepita mida hii jioni leo tar 16.08.2025 mitaa hiyo ya Kimara Stop Over kuelekea Suka na kukuta kamba ndefu kiaina, lakini sababu leo ni gari dogo kuungua likiwa barabarani. Sijajua chanzo cha gari hilo aina ya Toyota Premio New Model kuwaka moto.
  9. Foleni kali sana Ubungo - Kimara

    Aisee, hii kamba ya leo tarehe 13.08.2025 ni ndefu sio kitoto. Yaani kutoka Ubungo mpaka Kimara umbali wa kilometa 5 tunatumia masaa 2:30. Tatizo nini, ni ujenzi wa barabara au kuna ajali? @Tanroads
  10. Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  11. Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  12. INAUZWA Dar Kimara: Guest House Vyumba 10 Kwa Mil. 100 Tu

    . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  13. Watu wa kimara mjitahidi kutunza mwendo kasi hizi zikifika nchini

    https://youtu.be/_9wsgnE2KJg
  14. GE2025 Chalamila: Mwendokasi umepoteza Ladha, mtu mwenye tai hawezi tena kupanda

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za serikali hususan katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Wananchi. Akiwa Kituoni hapo asubuhi ya leo...
  15. Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  16. J

    PLOT FOR SALE KIMARA STOP OVER

    Vivanja 2 vinauzwa Kimara stop over. Ni Kilometa 4.5 Kutoka Kituo cha basi Stop Over, Upande wa Kulia kama unatoka Ubungo. Ukubwa wa viwanja Sqm 903-Mil 38 Sqm 1117-Mil 43 Vimepimwa ila hati bado. Bei kwa vyote:-81M Call 0713794962
  17. Kero njia ya kimara korogwe

    Aisee hiki kinyang'anyiro cha foleni hapo korogwe NI hatari kwanin tahmini haikufanyika kuhusu ujenzi utakavyoathiri hii Barabara yaani kutokea maji chumvi ikifika saa moja unaweza ukashanga Morogoro road unaigusa saa tatu. Njia ndogo na kila mtu anataka kupanua apite hasa bajaji imagine foleni...
  18. Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  19. Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  20. Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…