kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

    Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea. Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Video: Foleni ya Kimara - Ubungo ni balaa mchana huu kuelekea Mbezi

    Wakuu Foleni katika barabara ya Morogoro kipande cha Kimara hadi Ubungo kutokana na ujenzi unaendelea.
  4. radhiya

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamb

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamba Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote Nicheki PM
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila amtaka mkandarasi Barabara ya Ubungo - Kimara kuongeza kasi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anaefanya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia eneo la ubungo mataa hadi kimara kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ili kupunguza adha ya msongamano wa magari kwa wananchi RC Chalamila ameyasema hayo Aprili 10,2025...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na Barabara ya Mwendokasi Kimara hadi Kibaha? ni kama imetelekezwa

    Kwanza niipe hongera serikali kwa kwa upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha siku hizi ukitoka Kimara Stop Over mpaka Kibaha unateleza kusimama ni kwenye mataa tu. Ila janga ni ile barabara ya katikati ambayo ilikusudiwa iwe ya mwendokasi lakini mpaka sasa haitumiki ipo kama pambo. Huwa nikipita...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye umri wa miaka 5 auawa kwa kuchinjwa Kimara

    Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam. Video: ITV Digital
  9. M

    JamiiForums Tanzania WAKUU NATAFUTA CHUMBA CHA 30000 KIMARA AU MBEZI KUFKA ROAD NAULI ISIZID 700

    Wanajf mnisaidie nisje lala nje ukiisha mwez huu nahitaji room kwakwel Uz tayari msaada uwe mwingi kuliko kashfa
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la nguzo ya TANESCO kuoza mtaa wa Mavurunza, Kimara

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO Kimara wanakuja na wanesema kwa kuwa line ni kubwa wao Kimara TANESCO hawahusiki. Nakumbuka kwa mara ya...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kuna Basi la Mwendokasi lilikuwa linapita njia ambayo sio yake, limegonga mtu kwenye Zebra, amefariki Kimara

    Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra. Mashuhuda wanasema kuwa kuna Basi la Mwendokasi ambalo lilikuwa linapita njia ambayo siyo ya kwake, ilikuwa ikitokea Ubungo...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Wito wangu madereva zingatieni sheria za usalama barabarani ili tumalize siku salama

    Habarini wana jukwaa, ni asubuhi ya harakati na pilika pilika lakini katika hali ya kushangaza kuna watu wanataka kusababisha siku isiishe vizuri kwao na kwa watumiaji wengine wa barabara. Dereva wa hii gari asubuhi hii amefanya makosa ambayo kama si kwa umahiri wa dereva wa chombo...
  13. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

    Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria. Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Ubungo, Lazaro Twange azungumzia uhaba wa Maji na ubovu wa Barabara Kimara, asema kuna Mkandarasi amekimbia 'site'

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma. Mh. Twange ametoa maelekezo hayo katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto mabalimbali za wananchi ...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mwana jf wa kike aliye hapa mbuzi online ya kimara suka aje nimpige pombe?

    Kama kuna mwana jf wa kike aliye hapa mbuzi online ya kimara suka aje tupige vyombo.
  16. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  17. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Kimara Stop Over kumbe kaka yangu naye alikuwepo!

    Siku tatu hizi hajarudi anapoishi, wamemtafuta simu hapatikani, kazini kwake nao hawampati mwisho akakutwa mortuary hafai Aliopolewa akiwa tayari kaenda. Unajua nilivyopata taarifa ya ile ajali mida ya asubuhi nilishinda siku yote najisikia hatia, mpaka nakajiuliza kwanini lakini sikupata jibu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kimara matosa

    Nyumba yenye ukubwa wa almost sqm 300 inauzwa Kimara Matosa: LOCATION: KIMARA KWA KOMBA KAMA UNAENDA MATOSA 4 BEDROOMS HOUSE 3 BATHROOMS 1 SITTING ROOM 1 DINNING AREA KITCHEN STORE PARKING NB:barabara ta gari ipo mpaka eneo husika,ukubwa wa eneo ni square meter 400 BEI NI 80M Umiliki ni karatasi...
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kimara Temboni Mbaliii... Ilala na Nyumba Kali

    https://youtu.be/vOANYMxL3uE?si=pmkUckiKzMBay6eh
  20. N

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kivulini - Kimara ameitelekeza Barabara? Imeharibika zaidi ya ilivyokuwa awali

    Miezi minne iliyopita Mkandarasi mzawa alipewa kazi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutengeneza barabara ya takribani kilomita tatu kutoka Kimara baruti hadi Kilungule uwanjani. Mkataba huo ulikuwa ni wa miezi sita kuanzia mwezi wa nane 2024, Agosti 2024 Mkandarasi alianza...
Back
Top Bottom