Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.
Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...