Mrembo matata nchini ambaye ni tajiri na ana connection na mamilionea wengi wa uingereza na marekani, sasa amepanga kuwekeza kwenye strippers club ili watu wapate burudani.
Awali inasemekana kwamba club hiyo itamgharimu takribani bilioni zaidi ya 5 za kitanzia ili kukamilika na iwe na mwonekano...