kilosa

Kilosa (Kilossa) is a city in the Morogoro Region of Tanzania, East Africa. It is the administrative seat for Kilosa District. As of 2002, the population of the town was 26,060.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kilosa wamtaka Prof. Kabudi aachie ngazi ya ubunge na ndani ya chama

    Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu iliyopita na sasahivi anavyojitutumua kujieleza nachoka kabisa kuhusu siasa. Mimi ningekuwa yeye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania CCM yatia neno mashamba yaliyofutwa na Rais Samia Kilosa

    CCM YATIA NENO. MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS SAMIA KILOSA Shaka asema uamuzi huo ni wa kihistoria, umegusa maslahi ya wananchi Na Mwandishi Wetu Kilosa KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevunja ukimya baada ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kilosa: Serikali yakabidhi mashamba 11 yaliyoshindwa kuendelezwa kwa Wananchi

    RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA ,ASISITIZA YATUMIKE KWA AJILI YA KILIMO. Na Mwandishi wetu... Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia...
  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro - LATRA: Kulikoni nauli ya Dumila Kilosa kubakia juu wakati barabara ni lami?

    Hivi karibuni imeelezwa kuwa barabara ya Dumila Kilosa imetiwa lami katika kipande cha kilomita 20+ zilizokuwa zimebaki kutoka Rudewa hadi mjini Kilosa, kabla ya kukamiilika kwa barabara hiyo nauli ya Dumila Kilosa Km 65 ilikuwa ni Sh 5000, na sasa bado nauli ni hiyohiyo pamoja na njia kuwa lami...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Abiria wakwama Kilosa, Morogoro, ni baada ya reli na daraja kusombwa na maji

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha madhara kwa kuharibu miundombinu ya reli ya kati na barabara ambapo daraja la Kidete Wilaya ya Kilosa limekatika na kusababisha treni kusimamisha safari zake. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Majid Mwanga amefika eneo la tukio na...
  6. Chiwaso

    JamiiForums Tanzania Aibu, Vijiji vya Maluwi na Tingida Kilosa havina Umeme tangu Tanzania tupate Uhuru

    Habri za Mchana Wakuu, Majuzi nilipokuwa safarini katika vijiji vya Maluwi na Tindiga vilivyopo wilayani Kilosa mkaoni Morogoro nilkuta jambo ambalo sikutegemea kulikuta. Ni kwamba tangu tupate uhuru, vijiji hivyo havijawahi kupata umeme. Nimekuta rundo la nguzo za umeme zikiwa zimemwagwa...
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Ushauri Barabara ya Morogoro - Kilosa Kuikwepa Mikumi National Park

    Nimekutana na mdau anasema Serikali ina mpango wa kukwepesha barabara ya Morogoro - Mikumi ipite Kilosa ili kuwanusuru wanyama mbugani. Ukitazama ramani inaonekana umbali wa kutoka Morogoro kupitia Dumila au Kimamba ni mbali hivyo itaongeza gharama za ujenzi na matumizi ya nishati kwa wenye...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa akamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha maombi kwa ajili ya Mbowe

    Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Katibu Mkuu CCM atembelea mradi wa treni ya mwendokasi kipande cha stesheni ya Kilosa - Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021. Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam #KaziInaendelea #ChamaImaraSerikaliImara
Back
Top Bottom