kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania HATARI INAYOWAKABILI WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA ARDHI (ARU)

    Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani, Lufungila Survey,Makongo juu na maeneo ya Jirani ANGALIZO Kwenye kona ya chuo cha ARU ukiwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili kozi katika Chuo Kikuu cha Dodoma

    Namna ya kubadili kozi kutoka sanaa ya kiswahili kwenda bachelor of arts with education
  3. L

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM matokeo yametoka ila kwa baadhi yamekuwa 'Withheld' japo tumemaliza kulipa ada

    Habari, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Matokeo ya mwaka huu yametoka, lakini kwa baadhi yetu yamewekwa kwenye mfumo kama “withheld”, licha ya kuwa tumekamilisha malipo yote ya ada na hatuna deni lolote la chuo. Chuo kimetoa namba ya Bursar ambayo wanafunzi wenye changamoto...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Malasusa nia yako ni kuiua Chuo Kikuu Tumaini Makumira, miezi 3 wahadhiri na wafanyakazi hawajalipwa mishahara, mnategemea wanaishije?

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kipo mkoani Arusha, kilikuwa chuo kizuri sana na kilishawahi kuwa ndani ya vyuo vikuu 10 Tanzania. Chuo kikuu hiki kimelea vyuo vikuu vishiriki ambavyo sahv ni vyuo vikuu kamili km University of Iringa, KCMC University, Dar Es Salaam Tumaini University(DarTU)...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kitatoa lini fedha za ‘refund’ tumesubiri tangu Mwaka 2024

    Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
  7. JamiiForums Tanzania Messi kutunukiwa degree ya heshima na chuo kikuu cha Buenos Aires.

    Kweli dunia haiko fair. Wakati goti wa kuvundika anafurushwa timu ya taifa kwa dharau the real GOAT Lionel Messi(LM10) anapewa degree ya heshima na chuo kikuu cha Aeres Buenos kama utambuzi wa mchango wake mkubwa katika soka la Argentina na dunia kwa ujumla. Nadhani mafuta yanaanza kujitenga...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inasikitisha kuona UDOM inashindwa kukarabati na kuwa na Vyoo safi huku shida ya maji ikishamiri

    Katika hali ya kusikitisha, chuo hiki kikubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, chenye majengo makubwa na mazuri, kinakabiliwa na changamoto ya ukarabati na usafi. Baadhi ya maeneo, hususan vyoo, yamekuwa katika hali isiyoridhisha kutokana na kutofanyiwa matengenezo ya mara kwa mara. Ni...
  9. JamiiForums Tanzania TCU ondoeni entry ya division II & III kidato cha sita kujiunga na chuo kikuu otherwise ni kushusha hadhi ya Elimu

    Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene, Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji . Zamani sifa za kujiunga na chuo kikuu ilikuwa lazima...
  10. JamiiForums Tanzania Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kituo Kikuu cha mabasi cha Magufuli?? Kituo Kikuu cha treni/SGR cha Magufuli??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa na Vituo vikuu viwili (mabasi na teni) vyote vyene jina mtu mmoja ndani ya Jiji moja kubwa la Dar?? Vyote vinaitwa vituo vya Magufuli. At least Kile cha bus Mbezi Luis kingeendelea kuitwa kituo cha Magufuli alafu hiki cha treni...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) turejesheeni malipo yetu ya Ada yaliyozidi, mnatuzungusha kila siku

    Nilihitimu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Mwaka 2025 katika Shahada ya Bachelor of Science in Telecommunication Engineering, kero yangu ni kuhusu fedha za overpayment ambazo tulipaswa kurejeshewa baada ya kumaliza masomo. Baada ya kuhitimu, wahitimu tuliandika barua za kuomba kurejeshewa fedha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanafunzi katika Chuo cha SAUT wapata wasiwasi baada ya matokeo yao kutopandishwa na Wahadhiri

    Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA). Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Harvest Mission chamtunuku PhD Mchungaji Mstaafu Samwel Mwahalende

    MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Pentecostal Holiness Mission ( PHM), Samwel Mwahalende, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Harvest Mission cha Texas, Marekani, ikiwa ni kutambua mchango wake wa muda mrefu katika kulitumikia Kanisa na jamii. Akizungumza muda...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  17. JamiiForums Tanzania Je, bongo fleva ndio chanzo kikuu cha Ush

    Video za Bongo Fleva zina hamasisha Ushoga na kinyume na maumbile? Nyimbo ndio zinahamasisha/ Mashairi? Mavazi ndio yanahamasisha?
  18. A

    JamiiForums Tanzania Km kuna wafanyakazi wananyanyaswa ni sekta binafsi na serikali imewatelekeza! Mfano VC wa Chuo Kikuu Makumira ni mtu katili, mnyanyasaji, mbaguzi

    Wafanyakazi wa taasisi binafsi ni km watoto yatima tu. Anzia utaratibu wa mifuko ya hifadhi za jamii(NSSF) wao wanakatwa 10% mwajiri anachangia 10%, PSSSF wafanyakazi wanakatwa 5% mwajiri(serikali) anachangia 15%. Siku ya mafao mwajiriwa wa sekta binafsi anapewa 35% ya mkupuo wakati wa serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini walimu watoto wao wasisome bure chuo kikuu yaani isiwe mkopo.

    Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake. Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila...
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto ya malipo ya Udahili kutosomeka Chuo Kikuu UDOM

    Habari Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika. Tumepiga namba za simu za UDOM SUPPORT 0752811050, 0734986486, 0752550837, 0734986490 na 0752994657...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…