kikosi

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  2. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikosi cha Jumamosi ijayo chini ya Patrick Mabedi, mapema tu wamalawi wanakufa kama kikipangwa

    I salute you kinsmen Folz tayari kishamlamba na sasa tuangalie mbele zaidi na kaimu kocha Mabedi.. Ila nina imani kuwa Bala mussa conte sio mbaya kihivyo ila mfumo tu ule ulimkataa. Kama jumamosi kikosi kikiwa hivi hakika tunaua mbu kwa rungu la kipepe. 1️⃣Diara 2️⃣hapa acheze assinki...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

    Wanakumbi. Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO. Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

    Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari. Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?

    Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu. Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thomas Tuchel Aitaja Kikosi cha England kitakachowavaa Andora na Serbia kufuzu Kombe la Dunia

    Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kikosi cha wachezaji watakaoshiriki Kombe la Dunia mwezi Septemba. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye nafasi mbalimbali: Goalkeepers: Dean Henderson, Jordan Pickford, James Trafford Defenders: Dan Burn, Marc Guehi, Reece James...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Mechi ya Leo na Umuhimu wake kama ningekuwa Kocha Watanzania mngenisamehe kwani Kikosi changu kingejaa wa Yanga, Simba na Azam tu

    Tusidanganyane na tusiwe Wanafiki wachezaji wenye Kucheza hizi Mechi za AFCON kiushindani ni wa Yanga, Simba na Azam tu pekee na kwa hao wengine tunabahatisha tu. Mpira wa sasa unahitaji Exposure hivi Wachezaji wa KMC FC sijui Mashujaa sijui Coastal Union SC na timu nyinginezo wana hiyo...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Technically hadi muda huu Usajili wa Simba SC haujanishawishi kukiamini Kikosi changu na naomba niwe wa Kwanza kusema tutaendelea kuwa Wasindikizaji

    Naona ni kama vile tu Simba SC yangu imewekeza zaidi katika kufanya Propaganda na siyo kuwa serious kujenga Timu.
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unadhani Chama na Mkude wanastahili kucheza kikosi gani kwa sasa?

    Msimu wa 2025/26 unaelekea kuanza, nyota wa soka la Bongo Clatous Chotta Chama na Jonas Mkude waliokuwa Yanga kwa sasa wapo huru, mastaa hao waliowahi kuwa panga pangua kwenye kikosi cha Simba unadhani safari yao sasa itahamia wapi msimu ujao.
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Vympel: Kikosi cha siri kinachotumiwa na Kremlin kuwaangamiza maadui wa Putin nje ya Urusi.

    Hiki ni kikosi cha siri ndani ya shirika la ujasusi la urfusi yaan FSB kinachoundwa na watu hatari zaidi zaidi duniani. naam wakuu hawa qatu ni hatari kuliko hatari yenyewe wanaua popote duniani na mda wowote. wanatumia sumu bunduki karate judo yaani kila njia ili tu kazi waliopewa ikamilike na...
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba hatujitaji kutumia nguvu nyongi kwenye huu usajili,tuna kikosi bora cha kwanza kutupeleka fainali Club Bingwa

    "Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara. Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha kuipeleka Simba fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tunayo timu ya kuipeleka Simba kwenye kuwania...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga Cha Iran kabla ya kuangamizwa alisema anatamani kumuua Trump na wenzake

    Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Irani (ambaye aliangamizwa katika shambulizi la ufunguzi wa Operesheni ya "Simba Anayeinuka"), alisema katika mahojiano ya 2023 ya TV: "Tunatamani kuwaua Trump, Mike Pompeo (aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kikosi Cha Tanzania kwajili ya CHAN 2024

  14. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Auckland City kukipiga na Bayern Munich bila Kikosi kamili, baadhi ya Wachezaji wamekataa kujiunga na timu kutokana na kazi zao

    Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shida kubwa ya kikosi cha Simba ni quality ndogo ya wachezaji na siyo uchovu wa mechi. Ratiba kama yao Yanga aliipitia 2023/2024!

    Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo! Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kelvin Nashon Naftal mzawa pekee aliyeanza kwenye kikosi cha Singida BS dhidi ya Simba SC

    Kiungo Kelvin Nashon Naftal wa timu ya Singida Black Stars ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeanza leo kwenye kikosi cha Singida BS kinachocheza dhidi ya Simba Sports Club. Kikosi cha Singida Black Stars dhidi ya Simba SC, Ligi Kuu ya NBC. 1. Amas Obasogie 2. ⁠Andre Cirille 3. ⁠Imoro 4. ⁠Anthony...
  18. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je , singida kupangasa kikosi dhaifu leo dhidi ya Simba kama walivyofanya dhidi ya Yanga?

    Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko.... Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Ikatokea Abdul mtoto wa Mama Samia amechukuliwa kesho kaokotwa hana macho utajisikiaje?

    Anahoji Askofu Gwajima.! Je, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Askofu Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na Taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Mdude: Tuhuma za kuhusika kwa Askari katika kupotea kwa Nyagali, Uchunguzi mkali waanza, kikosi chatumwa, kutoka mtandaoni

    1. Huyu askari most likely hakuwa na ugomvi binafsi na Mdude, , alikuwa anafanya aliyotumwa na wakubwa. Sema ilibidi ajiongeze "asimuue" hata kama alipata amri hiyo! 2. Hizi ni drama tu hakuna lolote la maana litakalofabyika kumpata Mdude 3. Most likely by 1,000,000,000% he is dead... machozi...
Back
Top Bottom