kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kahama Jeans; Karibu ujipatie Jeans aina zote Bei kitonga sana

    Coat jeans_Tsh 15,000/ Boyfriend jeans Tsh_ 15,000/ flare jeans_ Tsh 15,000/ Mom jeans _Tsh 15,000/ jeans normal _Tsh 10,000/ tops_ Tsh 5000/ 📍Napatikana Kahama mjini ➡️delivery bure ndani ya kahama ➡️mikoa jirani na kahama delivery ukipokea mzigo ndio unalipa ➡️ nicheki Pm au Whatsapp...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  3. JamiiForums Tanzania Saa kiume na za kike

    Tunapoelekea msimu wa Valentine tumewaletea mzigo mpya na mkali wa saa za kike na za kiume. Saa zetu ni za ubora wa hali ya juu, nzuri sana na za kisasa. Unaweza kuvaa maeneo mbalimbali ofisini, kanisani, mitoko ya weekend n.k Lakini pia unaweza toa kama zawadi kwa uwapendao hususani kipindi...
  4. JamiiForums Tanzania Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea

    Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea Alidai kwamba walipokuwa wanamuombea walikuwa wakimlazimisha ajibu maswali waliyokuwa wanamuuliza Katika hali hiyo akawa amechukizwa na maswali yale na kuwa katika hali ya ukimya Walipoona hataki...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Awe kuanzia 25 mpaka 50. Mwenye biashara zake au kaajirawa. Dini yoyote, kabila yoyote. Mimi mfanyabiashara. Niko 50+ Karibuni warembo
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Niffer kama kweli kaachiwa huru, kwanini gari lilomchukua lilikuwa na Polisi wa kike na hapo hapo kaitishiwa Vyombo vya Habari

    Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama. Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama. Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke kuongea na watu huku kashika kiuno ni ushamba na kiburi cha kike

    Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno. Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje? Ilikuwa ni lazima aongee akitutaja sisi huku akiwa ametushikia kiuno? Vijana wa kiume walienda mbali zaidi( ila mimi huko sitafika...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

    Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ? Siku moja nipo saloon Alifiki binti m,moja Baada ya kuketi Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi HER > GOOD MORNING DADY HIM > MORNING DOTAA HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ? HER > SIM...
  10. JamiiForums Tanzania NATAFUTA RAFIKI WA KIKE

    Mimi ni kijana mtanashati,,,Sina mambo mengi,,mpole,muelewa,mcheshi... Nahitaji RAFIKI WA kike umri wowote,,,KARIBU PM...tuyajenge
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa fisi, awe wa kike au kiume, akiona nyama, utamjua

    Sijui hata nimaanishacho hapa. Ila fisi na nyama ni balaa bila kujali jinsia wala umri. Ni ujinga kiasi gani kumpa fisi nyama ukadhani ataiacha au kuficha ufisi wake? Baya zaidi ni pale fisi anapokuwa mwenye mamlaka ya kuamua nani ale au asile nyama. Najipigia kelele kimya kimya.
  12. JamiiForums Tanzania Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

    Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka? Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
  13. JamiiForums Tanzania Nimekumbuka kile kitoto cha kike kijinga kilivyoniona mimi Falah

    Nlikutana nae Mlimani City nikawa na ukaribu nae pale fish fish. Nikazunguka zunguka nae ndani. Nikampa na lunch ya ukweli nikamruhusu aende. Kesho yake tu aliniletea Mbunye. Anasoma Law na ni chotara flani kama Kisomali. Basi bwana. Imefika Graduation akanitumia mahitaji yake ya Graduation...
  14. JamiiForums Tanzania Simba tunawasubili mzindue na za kiume hizi mlizozindua mbona ni za kike tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Asanten sana LONDON BOY
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

  16. JamiiForums Tanzania Anahitaji mfanyakazi kike stationery

    Jinsia: Kike Uzoefu: Mwaka 1 Vigezo: 1.Awe anajua kutumia computer na kutumia application zote muhimu za Microsoft Office kwa ajili ya huduma za Stationery 2. Kufanya application zote muhimu katika tovuti za serikali na zinginezo 4. Awe anajua kutumia mashine na vifaa vya stationery 3. Awe...
  17. JamiiForums Tanzania Fuatilia huyo mchumbaako wa kike ana/alikuwa na mahusiano gani na Babaake. Kwa sababu future yenu ipo hapo

    Hamjambo! Baada ya kuchunguza historia ya mahusiano yake, past yake ambayo kwako ndio future ya uhusiano wenu. Jambo la pili kubwa ni kuangalia mahusiano ya huyo mchumbaako wa kike na Babaake. Asilimia tisini na tisa Wanawake ambao ni Wife material wana uhusiano bora na Baba zao. Wanapendwa...
  18. JamiiForums Tanzania KULEA MTOTO WA KIKE NI GHARAMA ZAIDI KULIKO WAKIUME

    Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume. Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike (asiwe trans)

    Natafuta mchumba MWANAMKE awe Dar, wa mikoani hapana sina nauli ya kutuma. Vigezo 1. Awe amezaliwa wa kike na aambatanishe kadi na cheti cha kuzaliwa 2. Awe na elimu walau awe na D ya masomo ya science O level 3. Awe mbea 4. Asiwe anaongea sana ila nikimwanzishia tu atiririke. 5. Wazazi/walezi...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Umri kuanzia 18

    Napatikana Kakola(Kahama) umri wangu 32. Government Employed
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…