kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mawaziri kuwekwa kitimoto na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili mstakabali wa nchi hasa kuhusiana na suala la mfumko wa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini...
  2. B

    Ridhiwani Kikwete amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi

    MHE. RIDHIWANI AZINDUA KIKAO CHA WENYEVITI MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA, ASISITIZA UADILIFU NA KUKEMEA VIKALI RUSHWA. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Aprili 05, 2022 amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba wa...
  3. Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

    Habari? Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenzi. Yaani bila kupepesa macho huna imani tena kiasi kwamba hata ukipata MTU unajisemea'nakuachia wewe Mola kama wangu ewalaaa kama si wangu ewalaaa. Na umeazimia hata ukifa huna...
  4. Q

    Kituo cha Demokrasia (TCD) chaahirisha mkutano wa Maridhiano hadi Aprili 4, 2022

  5. Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

    Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu. Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe. Updates ...
  6. F

    Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

    Hali si shwari ndani ya baraza la madiwani la Manispaa ya Moshi ambako madiwani wamekuja juu wakimtaka meya wao, Juma Raibu kujiuzulu fasta baada ya clip moja kusambaa mitandaoni ambako amesikika akiunga mkono mapenzi ya jinsia moja. Juma Raibu anadaiwa wiki iliyopita alikuwa mgeni rasmi kwenye...
  7. B

    Mambo kumi yaliyobebwa ndani ya kikao Kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Tundu Antipas Lissu, Brussels Ubeligiji

    1. Mhe. Rais ameonyesha wanadamu wenye damu ya siasa Kwamba hakuna Nchi itapiga hatua ikiwa vipande vipande. Tanzania ilimkosea Tundu Lisu Kwa Yale yaliyomkuta, Tanzania ilimkosea Tundu Lisu kumfuta Ubunge na Mwisho Tanzania ilimkosea Tundu Kwa kuacha kuchukua hatua ikiwemo kuchunguza shambulio...
  8. Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

    Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja! Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani...
  9. Tunahitaji Umma ujulishwe matokeo ya Kikao hiki hapa Chuo cha Usafirishaji-NIT

    Baada ya kuibuliwa mambo kadhaa ya kishamba sana yanayofanywa na Askari pale getini ikiwa ni pamoja na kuwazuia Wanafunzi kuingia Chuo kisa hajavaa soksi na mavazi mengine ambapo kulipekea Wanafunzi hao wa kike na WA kiume kupigana na Walinzi hao, Chuo kilitoa statement ambayo ilikua ni Fake na...
  10. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo afanya mazungumzo na Zitto Kabwe

    KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ndg. Zitto Kabwe. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 08 Septemba, 2021 Makao Makuu ya...
  11. Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake. Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi. Rais amesema...
  12. Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

    Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa. Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu...
  13. F

    Ndugai hafai kuwa Spika, CCM mkalieni kikao na kumvua uanachama

    Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope. Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
  14. Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  15. J

    Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

    Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi? #Let's give a Time time,
  16. Uongozi wa klabu ya Simba SC wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM

    Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM. Mkutano wa makocha kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Simba na Yanga ulikuwa unafanyika leo katika makao makuu ya...
  17. Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

    Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba. Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba. Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
  18. B

    Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

    Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa? Vipi hii kuwahusu hawa wengine? Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
  19. Waziri wa Nishati, January Makamba afanya kikao na mabalozi wa Norway, Sweden na Saudi Arabia

    Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba amefanya kikao na mabalozi wa nchi za Norway, Sweden na Saudi Arabia nchini Tanzania. Katika kikao hicho amezishukuru nchi hizo kwa mchango mkubwa wanaoipatia Tanzania katika kuendeleza sekta ya nishati. Waziri Makamba amesema nchi hizo zimeendelea...
  20. C

    Kikao kizito cha dharura cha bodi ya simba kinaendelea muda huu

    Maduka yanayotembea yenye miguu miwili yajiandae, story zenu za mpira una matokeo matatu kasimulieni wake zenu na marehemu bibi zenu, nyambafu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…