Tuliambiwa kwamba Ukraine akithubutu kulipua ndani ya Urusi ndio itakua mwisho wake, haya, imekua kawaida sasa kwa kambi za kijeshi kulipuka mabomu ndani ya Urusi.
Huyu Putin aguswe wapi ndio afanye kweli, kwenu wadadisi wa mambo.... Bwana Utam Urusi teule
---
An explosion was heard overnight...
Jumla ya milipuko kumi yalipuka kwenye kambi ya jeshi ya Urusi huko Crimea. Kuua wanajeshi na kuharibu miundombinu ya kijeshi.
.......
Ukrainian strikes have destroyed Russian barracks in a brutal attack in the Russian-occupied city of Melitopol, in the Zaporizhia Oblast. A total of 10...
Moja ya madai ya hao kuruta wa kirusi ni vifaa duni vya kijeshi walivyopewa🤔
.....
Mobilised Russian soldiers preparing for the war in Ukraine appear to have enough poor equipment and training as a mass walkout is caught on camera in Kazan, southwest Russia. The footage shows uniformed...
Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani kubuni "mipango mipya ya uendeshaji" ya kulivalia njuga jeshi la Iran, akiwataka maafisa wa ngazi za...
Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia.
Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
Mnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu.
I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi.
Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika.
Globalfire
Mwambieni akitaka Amani Kwake DR Congo apunguze Ukabila, aache Kuwaibia Pesa Wakongo awaondoe Wanajeshi wanaolinda Amani huko (hasa kutoka MONUSCO) ambao Wengi wao Wanatoka nchi ya Mwenyeji wake wa leo waondoke kwani Wanatesa mno Raia na hata Kuua (kama ilivyoripotiwa na BBC Mwezi Septemba...
Ili kuepuka kupoteza maafisa wa kijeshi kwa moto unaokuja wa wazalendo wa Ukraine, imeamua kuwaondoa na kuacha wanywa gongo waliosaili juzi wajifie ili watumike kuchelewesha mapigo ya Ukraine......
Russian military officers have withdrawn from Kherson as Moscow prepares for a Ukrainian...
Ombi hilo limesainiwa na Waziri Mkuu Ariel Henry kwenda Jumuiya za Kimataifa linaeleza kuwa nchi inakabiliwa na hatari ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu na hivyo inahitaji msaada wa haraka kudhibiti uhalifu wa magenge yenye silaha.
Tayari Ubalozi wa Marekani umesema Serikali yao haiwezi kwasasa...
Hatutaki vita na Wala si jambo jema Kwa stability ya East Africa. Lakini itakuwa vipi ngoma ikivuma sana na mwishowe kupasuka, Kenya itaweza kuuzima mziki wa Uganda ?
Naona wazi kabisa huyu kijana wa Mu7 akiachiwa madaraka ananaweza kutesti mitambo.
Tanzania walishamalizana nao mpaka leo hii...
According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya
Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu
Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
Dah nimeshangaa sana hii habari ,hivi kati ya US na Germany nani kavuka mstari mwekundu .Germany kila siku analalamikiwa na zelesky kwamba amekua akitoa ahadi hewa, juzi kaahid kutoa magari 50 , na vifaa vingine leo anaambiwa kavuka mstari,.he aliyetoa Himas hamumwoni ,hapo Germany hajatoa...
Wasaidizi wa sasa wa Mheshimiwa Rais mnafeli mno, na hata wewe CDF mpya umefeli. Kwanini kuruhusu Mama kuzungumzia Siasa Jeshini? Ni hatari mno, na wenye akili kuwazidi tulidhani mngeliona hili na kumzuia asilijadili huko kwenu. Bali ajikite zaidi katika mada za kimedani (kijeshi), hasa...
Russia na China wameendelea na mazoezi ya pamoja yanoitwa Vostok 2022 ambayo yajumuisha nchi zingine zipatazo 12.
Mazoezi hayo yaendelea huku bado kukiwa na vita ya Russia na Ukraine pamoja na mgogoro wa China na Marekani kuhusu kisiwa cha Taiwan.
Mazoezi hayo yaloanza Alhamisi ilopita...
Report: Israeli F-35s penetrated Iranian airspace repeatedly during war drills
London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid Russian and Iranian sensors...
China inatarajia kutuma baadhi ya Wanajeshi wake kwenda Urusi kwa ajili ya kufanya mazoezi ya pamoja ya Kijeshi kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 5, 2022.
Mazoezi hayo pia yatahusisha Wanajeshi kutoka Nchi za India, Belarus, Mongolia, Tajikistan na nyingine kadhaa.
Aidha, China imekuwa ikiiunga...
Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
Na mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini?
Kazi ipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.