kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kijana mzelendo anaelezea kuhusu CCM mtandao

    Je hili kundi ndilo lililotufikisha hapa tulipo sasa?
  2. JamiiForums Tanzania Unamjua Mika Chavala? Kijana ambaye bado anaeshikiliwa kwa kesi ya uhaini

    Tukizungumzia vijana wanaoshikiliwa kwa uhaini wengi wanalifahamu jina la binti strong Niffer. Lakini kuna huyu mwamba anaitwa Mika Chavala. Sikuwa namfahamu ila nilim-google baada ya kuona jina lake kwenye media ya kimataifa akitajwa. Nimekuta profile yake ni kijana hodari, jasiri, mbunifu...
  3. JamiiForums Tanzania Kijana: Truth and Justice should be a roadmap to Reconciliation.

  4. JamiiForums Tanzania Mwandambo: Diamond, huwezi kuwaita wasanii wenzio "kenge", haka ka kijana ni laana!

  5. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa US aliyekaa Tanzania anaelezea rushwa ya Tanzania

    Kwa wale mtakao muelewa https://youtu.be/nmHhRISi7nA?si=zet3X4o3liW_3HHo
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana usikubali huu UPUUZI chapati isikutoe kwenye reli huyu ametumwa

    Moja ya silaha waliyonayo nikuwatumia watu maarufu kama hili boya Mwijaku ambaye anapata kidogo chake kutoka kwa watawala eweee kijana usikubali kurubuniwa kwa chapati, msitoke kwenye reli wapo wengi wametumwa kuna yule na wimbo wake wa nani potezeeni.
  7. JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani mzuri wa kumpatia kijana anaetamani kuoa

    Eti tunaomba ushauri sisi vijana ambao hatujaoa
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukiyaendekeza kama kijana kutoboa ni ngumu

    KUNA MAMBO UKIYAENDEKEZA KAMA KIJANA KUTOBOA NI NGUMU. Anaandika, Robert Ng'apos Heriel Mtibeli 1. Kuendekeza mambo ya dini. Kuendekeza mambo ya dini tena wachungaji wa siku hizi kufeli ni kugusa tuu. 2. Kuendekeza Siasa. Mara moja moja sio mbaya kama kuna ishu muhimu lakini sio kila...
  9. JamiiForums Tanzania JK jitokeze Usema chochote, Polepole ni kijana wako uliyemtengeza Mwenyewe

    JK jitokeze useme chochote polepole ni kijana wako ulimtengeneza mwenyewe. Pamoja na kupishana mitazamo Polepole hiyo haiwezi kubadilisha chochote huyo ni kijana wako na mara nyingi nae Polepole amekua anubali mwenye kwamba Wewe ndo master wake Japokua polepole aliamua kua mjamaa wewe ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mwekezaji Kijana akiwa ana enjoy na maisha yake baada ya kuonana na wakuu wetu wa nchi

  11. JamiiForums Tanzania Kijana wangu ameteketeza kama 500M TZS kupata teuzi, leo kanipigia anasema bora tungebeba viwanja na mashamba tu Pwani

    Watu wengi walijua uteuzi mkuu utafanyika tena kipindi hiki na ushindani ungeishia ndani ya chama pekee, huku kwenye kura iendelee kuwa kiini macho. Pole mwanangu T, ulikuwa mpumbavu tu kwa kuwa ulikuwa unaenda kutetea utekaji, uuaji, ufisadi, maongezeko ya tozo in the name of KULINDA AMANI...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana amwambia Zitto 'Uliwapigania wazazi wetu ni muda wa sisi kukupambania'

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekutana na vijana wa jimbo hilo na kujadili nao changamoto mbalimbali zinazowakabili. Katika mkutano huo, vijana wengi waliotoka katika timu tofauti za mpira wa miguu wamesema kwa mara ya kwanza watashiriki...
  13. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 7 wa mauaji ya Mtoto aliyedaiwa kuiba Parachichi wakamatwa

    Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa mahojiano na mara baada ya taratibu kukamilika watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na kijana huyu una lipi la kumshauri?

    Kijana Salim Waziri, ambaye ameonyesha uzalendo wake wa kuchora sura ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye bega lake la kushoto.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha mbalimbali za Kijana tajiri na maarufu sana barani Afrika Wicknell Chivayo

    Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
  16. JamiiForums Tanzania Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake

    Kijana Emmanuel aliyemwaga chozi akilalamika kuwa amesoma Electronic Engineering lakini hapati kazi leo amemtambulisha mke wake
  17. JamiiForums Tanzania Kodi nyeusi (Black Tax) ni kizingiti kikubwa sana cha utajiri kwa kijana Mwafrika mweusi

    Kitu kimojawapo kinachowafanya wazungu kuwa halisi sana(real) na wenye uthubutu ni kwa sababu ya mfumo wao wa maisha ambapo wazazi na ndugu hawategemei misaada au matunzo kutoka kwa watoto na ndugu wengine. Hali huwafanya waweze kutengeneza mitaji na uthubutu kufanya mambo mbalimbali hata ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiislamu Amlipua Rais Samia na Mashehe Ubwaba

    Sikiliza mazungumzo ya dakika 18 makini za Muislamu wakweli https://youtu.be/-lGWIQBFbc0?si=L0igqkSoczC5wpR2
  19. JamiiForums Tanzania Kijana kama unajitafuta nunua nguo rangi hii

    Kama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi. Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo zinachuja na kuchakaa mapema. Saa za elfu 5-10 zote ni za watu wa chini lakini ukipata saa ya elfu...
  20. JamiiForums Tanzania CHATGPT yashtakiwa kwa kushauri kijana huyu ajiue

    Wazazi wa Kijana aitwae Adam Raine (16) huko California Nchini Marekani, wameifungulia mashtaka Kampuni ya OpenAI na Mkurugenzi wake Sam Altman wakidai kuwa Akili Mnemba ya ChatGPT (AI) imehusika na kifo cha Mtoto wao ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri juu ya mbinu za kujiua na kumsaidia kuandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…