kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  2. JamiiForums Tanzania Tumegundua ushirikina/nguvu za giza unaofanywa na kijana kwenye biashara

    Wasalaam Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu. Ilikuwa mida ya saa 2 usiku Baada ya kufika ilipo biashara tulisalimiana vizuri tu na kijana anaepiga kazi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

    Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela. Udhalilishaji...
  4. JamiiForums Tanzania Tatizo la kusahau kwa kijana

    Nini sababu na tiba ya kusahau hususani kwa kijana? Wakati nasoma nilikuwa bingwa wa kumeza hadi wahuni wangu wakawa wanastaajabu naweza vipi yaani definition hata iwe ni kurasa nzima basi nitaimeza yote bila ya kuacha neno hata moja. Recently nimekuwa mtu wa kusahau ndani ya huu mwaka...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Chapakazi Dodoma: Je, unashida gani ndani ya jiji la Dodoma? kutokana na ubize wako huwezi kufanya ? haya kijana wako nipo hapa nitume nikutumikie

    Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza. lengo la kuandika uzi huu maalumu ni kwamba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kukutaarifu boss wangu natuma...
  6. JamiiForums Tanzania Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kijana kama hauna remote Tatu pambana Sana tumekuacha mbali Sana Sisi sio wenzako

    😄😄😄
  8. JamiiForums Tanzania Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk. Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
  9. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana kaamua kuanzisha safari aloiachia HAYATI Thomasi Sankara. Kwa watoto wa 2000, Thomas Sankara ni...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 ya huduma ya mtoto na kijana

    MAADHIMISHO. Ni miaka 25 sasa tangu kuanza kwa huduma ya mtoto na kijana (COMPASSION) KAULI MBIU "Malezi bora kwa ulinzi wa mtoto". Huduma hii inamwezesha mtoto kusoma katika ngazi zote na kuwakomboa katika hali ya umasikikini kupitia Shirika la Compassion International. Vijana wengi wasomi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani hasa CHADEMA toeni neno kuhusiana na matamshi ya huyu kijana wa UVCCM Bokoba, haya siyo ya kudharau

    Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi. Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
  13. JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu una nafasi ya kuwa na kila unachohitaji

    Kila kitu kizuri kinachoonekana mbele ya macho yako leo.,elewa ya kua ni mipango ya watu nyuma. Maisha ni kama story yana kila hatua na matukio mbalimbali. Yakuhuzunisha, kufurahisha na hata kuvunja moyo ila isiwe kama sababu kwako au pengine tunatofautiana mpango wa fedha kutokana na familia...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Kuuza Movie/Series Kwa Kijana Mwenye Uzoefu nayo

    Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani. Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo. Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa. Kazi ni Kuingiza...
  15. JamiiForums Tanzania Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    Kuna wakati unafika unatamani kuishi katika misingi ya imani lakini ujana ni kama unakwamisha. Changomoto kubwa ni vishawishi vya uzinzi na ulevi nawazaga sana vijana waliokoka wanawezaje kushindana na dhambi ya uzinzi na ulevi tena katika mji ambao wanawake wanavaa vimini na suruali za kubana...
  16. JamiiForums Tanzania Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

    Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako. Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi. Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda. Kwasababu upo...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Hello! Hii nchi bado wasomi wachache si kama tunavyodanganyana vijiweni. Yes, haiwezekani vijana wote wakaajiriwa na serikali lakini vijana wachache watakaosoma huu Uzi na wengine wengi wanaweza kuajiriwa na serikali. Unaweza kuwa na kampuni huku ni mwajiriwa. Unaweza kufungua duka, ukalima...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kwa kisa hiki kijana alipaswa kumwambia mchumba wake kabla ya kumuoa kuwa ana mahusiano mengine?

    Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka? Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata hivyo haikuwa rahisi ikabidi azame kwa Jimama mwenye pesa. Aliishi na huyu Jimama zaidi ya miaka 10...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  20. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa Binti alikuwa anakutanishwa na Baba mzazi kwa kificho

    Kuna uzi unasema kuwa Baba wa kambo kalea binti mpaka kawa mtu mzima lakini Binti alipotaka kuolewa mahari akasema apewe Baba yake mzazi na sio wa kufikia. Uzi wenyewe huu hapa Tumsaidie huyu kimawazo Ngoja niwaambie kitu ambacho hamkijui, Ukioa Mwanamke mwenye mtoto kuna asilimia 90% kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…