ya DSTV umeisahau?Nlifikiri unasema 3 pedals kumbe remote mimi zangu ni 4 na ya AC
Umegonga penyewe remote ya aborder nayo anatutishia mfyyuuuTatizo hiyo remote ya Abordor ...
Tafuta pesa kijana ununue brand za kueleweka.
Kitendo cha kuhesabu tu rimoti no ushamba na roho ya kimaskini sana😄😄😄
View attachment 2975527
Mimi huo muda wakukaa kuangalia tv sina ila pesa ndio sina kabisa.Watakuja kusema
Kama una muda wa kukaa na kuhangaika na remote basi tafuta sana hela.
Japo kuna kaukweli... Watu wenye pesa huwa wana mengi ya kufanya hata muda wa kukaa na kuangalia tv wanakosa.
Aisee mtoa mada Yuko sahihi. Amejipima katika uhalisia wa kitanzania tanzaniaKitendo cha kuhesabu tu rimoti no ushamba na roho ya kimaskini sana
Ndio ushamba wenyeweAisee mtoa mada Yuko sahihi. Amejipima katika uhalisia wa kitanzania tanzania