kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23. Mwanamke ambae ni agemate wako...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

    Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu. Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi...
  3. JamiiForums Tanzania Hawa China ambao raia wake wanahangaika na Maisha ndo mlikuwa mnawahita Super Power?

    Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
  4. JamiiForums Tanzania Kijana anaomba ushauri

    Ana shida na milioni mbili akafanye biashara ana uzoefu nazo lakini kuipata hio pesa ni mtihani ana shamba heka kumi amekosa wateja ili apate mtaji. Wazo lake akachukue pikipiki ya mkopo marejesho ni laki tatu kila mwezi kwa miezi 15 jumla milioni 4.5,akishakopa aiuze kwa shs milioni mbili na...
  5. JamiiForums Tanzania VIDEO: RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake

    RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake, ambapo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika; "Maisha yako ya kila siku ni ndoto ya watu wengi sana mtaani. Nimefuatilia historia ya huyu kijana, si tu kwamba inaumiza bali ni uhalisia wa maisha ya vijana wengi, hasa...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana tafuta hela mambo ya mke wa mtu ni nadharia za watu masikini na ambao hawajapevuka akili.

    Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili. Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka. Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?

    Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea. Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana wa UVCCM anasema bila CCM Kariakoo isingekuwepo kama ilivyo sasa, kulikuwa na vibanda vya nyasi

    Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu. Pia soma: Pre GE2025...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kijana ningehama Tanzania kabisa

    Nimekuwa nikifanya biashara kwa miaka sasa , Nina deal tu na mchele nauzia hapo zambia, nadeal na kiazi mviringo kinaenda hapo Kenya , na deal na biashara zangu tu za usifirishaji . Moja ya jambo ambalo na regret ni kutohamisha shughuli zangu za utafutaji kwenda nchi nyingine za Afrika na...
  10. JamiiForums Tanzania Mtangazaji na Mchambuzi Hans Rafae wa CROWN FM jiangalie sana kwani Wewe bado ni Kijana na una Safari ndefu utajiharibia

    Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi. Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kijana kama huna uwezo wa kuhudumia familia usioe

    Habari za asubuhi Wanajamiiforums. Leo nawakumbusha Vijana. Unakuta Kijana hata kujihudumia mwenyewe anashindwa ila kichwani ana hesabu za kuoa, Vijana ebu tuacheni huu uwendawazimu.
  12. JamiiForums Tanzania Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

    Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe...
  13. JamiiForums Tanzania Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    Njia Kumi za Kumkwamua Kijana wa Kitanzania Kiuchumi/Biashara Ili kumkwamua kijana wa Kitanzania kiuchumi na kibiashara, kuna njia kadhaa ambazo zinaweza kuchukuliwa. Kila njia ina mifano yake maalum ambayo inadhihirisha umuhimu na ufanisi wake. Hapa chini ni njia kumi pamoja na mifano ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kijana uliyechapwa na maisha usipanic kwenye uwanja wa vita. Hao marafiki zako wanaorusha picha mtandaoni huku wameegemea magari makali wengi si yao

    Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge. Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
  15. JamiiForums Tanzania Taifa letu wapinzani kutekwa limekuwa jambo la kawaida kijana wa BAVICHA mkoa wa Mwanza amefikisha siku 15 na hakuna taarifa yoyote

    Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali. Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kijana jitahidi ujifunze angalau lugha mbili za kimataifa

    Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema. Kwa Mtanzania jitahidi ujue...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana Masikini nimetoboa, kwa sasa ni Tajiri sinabaya

    Kwa sasa sio kijana masikini tena, ninafahamika kama Tajiri sinabaya. Japo hapo kwenye ID mwisho hakuna herufi 'a' ni changamoto tu ilitokea katika kubadilisha ID Moderator naomba unisaidie kwenye hili kiongozi wangu ili nisomeke 'Tajiri sinabaya' Wale wazee wenzangu wa simulizi ya My Family...
  18. JamiiForums Tanzania Lipi ni sawa, kumfukuza kijana wako hapo kwako ili akaanze maisha yake au kumwacha azeekee hapo kwako?

    Kwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze kujitegemea na s'tyms haya yanafanyika bila hata kujali kama mhusika ana ajira au la. Wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania walalamikia utaratibu wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana Shauri John Bintanya

    Watanzania wanalalamikia utaratibu uliowekwa na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana aliyeibuliwa na mitandao hivi karibuni wa kufunguliwa account za bank wakidai nia yao ni kupewa kijana huyo pamoja na dada yake ili wawasaidie kwa kuwasomesha na sio...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana sitakuja kumsahau kwa alichokifanya

    Huyu kijana alikuwa kama na miaka 20 hivi, ilikuwa mwaka 2005 alikuja kumtembelea baba yake, ni mchanganyiko baba wa kichaga, Mama mjerumani, Nyumbani kwao sinza Dar es Salaam,huku baba yake alikuwa anafanya kazi kama bingwa wa magojwa ya kina mama akilipwa Dola alfu 5 kwa mwezi si haba kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…