kijamii

Chama Cha Kijamii (CCK) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii imetufanya tuwe na maisha bora au tuonekane tuna maisha bora?

    Kuna jambo limekua likinifanya nijiulize kuhusu maisha yetu katika kizazi hiki. Leo mtu akifungua Instagram, TikTok au Facebook, anaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakijenga nyumba na kuishi maisha yanayoonekana ya kifahari. Lakini swali ni hili: Je, kila tunachokiona ndicho...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  3. JamiiForums Tanzania NGONO, ADUI WA MAENDELEO YA KIJAMII.

    Acha kusikiliza maneno na stori za kuikuza NGONO kwamba ni kitu cha lazima au ni kitu cha kifahari.Chukulia ngono kama njaa. 📌📌HAKUNA SIKU UTAKULA NA UTASHIBA, UKILA YAKIPITA MASAA KADHAA NJAA IPO PALEPALE. KAA CHINI JIULIZE TANGU UMEANZA KUNGONOKA MPAKA LEO UMEFAIDIKA NA NINI.MFANO JANA...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Makala ya Kihistoria na Kijamii: Urithi wa Mtwa Mkwawa na Mmomonyoko wa Msimamo wa Kihehe Kupitia "Uchawa"

    Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
  5. JamiiForums Tanzania CCM imejikita sana kwenye phone farming kwenye mitandao ya kijamii kujisafisha na kushambulia watu.

    Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM. Nimejaribu kufatilia kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali unakuta account inapost jambo kukashifu...
  6. JamiiForums Tanzania “China Haul” yapata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii duniani

    Hivi karibuni, “China Haul” imepata umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii duniani. Kutoka droni, hadi vipaza sauti visivyotumia waya, kutoka vifaa vya nyumbani, hadi mavazi ya kisasa, watu wenye ushawishi wanafungua na kuonesha bidhaa zilizonunuliwa nchini China, na kuvutia mashabiki wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii Inatufanya Tuishi Maisha Ambayo Sio Yetu?

    Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao. Lakini tunachoona si lazima kiwe picha kamili ya maisha yao. Mtu anaweza kupost picha ya gari zuri bila...
  8. JamiiForums Tanzania Ongezeko la wachungaji, manabii, na waganga kwenye mitandao ya kijamii yanaleta afya kwa jamii?

    Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok. Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

    Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio. Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
  10. F

    JamiiForums Tanzania KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

    Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
  11. JamiiForums Tanzania Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

    Wakuu, Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media? Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa. Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
  12. JamiiForums Tanzania Utamaduni Wetu Unavyotufunga Kisiasa

    Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula. Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hapa? Crazy Kenner mseto wa comedy na mada za kijamii

    Mchekeshaji wa Kenya, Crazy Kenna, anaendelea kupata umaarufu kote barani Afrika kutokana na maudhui yanayoakisi maisha na uzoefu wa Waafrika. Ameteuliwa kuwania Tuzo za AFRIMMA za mwaka 2026, kutokana na mchango wake mkubwa na ushawishi katika nyanja ya burudani ya kidijitali barani Afrika.
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wa China wapata umaarufu tena kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii

    Video ya afisa wa polisi maalum wa China akiwasaidia watalii kupiga picha hivi karibuni imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii. Jambo hili lilitokea wakati wa Sikukuu ya Kitaifa ya China mwaka jana. Wakati huo, Uwanja wa Agosti 1 huko Nanchang ulikuwa umejaa watu, na afisa mmoja wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kususia uchaguzi ni kujipa stress na kujidhuru mwenyewe hasa kisaikolojia na kujidhulumu kisiasa.

    Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao husense kushindwa uchaguzi mapema sana. Na daima, hatua hii ya kususia uchaguzi, huwa ni sawa na ile ya...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 15 Wa Genge Wakamatwa Kisumu, Silaha Za Kijamii Zanaswa

    Maafisa wa usalama wamewakamata watu 15 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa genge la uhalifu katika operesheni ya pamoja iliyofanyika Kaunti ya Kisumu. Operesheni hiyo ilifuatia taarifa za kijasusi kwamba kundi la watu waliokuwa na silaha za kijadi lilikuwa likisafiri kuelekea Kisumu kupitia...
  17. JamiiForums Tanzania Mrema: Mnyika aliuza Account za CHADEMA za mitandao ya kijamii

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kueleza ukweli kuhusu kilichotokea kwenye akaunti za chama hicho za Instagram, X na YouTube, akimtuhumu kunufaika na...
  18. JamiiForums Tanzania FURAHA AU AMANI? Mtazamo wa kiteolojia na kijamii

    FURAHA AU AMANI : Mtazamo wa Kiteolojia na Kidiplomasia katika Ustawi wa Tanzania Na Mch Emanuel Malembela (Mchambuzi wa Mambo ya Kijamii Na kiimani) "Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru" Yn 8:32 Ni nini tofauti ya Furaha na Amani katika Taifa?,Je watawala na watawaliwa kwa...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii na Misongo ya Kimawazo

    Habari wana JamiiForums,naomba tujadiliane kwa pamoja, nauliza, Je mitandao ya kijamii imekuja kuongeza stress au imekuja kupunguza stress kwa watumiaji?, Karibu utuambie
  20. JamiiForums Tanzania Kuhusu AI contents kwenye Mitandao ya kijamii

    Salaam Wandugu, Kuna jambo kuhusu AI contents naliona kwa upande wangu binafsi kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kuzikwepa, nitaweka mifano; Nikiwa naperuzi Mitandao ya kijamii ikatokea nakutana na video ambayo imetengenezwa kwa AI huwa na skip haraka sana bila kupoteza muda. Pia kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…