Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana!
1. Profile zote zimeshare content moja
2...
Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni.
https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii
Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi.
Kwa mujibu wa utafiti wa...
Mpira unaletaga huzuni na kukata tamaa timu yako inaposhindwa. Pia mpira unaleta furaha na kuchangamsha.
Video hapo chini inamuonesha Mlinzi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Liverpool Ibrahima Konate akishangilia goli la Ekitike ambalo baadaye lilikataliwa.
Kilichowafurahisha wengi kwenye...
Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti zinakutana na kupiga soga tofauti tofauti. Bila kusahau kutujadili binadamu.
Eeeeh bwana eeeeh, hivi...
Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia.
Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza.
Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content
Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili
Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria
Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama
Hatuwezi...
Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha.
Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia.
Umeona kitendo cha kutishia kuwa anaweza kufa kimemfanya kuongeza ulinzi wa hali ya juu ukilinganisha...
Anaandika tajiri Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa (X).
Nchi nyingi — kuanzia Australia hadi Denmark — sasa zinaweka mipaka ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 16.Kwa vijana wa Tanzania na Africa: lindeni akili zenu, muda wenu, na ndoto zenu.Mitandao ya...
Taifa la Australia linaanza leo kutekeleza sheria ya Bunge inayopiga marufuku watoto chini ya miaka 16 kutumia au kuwa na akaunti ya mtandao wa kijamii hivyo kuzuia upatikanaji wa majukwaa kama YouTube, TikTok, Instagram na Facebook.
Kwa mujibu wa sheria hiyo kampuni zitakazokiuka masharti ya...
Katika historia ya mataifa, kuna vipindi ambavyo misingi ya utawala imara huonekana kufifia, taasisi zikaishiwa nguvu, na kauli za viongozi zikaanza kutengeneza mipasuko ndani ya jamii badala ya kuijenga. Tanzania, katika miaka ya karibuni, imeingia katika kipindi cha aina hiyo kipindi ambacho...
Kufungia account za wanaosema ukweli na wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii kupitia Meta kunaonesha kujipoteza.
Mi navyo wafahamu warusi na nchi nyengine ambazo social media zao zijaweza kuwa watu wengi na hii ndio itakuwa njia yao sahihi kutembelea kitonga.
Kama wanaharakati wakipata...
Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada.
Sasa dawa yao ni...
ID nyingi kwa sasa zipo makusudi na tena walivyo jisahau zina majina ya kwao sana kutetea mtawala ,ukitaka kugundua we replay comment uwezi jibiwa ila kuna ID fake ambazo ujifanya ndio wapo wanapinga utawala mpaka zitangazwe na hizo wanapoona comment wanaingia DM wakiomba ujifanye kuwa pamoja...
Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi ya maandamano ya Desemba 9 yamezidi kushika kasi.
Leo nimejulishwa na rafiki yangu kuhusu matumizi...
Serikali ya Cameroon imezuia matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo TikTok, YouTube, Facebook na Telegram, saa chache tu baada ya ripoti ya Umoja wa Mataifa kudai kuwa vikosi vya usalama viliwaua raia 48 wakati wa maandamano ya kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Paul Biya.
Kwa mujibu wa ripoti...
Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.