kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wachinja wanavijiji 52 kule DRC

    Magaidi wa uislamu wameingia kwenye vijiji na kuendesha shughuli za kuchinja tu, yaani maskini wanavijiji ambao hata msosi kwa siku ni shida, wanakutwa na kutiwa mapanga na watu wa dini ya muarabu.... Islamic State-backed rebels armed with machetes and hoes have killed at least 52 civilians in...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Marais wa kiislamu wanapenda kuacha mizizi ya vizazi vyao kwenye madaraka, wakristo wamelala sana au ni hekima ?

    Tukiangalia mwelekeo wa uongozi Tanzania, kuna hali inayoashiria kuwa baadhi ya familia za viongozi wa Kiislamu zimejenga mizizi ya kisiasa kizazi kwa kizazi. Swali ni je, hili ni suala la kulala kwa Wakristo kisiasa, au ni busara ya kuchagua kutohusisha familia na siasa? Angalia mfano wa...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

    persecution of Christians is real … Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo. Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kwamba Wale waliosilimu na kutaka kurejea katika imani yao ya asili lazima wauawe kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu?

    hamis77
  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wanawake wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuolewa?

    Hivi sijui kwanini wanawake wa kislamu ndiyo wanaongoza kuolewa sana yaani mara chache kuoana mwanamke wa kiislamu anazeekea nyumbani tofauti na wale wa upande wa pili kama budha,hindu na wale wengine na mara nyingi mwanaume au wanaume wapo radhi wabadili dini tu imradi amuoe mwanamke wa...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa kiislamu ndiyo wanaongoza kuwq na maadili na heshima Tanzania hii!!

    Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu We fuatilia ndoa nyingi sana...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kiislamu tokeni hadharani mkemee kauli tata za mashehe

    Hapa naziita taasisi zote za kiislamu kuanzia Bakwata, Sunni jamaat,shia n.k Uislamu ni dini iliyojipambanua kama dininya haki na misimamo ya haki, kujali utu na heshima Kwa watu wote Kumekuwepo mashehe wanaotoa matamko tata kuhusu masuala ya utawala Bora hapa nchi Mfano Leo shehe Mawinda...
  9. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu ufanano wa dini ya Kiislamu na Kiyahudi

    Nimekua nikifuatilia dini hizi mbili kubwa katika mambo kadhaa kama yafuatayo Wote huamini maandiko ya mwanzo yasiobadilika .Wote huamuni Mungu ni mmoja wala hana mtoto. Wote hulotaja jina la Mungu kwa ufanano Wayahudi Wanaia Yahwel,Waislamu huita Yallah au Allah .wote hawamuamini Yesu kama...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watanzania waliopo Israel na Iran kurejeshwa nchini

    HALI YA WATANZANIA NCHINI ISRAEL NA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI BAINA YA TAIFA LA ISRAEL NA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN DODOMA, 19 JUNI 2025 Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kati ya Taifa la Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025, hali ya usalama katika mataifa...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende. Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Anayeshukiwa kuwa Al-Shabaab ajilipua bomu na kufa na watu huko Somalia

    Yaani jamaa huwa wamejazwa ilmu ya dini, sio mchezo, mpaka mtu anaamua kujilipua...... Asuspected al-Shabab suicide bomber killed several people and wounded others Sunday in an attack on a military recruitment center in southern Mogadishu, Somali authorities and witnesses said. The assailant...
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Baada ya janabi kushinda naona taasisi za kiislamu zinampongeza tofauti na alivyoshinda ndungulile

    Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

    Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali? Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna Hospitali au Taasisi nyingi kubwa za Kiislamu licha ya matajiri wengi kuwa Waislamu?

    Waislamu ni wagumu sana kutengeneza kitu cha kunufaisha jamii nzima, licha ya wao kuwa na matajiri wengi kama kina Bakresa na wengineo hapa Tanzania lakini linapokuja suala la kurudisha kwa jamii wanakuwa ni watu wazito sana, sanasana watatengeneza maendeleo kwa ajili yao tu. Hakuna sehemu hapa...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu 22 Nigeria

    Waafrika wanachinja Waafrika wenzao kisa uislamu, wanaendelea kuchinja kwa kwenda mbele, wana hasira hata kuzidi muarabu mwenye dini yake...... =========================== Suspected Islamist militants killed at least 22 people and wounded several others in two separate attacks over the weekend...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Iran iliyolipuka au kulipuliwa ndio ilikua inatumika pakubwa kupeleka silaha kwa magaidi wenye mlengo wa kiislamu

    Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa Mosad walifanya yao....kwa kifupi hapo Iran hamna sehemu ambayo haiwezi kupigwa au haipigiki...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania BoT: Zanzibar yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba, inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu

    Zanzibar Yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, Zanzibar Sukuk, ambayo inalenga kusaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo visiwani humo. Akizungumza...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa bajaj mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Bajaji mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, Wilaya ya Iringa lengo ni kuunga Mkono Juhudi za Wanawake wa Kiislamu Wilayani humo ikiwa ni sehemu ya utaratibu wake...
Back
Top Bottom