Wapendwa, katika siku za karibuni nimekuwa nikiona ndoa za kifahari zikifungwa na ndugu zetu Waislamu, ni harusi ambazo ni funika bovu ni sherehe za kifahari kwelikweli, lakini kinachonishangaza ni kuwa waoaji yenye familia za upande wa kiumeni hawaonekani ni kama wao wameolewa, upande wa kike...