kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maisha yangu, Maisha yako

    We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to fall! Funny right, yes it is then why they helped you to the point, a point that will light Avery...
  2. JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kujifunza kiingereza kwa urahisi

    Heshima kwenu Wakubwa Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kuongea nae kiingereza tu

    Natafu rafiki ambaye tutakua tunaongea kiingereza tu, ni kwajili ya kupractice english speaking , mimi nafanya kazi za uhandisi electronics hardware na sofware. im a man. karibu PM kwa mawasiliano zaidi
  4. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu(softcopy/nakala laini) vya kiingereza vilivyotafairiwa kiswahili na kiingereza Bei 10,000 Tsh kimoja

    Nauza vitabu(softcopy/nakala laini) vya kiingereza vilivyotafsiriwa kiswahili na kiingereza Bei 10,000 Tsh kimoja. 1. Kitabu Cha Henoko (Biblia hakipo) 2. Rich Dad, poor dad (Swahili) 3. Art of strategy (Sanaa ya mkakati) (Swahili) Nicheki kwa vitabu vingine tuma jina la kitabu WhatsApp...
  5. JamiiForums Tanzania kitabu gani unahitaji bei 10,000 tsh kimoja, natafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 - 10,000 Tsh

    kitabu gani unahitaji bei 10,000 tsh kimoja, natafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 - 10,000 Tsh, inategemea na ukubwa nicheki 0756704145
  6. JamiiForums Tanzania Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh, vitabu vya kiingereza na kiswahili nakutafsiria

    Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh, vitabu vya kiingereza na kiswahili nakutafsiria, nicheki 0756704145
  7. JamiiForums Tanzania Karibu Tujifunze Kichina (Chinese to Swahili, Chinese to English, English to Chinese, Swahili to Chinese)

    Karibu kwenye uzi huu maalum wa kufundisha lugha ya Kichina (Mandarin). Kupitia uzi huu, CHUO CHA MAWAZO YA BIASHARA tutakuwa tukifundisha lugha ya Kichina hatua kwa hatua kuanzia mwanzo hadi mwisho. Tutapitia mambo yafuatayo: 1. Utangulizi wa Lugha ya Kichina: alfabeti ya Kichina (Pinyin)...
  8. JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja

    Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja, kitabu natuma WhatsApp au kwa email Nicheki 0756704145
  9. JamiiForums Tanzania Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
  10. JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh (kurasa 1 -> 100) na Bei 10,000 Tsh (kurasa 1 - 490), na Bei 15,000 Tsh (1 - 800) na ku ndelea kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
  11. JamiiForums Tanzania Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
  12. JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili

    Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia kitabu chako whatsapp, nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi
  13. JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili

    Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia kitabu chako whatsapp, nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi
  14. JamiiForums Tanzania Wana jamii nisaidie jina la huu mti kibongo kibongo, kwa kiingereza unaiea waburgia ugandesis

  15. JamiiForums Tanzania Kutafsiri hotuba zilizotolewa kwa kiingereza ni ushahidi wa elimu yetu hafifu

    Mitaala yetu inafundisha Kiingereza kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo vikuu. Kuanzia elimu ya sekondari hadi vyuo vikuu lugha ya kufundishia ni kiingereza tu. Tanzania ina watu wengi (90%) waliopata angalau elimu ya msingi ambao pia katika hali ya kawaida wangepaswa kujua kusoma, kuandika...
  16. JamiiForums Tanzania EBM Scholar (Makulilo) anazungumza Kiingereza kizuri sana

    Mwamba kashachukua uraia. Kiingereza kimenyooka kuzidi wazawa. Asante Kigoma.
  17. JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

    Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania. Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda waongee Kiingereza ila cha ajabu inawapiga chenga

    Habari zenu? Tafadhali nawaomba Ndugu zangu, kama uñajua lugha haipandi usilazimishe. Kiswahili ni lugha pia. Asanteni.
  19. JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  20. JamiiForums Tanzania Kichambo cha Wakenya chasaidia: Kiingereza kuanza kufundishwa kama lugha ya Mawasiliano elimu ya msingi Tanzania

    Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano. Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…