kihongosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kihongosi acha kuvamia vijiwe vya CHADEMA huku umeficha mapanga mgongoni

    Baada ya kuwaua kwa risasi sasa mnarudi kwao kama mbwamwitu huku mmejifunika ngozi ya kondoo. Mchana unasema Tanzania ni moja na ndugu tusibaguane usiku mnawateka na kuwakata vichwa. Elewa hao vijana unaowatembelea bado wanamajonzi ya wapendwa wao huku Mwenyekiti wao hawajamuona leo ni zaidi...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Kihongosi Bunda

    MAPOKEZI YA MWENEZI WA CCM TAIFA NDUGU KENANI KIHONGOSI WILAYA YA BUNDA MKOA WA MARA
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwenezi KIHONGOSI MARA wafurika watu wengi mno kuja kusikiliza

    TARIME-MARA 15.05.2026 MKUTANO WA HADHARA WA MWENEZI KENANI KIHONGOSI TARIME MJINI MKOA WA MARAMkutano
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Maamuzi ya vikao yaheshimiwe

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi wa uhai na uimara wa chama ni kuheshimu vikao na maamuzi yake. Akizungumza Tarime, Kihongosi amesisitiza kuwa viongozi na wanachama walioiva kiitikadi hutambua kuwa maamuzi ya mwisho ya vikao ndiyo maamuzi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Inasikitisha Viongozi kugeuka kuwa na kiburi cha Madaraka, Rais Samia anaishi matendo mema ya Baba wa Taifa

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka viongozi wa chama na serikali kuepuka kiburi cha madaraka na badala yake kuzingatia misingi ya upendo, umoja na mshikamano iliyoasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Katiba mpya ni ajenda ya CCM na tuwahakikishie Watanzania kabla ya 2030 tutakuwa na katiba mpya

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza na Wandishi wa habari leo Mei 4, 2026 Jijini Dodoma, amesema; "Katiba mpya ni ajenda yetu na tuwahakikishie Watanzania kabla ya mwaka 2030, tutakuwa na katiba mpya ambayo itakuwepo. Lakini ikumbukwe...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Kenani Kihongosi anazungumzia kuhusu maridhiano, leo Mei 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/K8FOhiBhit4
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kihongosi Chadema sio ombaomba. Inachangiwa na wananchi sababu wanaona kina nia thabiti ya kuwakomboa dhidi ya mafisadi.

    Aibu kubwa kwa CCM kwa kuwa na Mwenezi wa taifa ambae ana hoja zisizo na masshiko kama hizi. Hajui hata Tanu ilipokuwa chama cha ukombozi kilichangiwa na wananchi? CCM inachangiwa na wafanyabiashara mafisadi wasiolipa kodi. Amesahau juu ya bil 200 za uchaguzi walizochangiwa CCM na bado...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Tunaona wenzetu wanapenda kuombaomba michango. Msiwachangie

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewakosoa vikali wanasiasa wanaotegemea michango ya wananchi kwa kile kilichoelezwa kuwa ni “kuombaomba kisiasa,” kikiwataka Watanzania kuelekeza fedha zao kwenye shughuli za maendeleo badala ya kuchangia miradi isiyo na uwazi. Akizungumza leo Aprili 17, 2026 wakati...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kihongosi hujui sababu za Wananchi kuwachukia watumishi wa vyombo vya usalama?

    Kuna mahala nimesoma unalalamika kuwa kuna watu wanawachonganisha wana usalama na raia. Hivi ni kweli haujui yaliyotokea Oktoba 29 ni kovu ambalo halitafutika milelele? Vipi kuhusu wanaotekwa na kupotea au kuuliwa kama alivyoukiwa Mzeee Ali Kibao? Wewe unaona ni suala dogo? Leo hii akifa...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM Kenani Kihongosi: Huwezi ukasema unafuta ushuru kabisa kisa mafuta. Nchi yeyote inaendeshwa kwa kodi

    Wakuu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Kenani Kihongosi, amewajibu wanaoshinikiza kufutwa kwa ushuru na tozo kwenye mafuta, akisema kuwa hatua hiyo ni "udanganyifu wa kisiasa" na jambo ambalo haliwezekani katika uendeshaji wa nchi yoyote duniani. “Nchi yoyote duniani inaendeshwa kwa kodi...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Andiko la Emily Mwakilembe kuhusu Kihongosi na msiba wa Lukuvi

    “MSIBA WA LUKUVI: JE, KILA MWENYE FAIDA NI MWENYE FURAHA?” Na Emily Mwakilembe Mwambie Mwenezi wa CCM Kihongosi kuna msemo unaoitwa “kufaa kufaana.” Ukielewa falsafa hii, utaona kuwa katika kila tukio hata la huzuni kuna upande mwingine unaonufaika kimyakimya. Nenda kituo cha polisi kilicho...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kihongosi awakaribisha Lissu na Heche wajitokeze kujadili maridhiano.

    Kwanza,ni kweli Kihongosi amesema hivyo? Kwa sababu hawa ²wana habari wa Kenya hawaeleweki wanayozungumza. Halafu Lissu anaweza vipi kujitokeza kama bado yupo jela?. Halafu Jumuiya ya Commonwealth unataka uchunguzi,( ambayo tayari unafanyika), lakini na wao wanataka kufanya uchunguzi wao,pia...
  14. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kihongosi imeingia doa, wakurugenzi wa halmashauri na wafanyabiashara wapaza sauti

    Wakuu, Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kihongosi ndiye Mwenezi wa CCM duni zaidi tangu cheo hicho kianzishwe, alifukuzwa UDC kwa kumcharaza viboko Mtumishi wa Umma hadharani

    Nimemfuatilia huyu kijana kwa kitambo kirefu, Hakika Kuna vyeo ndani ya ccm bila shaka vinapatikana kwa Uchawi. Huyu hana uwezo kabisa wa kuwa Kiongozi katika ngazi yoyote Ile, Lakini anateuliwa! Mpaka sasa ndiye katibu wa Itikadi Duni kabisa tangu Cheo hicho kianzishwe huko ccm, hana hoja...
Back
Top Bottom