MIMI:- Mwalimu, nina swali ππΎββοΈ
MWALIMU:- Ni lipi? π
MIMI:- Unamweka aje tembo ndani ya friji? π
MWALIMU:- Sijui π
MIMI:- Ni rahisi sana, unafungua friji na kuweka tembo ndani π
MWALIMU:- Sawa π
MIMI:- Na unamweka aje punda ndani ya friji? π
MWALIMU:- Rahisi sana, unafungua friji na...