Great Thinkers,
Kama heading inavyojieleza; mimi Msanii nimeoa na pia tumejaliwa watoto 2. Ninawapenda sana hawa watoto. Naamini ni zao la ndoa yetu.
Wengi wanaonifahamu, wanajua mapito ninayoyapitia kwenye hii ndoa. I tried so hard to humble myself na kuwa kiongozi wa familia kwa kutotumia...