Habari zenu ndugu.
Tafadhali husikeni na mada tajwa hapo juu.
Natafuta mwanamke wa kufanya nae maisha. Awe mwenye hofu ya Mungu, anayejielewa na kuwa na focus ya maisha.
Awe anapatikana kigoma mjini au wiilaya yeyote ya mkoa wa Kigoma, au hata awe wa nchi jirani (Burundi au Rwanda) ni sawa tu...