kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Watu wa Kigoma kuna salamu zenu huku

    NIMEINUKUU PAHALA 1- Kupanda treni mpaka uwe na Kitambulisho au barua ya serekali ya mtaa 2- Kupanda treni mpaka ulale station ndio upate tiketi 3- Ukijifanya unapanda usafiri wa basi ujue utakumbana na barrier ya uhamiaji na mtakaguliwa kama wakimbizi 4- Meli yenu MV Liemba haifanyi kazi...
  2. GE2020 Kigoma: Mgombea Makamu wa rais CUF, Bi Hamida Huweishi agawa kadi kwa Vijana wa Uvinza, Nguruka

    MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya nguruka na kuzungumza na wananchi wa nguruka na kuwaomba ifikapo tarehe 28,octoba wasifanye makosa...
  3. GE2020 Wananchi wa Kijiji cha Mpeta, Tarafa ya Nguruka, Wilayani Uvinza, Kigoma wasimamisha msafara wa Bi. Hamida Abdallah Huweishi

    WANANCHI WA KIJIJI CHA MPETA TARAFA YA NGURUKA WILAYANI UVINZA MKOANI KIGOMA WAMESIMAMISHA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS, BI. HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI NA KUELEZA CHANGAMOTO ZAO KATIKA TARAFA YA NGURUKA. TUSIFANYE MAKOSA IFIKAPO OCTOBA 28,2020 TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII TUPATE...
  4. Kwanini amechagua Kigoma?

    Siku ya leo kwa hali inayoonyesha ni makusudi kabisa, timu ya kampeni ya Magufuli imegonganisha shughuli zake za kiserikali na ujio wa Tundu Lissu mkoani Kigoma. Ni kwa muda sasa Lissu amejaribu kukutana uso kwa uso na Magufuli huku watu wa Magufuli wakitumia kila njia kukwepa hilo lisitokee...
  5. J

    Zitto awataka wanachama wa ACT-Wazalendo Manispaa ya Kigoma waende kumsikiliza Tundu Lisu leo

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo. Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili. My take; Mbona Zitto...
  6. T

    GE2020 Sheria ya Gharama za Uchaguzi inasemaje? Nimepata mashaka baada ya CCM kufika Kigoma

    Hili swali halikuwahi kunifika mpaka mgombea urais wa CCM kufika Kigoma. Mambo yalikuwa hivi: *Magari kama Coaster na mabasi yalikodiwa kuchukua wananchi kutoka vijiji mbalimbali. Nina rafiki yangu ambaye gari zake zote zilikodiwa kwa kazi hiyo! * Wananchi wote waliopakiwa kwenye magari hayo...
  7. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  8. KIGOMA: Rais wa Burundi, Evariste Ndaishimiye apokelewa na Rais Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika, asema ana uhakika Dkt. Magufuli atashinda uchaguzi

    Leo Rais wa Burundi, Evarist Nditiye amewasili nchini kwa ziara ya kiserikali na anapokelewa punde na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma. 3:30 Asubuhi: Rais Magufuli ameshaingia uwanjani, kwa sasa wasanii kadhaa wanatoa burudani...
  9. Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

    Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huo huo Rais Magufuli atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na Rais wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama. Hofu yangu ni, je, CHADEMA wataruhusiwa kufanya...
  10. J

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete. Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango...
  11. GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Kigoma leo Septemba 18, 2020. Updates zote zitawekwa hapa: Video: Ngoma ya kinamama wa kabila la Wabembe wa kata ya Kitongani Kigoma mjini wakitumbuiza katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo katika kunogesha mkutano wa kampeni wa JPM leo...
  12. B

    GE2020 Biharamulo - Rusahunga Dkt. Magufuli aikacha Ngara, aelekea Kigoma

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo. Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu...
  13. Kigoma: Mtoto wa Darasa la Pili afariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu

    Mtoto mwenye mwenye umri wa miaka 9 katika kijiji cha Kasumo Kata ya Kajana wilayani Buhigwe mkoani Kigoma amepoteza maisha baada ya kulipukiwa na bomu Agosti 28, 2020. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kigoma Kamishna msaidizi wa jeshi la Polisi James...
  14. Mchungaji Lukere ajiunga na Chama Cha Wananchi (CUF) Kigoma Vijijini, akabidhiwa kadi na Mgombea Ubunge Kiza Mayeye

    MCHUNGAJI LUKERE AJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) KIGOMA VIJIJINI. HABARI Mchungaji lukere amejiunga wa chama Cha wananchi CUF katika kata ya kidahwe wilaya ya kigoma vijijini. Mchungaji lukere amejiunga na chama Cha CUF mapema Leo na kukabidhiwa kadi na makamu mwenyekiti wa juke taifa...
  15. GE2020 Wanachama na wapenzi wa CUF Kigoma Kaskazini wamemsindikiza Kiza Mayeye kuchukua fomu ya uteuzi jimbo la Kigoma Kaskazini

    Makamo mwenyekiti wa jumuiya wa wanawake CUF taifa mhe. Kiza mayeye ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la kigoma kaskazini, mapema leo amefika katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la kigoma kaskazin na kupewa fomu ya uteuzi. Pia mhe. Kiza amesema kuwa Jimbo la kigoma kaskazin bado...
  16. S

    Kigoma: Walioshtakiwa kuua askari waachiwa huru

    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imewaachia huru washtakiwa 11 waliokuwa wakikabiliwa na kosa la kuua kwa kukusudia askari wawili wa Jeshi la Polisi na kukata sehemu za siri za mmoja wa askari hao katika mapigano yaliyotokea wakati wa kuwaondoa wananchi waliovamia eneo la Hifadhi ya Ranchi za Taifa...
  17. By 2015 Kigoma kuwa kama Dubai, Mwanza kuwa kama California

    Jana nilimsikia Rais Magufuli akisema ndani ya miaka yake mitano ijayo endapo atashinda basi Tanzania kuwa kama Ulaya by 2025. Hivi Watanzania turudi nyuma kidogo. JK alituambia Kigoma itakuwa kama Dubai by 2015, leo tupo 2020, je Kigoma imeshakuwa kama Dubai? Watanzania wenzangu...
  18. Kigoma: Watu 10 wafariki dunia baada ya boti kuzama ziwa Tanganyika

    Watu Kumi wamefariki dunia na wengine 87 wameokolewa baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupigwa na dhoruba na kuzama katika ziwa Tanganyika. Mkuu wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye Amethibitisha. Taarifa zaidi zinakuja....
  19. Kigoma: Askari Polisi wamepigwa mawe na Wananchi

    Polisi Mkoani Kigoma wamelazimika kutumia mabomu ya machozi pamoja na kupiga risasi hewani kutawanya Wananchi wenye hasira ambao wamevamia nyumba ya mkazi wa Mtaa wa Yusuph Kata ya Mwanga Kusini, Manispaa ya Kigoma Ujiji na kuharibu milango na madirisha kwa kutumia mawe. Katika vurugu hizo...
  20. M

    Usafiri wa Dodoma kwenda Kigoma

    Napenda kufahamu mabasi mazuri ya kutoka Dodoma asubuhi kwenda Kigoma. Nawasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…