Walioko madarakani hawana msaada na sisi ndio maana tulitamani kubadilisha mfumo aingie baba levo,Kwenye kura Baba levo amaeshinda ila kilichofanyika ni wizi"
Mmoja kati ya Wajumbe waliopiga kura za maoni jana amezungumza na vyombo vya habari na kuelezea jinsi gani anajiskia baada ya Baba levo...
Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5...
Mtia nia nafasi ya Ubenge Kigoma Mjini kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando almaarufu kama Baba Levo amesema wananchi wa Kigoma Mjini wanajisikia raha sana linapotajwa jina la Rais Samia kwani kuna vitu vingi amewafanyia wananchi hao na kusema kuwa yupo tayari kumsemea kwa mambo...
Ndugu wananchi na wanachama wa Jimbo la Kigoma Mjini leo tarehe 15/Julai /2025 ambayo ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu ndani ya chama chetu nimechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 ibara ya 21 na Katiba ya chama...
Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Gwiji wa Utangazaji na Mawasiliano kwa Umma, Baruan Muhuza amefunguka juu ya taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu yeye kuwania nafasi ya ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini.
Ikumbukwe kuwa pia hivi karibuni msanii na Mtangazaji wa...
Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia!
===
Msanii na Mtangazaji maarufu...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama hicho.
Zitto amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo, Ndugu Idd Adam, katika tukio lililoshuhudiwa na wafuasi na viongozi wa chama hicho...
Mnamo Februari 26, Mwaka huu Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kupitia Mwenyekiti wake Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza, kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo Tume hiyo imeanza kupokea mapendekezo hayo kuanzia Februari 27, 2025 hadi...
Mwaka Jana niliweka mada hapa kwamba Zimesalia km 51 za vumbi Ili Barabara yote kutoka Dar Hadi Kigoma iwe Lami.
Hatimaye km za mwisho kutoka Ilunde-Malagarasi zimekamilika na Sasa Kigoma sio mwisho wa reli tena.Serikali ya Rais Samia imewakomboa watu wa Kigoma na Tabora. Soma hapa Bado Km 51...
Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’.
Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT Wazalendo mkoani Kigoma wamefanya 'dua maalum' kwa ajili ya yeyote atakayehusika na kujaribu kuharibu...
Habari wana Jamvi,
Mimi nimeajiriwa Serikalini hivi karibuni na sijamaliza miezi sita kazini. Nimeajiriwa mkoani Kigoma wilaya ya Kigoma Mjini.
Nimekuja hapa kuomba ushauri niwekeze mkoa gani ambao nitaweza kupata unafuu wa kusimamia miradi yangu maana nipo interested na uwekezaji katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.