kigamboni

  1. Kuna milio naisikia kama ya mabomu/risasi hapa Kigamboni muda huu

    Wadau kama heading inavyojieleza muda huu Kigamboni mnadani nimeshtushwa kutoka usungizini na milio mikubwa kama minne sijui kuwa risasi au mabomu. Mdau mwenye info yoyote aiweke hapa maana hadi usingizi umekata.
  2. TEMESA tunaomba mlizingatie hili kwa Wananchi wa Kigamboni

    Hawa wadada wanaofagia wakati kuna abiria wengi hawamwagii maji, na hivyo vumbi linajaa. Eneo kwa sasa ni dogo, na hali hii inasababisha mafua kwa abiria wengi. Pili, tunashauri wale majamaa wanaopanga magari jioni waache nafasi ya kutosha. Sasa hivi magari yamejaa mpaka kwenye njia za watembea...
  3. Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  4. Waziri Mkuu aagiza kufikishwa mahakamani kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kwa tuhuma za ubadhirifu

    Haya sasa Waziri Mkuu ameanza kazi yake leo ameshalamba vichwa vinane vya watumishi huko Kigamboni akitaka wafikishwe mahakamani mara moja. ============================ Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya...
  5. Serikali ya Rais Samia Yarejesha rasmi mikopo ya asilimia 10 baada ya Vigezo kuboreshwa.Mtu Binafsi wa Hadi Miaka 30 Atapewa Mkopo

    Serikali imerejesha rasmi utaratibu wa Mikopo isiyo na riba ambayo ilikuwa inatolewa Kwa makundi maalumu kwa lengo la kuwainua Kiuchumi. Awali mikopo ilisitishwa baada ya maafisa wa Serikali kutumia mwaya huo kukopesha Vikundi hewa na kisha kukwapua pesa za Umma hukunwalengwa wakishindwa...
  6. M

    Natafuta kiwanja Kigamboni

    Habari Zenu. Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10. sharti kiwe na hati ya wizara. Mwenye nacho anichek pm
  7. A

    KERO Changamoto za watembea kwa miguu kuvuka daraja la Kigamboni

    Habari za usiku wakubwa. Naomba Tanroads kwa kushirikiana na NSSF waangalie namna nzuri kwa wakazi wa darajani wakati wa kuvuka barabara kwenda upande wa pili baada ya kushuka kwenye daladala. Kama umetembelea daraja la kigamboni au ni mkazi wa darajani utakuwa unalifahamu ili swala. Hakuna...
  8. House4Sale Kigamboni: Spacious Self Contained Bungalow For Sale - Dar

    • Direction: Kibada, 3 min on foot from Chekechea daladala stop • Facilities: 3 bedrooms, 2 bathrooms, servant quarter • Plot Area: 1,000+ sqm • Document: Title deed • Price: TSH 250 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inauzwa bila samani za ndani (unfurnished) ✓ vyumba vitatu vikubwa...
  9. Plot4Sale Eneo linauzwa Kigamboni Mwasonga, heka 2

    Nauza eneo langu, lipo Kigamboni Mwasonga heka mbili BEi: 15 million Halijapimwa, lina document za mauziano za serikali ya mtaa Linafaa kwa kukata viwanja, kilimo, ufugaji, makazi n.k Hyo barabara hapo inaelekea Kimbiji ambayo imeanza kupigwa lami. karibu PM tuzungumze.
  10. Viwanja vinauzwa Mbutu Kigamboni km 22 kutoka ferry.

    Viwanja vinauzwa Mbutu Kigamboni vimebaki viwanja 7 tu kwenye mradi. Ni mbutu mbele ya dege eco village uelekeo wa baharini(mita 400) kutoka baharini). Viko barabarani barabara iendayo kichangani. Ni km 22 tu kutoka ferry. Bei ni shilling elfu 25 kwa square meter.
  11. Wilaya ya Kigamboni Imetengwa?

    Ni miaka minne sasa wilaya hii mpya (Km chache kutoka Ikulu ya Magogoni)haijajengwa hata KM 1 ya lami!!!Hayo Maendeleo yanafanyika wapi katika nchi hii?Kwa muhusika yeyoye atakayebisha juu ya habari hii aje na takwimu zake hapa.
  12. R

    PreGE2025 Ubunge wa Kigamboni: Chadema napendekeza hawa wapendekezwe

    1. Lisu 2. Mbowe 3. Boniface Jacob 4. Ongezea na wewe
  13. Jimbo la Kigamboni lipo wazi, hongera Ndugulile

    Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo hastahili kuendelea na majukuhu hayo ya kisiasa. Pia soma: Dkt...
  14. Wanaoongoza Kivuko cha MV Kazi (Magogoni -Kigamboni) leo 22/08/2024. Wachukuliwe hatua kali

    TEMESA na Mamlaka zote zinazohusika na Vivuko, Wanatakiwa kuwachukulia hatua kali sana, Waliokuwa wanaongoza MV Kazi leo 22-08-2024 Saa 12:50jioni. Kutoka Upande wa Dar (Magogoni) Kuelekea Kigamboni. Wamehatarisha sana maisha ya watu. Kivuko kimetoka Wakati kuna meli iliyokuwa inatoka...
  15. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni - Dege sqm. 1045

    Kiwanja ni tambarare Ukubwa wa kiwanja ni square meter 1045 Mawasiliano for serious buyer 0692450861 Umbali toka Feri ni km 19 Price - 12,000,000/= Negotiable.
  16. Ni wapi kwa Kigamboni ninaweza kupata hizi vegetables

    Habari ya mchana watu wangu wa nguvu, nimewamiss yooo😉😘😘😘 Haya twende kwenye uzi wakuu, naombeni kujuzwa sehemu wanapouza hizi mboga mboga kwa maeneo ya Kigamboni. Thank youuu😘
  17. Kitengo cha mipango Miji Manispaa ya Kigamboni wanakwamisha leseni nyingi za biashara zinazotakiwa kuanzia kwao

    Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara. Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
  18. Plot4Sale Kariakoo: 850 sqm Plot For Sale - Dar

    • Direction: Muhoro • Plot Area: 850 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 800 million • Viewing charge: TZS 30,000 . ✓ hapa ni mahali pa soko la kibiashara la kimataifa ✓ plot inafaa kwa makazi na biashara . Call/Watsap: +255 767 15 77 88 . In Real Estate We Connect
  19. Wanachimba Michanga wanahatarisha Maisha yetu Kisarawe Two (Kigamboni), hawataki kusitisha mchakato huo

    Uchimbaji huo wa mchanga umekuwa ukifanyika kwa zaidi ya miaka minne sasa, tumeripoti kwenye Mamlaka mbalimbali lakini bado wahusika wamekuwa wakiendelea na hivyo kuweka nyumba zetu kwenye hatari ya kubomoka hasa kipindi cha mvua. Uchumbaji wa michanga maeneo ya Mwaninga, Chekeni, Kisarawe II...
  20. Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

    Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…