kigamboni

  1. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plots for sale in Kigamboni Dege

    Plots available for Sale. Location: Kigamboni Dege, Amani Gomvu area, Dar es Salaam. Descriptions: Plots located 23km from ferry. There are 10 plots in the area. Each plot has title deed. You can buy all area or a number of plots. All social services are available. Suitable for Residential or...
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kigamboni kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa makundi maalumu, wanawake watakiwa kutumia fursa ili kujiimarsha kiuchumi

    Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni imekuwa ikitenga asilimia kumi ya mapato ya ndani ili kuwawezesha Wananchi kiuchumi kupitia vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu sambamba na kutoa mikopo yenye Riba nafuu kwa Wajasiriamali wadogo wadogo Ili iweze kuwainua...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya malori kuingia Kigamboni

    Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni. Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo. Usumbufu wa watumiaji wengine wa njia umekithiri sana. Hatuoni Jeshi la usalama barabarani likifanya kazi yake ktk hili...
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jana Mimba kapewa Namungo lakini cha Kushangaza na Kusikitisha wanaoumia nayo na Kuitamani ni Watu wengine wa Kigamboni

    Basi kama na nyie pia mnaitaka Mimba aliyopewa Namungo jana vuteni subira mtakuja kupewa / kujazwa 8/3/2025 Ok?
  7. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ya Kigamboni yana mandhari mazuri lakini usimamizi ndio kikwazo. Maeneo mengi bado yana mapori!

    Wote tunaona jinsi mataifa madogo madogo yenye rasilimali chache yanavyofanikiwa kutokana na mipango bora ya usimamizi. Hali hii inajidhihirisha pia kwa Kigamboni, ambalo linabarikiwa na ufukwe wa bahari wenye umbali wa kilomita 70, wenye mchanga mweupe na mandhari nzuri. Hata hivyo, kutokana...
  8. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Kigamboni Dege

    Kwa maelezo zaidi na kuona viwanja, wasiliana nasi. 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  10. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania KERO Latra Kigamboni Feri wanapandisha nauli ikifika mida ya giza

    Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa. 1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali. 2. Jioni daladala zinafanya kazi kwa kujisikia saana. Konda awapakize ama awaache kwanza mgombanie daladala. Kisha akiamua ndo...
  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plots available for sale in Kigamboni Dege

    Plots available for Sale. Location: Kigamboni Dege, Amani Gomvu area, Dar es Salaam. Descriptions: Plots located 23km from ferry. There are 10 plots in the area. Each plot has title deed. You can buy all area or a number of plots. All social services are available. Suitable for Residential or...
  12. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot available for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  14. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Undersea/underwater tunnel year 2030 (Kigamboni - Magogoni). Is it possible?

    Morocco 🇲🇦 na Uhispania 🇪🇸 zinapanga kujenga tunnel la Euro bilioni 6 ili kuunganisha nchi hizo mbili. Njia hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 38.5, na kilomita 28 chini ya bahari kwenye kina cha 175-475 m. Ikikamilika, itakuwa mojawapo ya tunnels ndefu zaidi duniani na kuifanya iwe njia ya...
  15. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania NSSF rekebisheni daraja la Kigamboni

    Pamoja na kuwa tuna kilio kwa serikali kutuondolea malipo ya kuvuka daraja la Kigamboni, niwapongeze NSSF kwa kujaribu kuweka urataribu wa kulipa malipo ya awali kabla ya huduma ya kuvuka na kuweka njia maalum gate namba 5 litumike. Mwanzo utaratibu huu ulipoanza kiukweli ulileta tija kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka mnasubiri nini kuweka matuta pale center barabara ya Dege Kigamboni?

    Kwa wanaotumia barabara hiyo kuanzia Feri mpaka Pemba Mnazi watakuwa mashahidi. Kwa sasa matuta yapo mapya pale shule ya Malaika na Haana Benie na hapa Makaburini Dege centre je mpaka iue? Pale kuna shule za ndani ndani kama Nguva na Meka. Gari zikitoka huko aidha mjini au Kimbiji kwenye...
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot for sale in Kigamboni Mwasonga

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna chawa mmoja wa mwamba aliyepewa mgao wa asali alinunua alphadi pamoja na ahadi aliyopewa ya kugombea ubunge kigamboni

    Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024; Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti. Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali hiyo kupitia kwa mtoto wa mwamba. Moja ya matumizi ya kwanza kabisa ya asali ile kijana huyo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malori yanayochukua vifusi Mbutu- Kigamboni hayafuati sheria za usalama barabarani

    Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali. Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua inayochukuliwa na mamlaka husika. Moja ya madhara ambayo yamekuwa yakitokea ni kumwagika kwa vifusi...
  20. Mathematician

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa (Lingato Kigamboni Dar es Salaam)

    Ninauza kiwanja cha sqm 4400 - 5000 kiko Lingato ambayo iko wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam mpakani na Lugwadu ambayo iko Mkuranga Pwani. Ni maeneo jirani na kwa Pinda Kigamboni. Bei maelewano nicheki 0783677210
Back
Top Bottom