kigamboni

  1. figganigga

    TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

    Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024 Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. "Nimepokea kwa...
  2. W

    Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Kigamboni

    Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika) na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Novemba 3, 2024 katika Makaburi ya Mwongozo yaliyopo Kigamboni Taarifa hii imetolewa na watoto wake Martha na Melvin Novemba 2, 2024 katika hafla ya kumuaga...
  3. Pdidy

    PreGE2025 Makonda ajaribu tena bahati yake Kigamboni

    Mungu hamwachi mtu wake Poleni sana wafiwa wote na wana CCM wenzangu Nimewaza nkasema bado tuna kijana mdogo mwenye kutufikisha mbali kama sio kaanani CCM kwa heshima na taadhima tunaomba mh makonda ajaribu tena baahati yake kugombea kigamboni All d best Mungu ibariki Tanzania na Kigamboni...
  4. M

    DOKEZO Tumevunjiwa maeneo yetu ya biashara Tungi Mnadani - Kigamboni bila taarifa, tunaomba msaada wa Serikali

    Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam. Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
  5. Mindyou

    President Samia Suluhu mourns the passing of Kigamboni MP and WHO Africa Director-Elect Dr. Faustine Ndugulile

    President Samia Suluhu Hassan has extended her condolences to the Speaker of the National Assembly, Dr. Tulia Ackson, following the death of Kigamboni MP and WHO Regional Director-elect for Africa, Dr. Faustine Ndugulile. Dr. Ndugulile passed away in India at the age of 55. In a message shared...
  6. J

    KERO TANROADS na Kigamboni kuna nini?

    Kuna kitu kinakera mno pale ambapo unatengeneza tatizo na kuliacha wananchi wateseke. Tanroads barabara za Kigamboni kama mlikuwa hamna pesa hakukuwa na ulazima wa kuzifumua na kuacha kero kwa matumizi. Kipande cha Kutoka Mzunguko wa wa Darajani kama unaenda Kisiwani kuna kipande palikuwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    LGE2024 Kigamboni: Majina ya wapiga kura Mtaa wa Upendo hayasomeki vizuri na kutopangwa kwa kufuata alfabeti imekuwa ni changamoto sana leo

    Wakuu wakati zoezi la kupiga kura linaendelea katika maeneo mengi nchini. Baadhi ya maeneo wapiga kura wamendelea kutoa changamoto wanazokutana nazo. Sasa Katika zoezi la kupiga kura kwa viongozi wa Serikali za Mitaa ambapo katika Mtaa wa Upendo Kigamboni jijini Dar, changamoto iliyoainishwa ni...
  8. and 998 others

    PreGE2025 Nani anafaa kuwa mbunge wa Kigamboni baada ya kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile?

    Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
  9. Mindyou

    LGE2024 Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo

    Wakuu, Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa. Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema...
  10. Just Pray

    Hivi kwa watu wanaoishi Kigamboni hii changamoto ya usafiri itakuja kuisha kweli?

    Vijana wengi wenye harakati zao hapa mjini utasikia wakisema ooh mimi siwezi kuishi kigamboni, mara usafiri wa taabu sana, ivi hii changamoto itakuja kuisha kweli?
  11. Hamduni

    LGE2024 Siku saba za moto, mwenezi CPA Makalla aunguruma Kigamboni uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    📍 Kigamboni Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na...
  12. Waufukweni

    LGE2024 Mwenezi wa CCM Taifa Amos Makalla anaongea kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CCM Kigamboni

    Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla anaongea kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CCM Kigamboni https://www.youtube.com/watch?v=KAib-FeKy1c
  13. Mkalukungone Mwamba

    Responded Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni

    Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya Kigamboni. Hata hivyo, mmoja wa wakazi wa Kigamboni Bw. Ballu Abdul amemueleza Waziri Bashungwa...
  14. P

    KERO Kivuko Kigamboni ni changamoto kubwa

    Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni gharama kubwa sana ukizingatia kipato cha mtanzania. Hili ni suala ambalo limeendelea kuwafanya...
  15. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge yawataka Watumiaji wa Daraja la Nyerere, Kigamboni Kulipia Bando

    *Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu *Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...
  16. ommytk

    Usafiiri wa kuvuka kigamboni ni mateso

    Temesa ebu tuaangalieni wanakigamboni tunateseka sana sana na hii changamoto ya kivulo kimoja hivi kweli kwa aya mateso viongozi mnapata usingizi kweli
  17. J

    DOKEZO Barabara Kigamboni ni changamoto

    Wahusika. Hakuna asiyependa maendeleo, lakini kinachofanyika kwenye barabara hii kutoka mzunguko wa kwenda feri hadi Daraja la Mwalimu Nyerere ni kero. Kama hakukuwa na fedha za kutosha, isingekuwa lazima kufumua kipande hiki kifupi cha barabara. Matokeo yake ni kero kwa watumiaji: magari...
  18. Twilumba

    Sehemu za kuingilia Kigamboni; Kigamboni Ferry na Darajani kufungwe Camera kudhibiti uwezekano wa kuwa eneo la kihalifu

    Kulingana na matukio ambayo yameanza kujitokeza ya uhalifu nazishauri Mamlaka sasa ziwezeshe vifaa vya utambuzi kama Camera kwenye maeneo ya kuingilia kigamboni kwa maana ya Ferry na Daraja la Mwalimu Nyerere ili kwa kiasi kudhibiti matukio ambayo yameanza kujitokeza hasa ukizingatia kuwa...
  19. Inside10

    Kuna milio naisikia kama ya mabomu/risasi hapa Kigamboni muda huu

    Wadau kama heading inavyojieleza muda huu Kigamboni mnadani nimeshtushwa kutoka usungizini na milio mikubwa kama minne sijui kuwa risasi au mabomu. Mdau mwenye info yoyote aiweke hapa maana hadi usingizi umekata.
  20. julaibibi

    TEMESA tunaomba mlizingatie hili kwa Wananchi wa Kigamboni

    Hawa wadada wanaofagia wakati kuna abiria wengi hawamwagii maji, na hivyo vumbi linajaa. Eneo kwa sasa ni dogo, na hali hii inasababisha mafua kwa abiria wengi. Pili, tunashauri wale majamaa wanaopanga magari jioni waache nafasi ya kutosha. Sasa hivi magari yamejaa mpaka kwenye njia za watembea...
Back
Top Bottom