kigaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Kundi la Kigaidi la IRGC laanza kupoteza nguvu na ushawishi.

    https://www.instagram.com/p/DWBl55OjFgp/?igsh=aXUxcTRuMHFkZDdj
  2. ELI COHEN

    Kumbukeni hii vita sio ya US/Israel dhidi ya Iran bali ni dhidi mamlaka ya kigaidi ya Iran/IRGC

    Iran ni ya waajemi na sio ya utapeli wa itikadi kali.
  3. kukumdogo

    Hii tekateka inaweza kuwa kikundi cha kigaidi kinajiseti Tanzania

    Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
  4. Genius Man

    Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena

    Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena. Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi...
  5. The Burning Spear

    Wanaosema CCM ni kikundi cha Kigaidi wasikilizwe wana hoja

    GT. CCM imejaa unyama haina ubinadamu hata kidogo. Hakuna mtanzania yupo salama chini ya CCM. Ni chama kinachohatarisha maisha ya kila mtu. CCM inatakiwa ipingwe kwa nguvu snaa kwa usalama wa Watanzania wote 1. Mdude 2.kibao. 3. Polepole 4.Mawazo 5. Ben saanane 6. Soka 7. Ndugai 8. Jenista 9...
  6. Q

    GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
  7. M

    Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  8. funaku

    Chama hiki kimekufa rasmi baada ya kujiingiza kwenye mbinu za kigaidi kuisaka Ikulu

    Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali. Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola. Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa...
  9. Carlos The Jackal

    Kupitia TUNDU LISSU, Shahidi George akiri yale Mauaji ya Kibiti yalitokea sababu ya uwepo wa anachodai Makosa ya Kigaidi , RCO akiwa Mafwele

    Mkuu TUNDU LISSU anatusaidia kupata Ushahidi zaidi wa baadae kuwashughulikia Hawa Wauaji. Ni kwamba, Kumbe yale mauaji ya watu wengi yalotokea Kibiti, ni Kwa sababu RCO Mafwele na Msaidizi wake George waliyaongoza wao wenyewe Kwa kisingizio Cha Kupambana na Ugaidi. Unaniuliza, kama tatizo ni...
  10. mcTobby

    Kumbukumbu katika picha ya shambulizi baya la kigaidi septemba mwaka 2001 kwenye majengo ya world trade center huko marekani

    Tunaingia mwezi wa 9 ambapo kumbukumbu za shambulizi la kigaidi huko marekani zitafanyika huko manhattan kwenye zero ground. Nikaona sio mbaya kuleta picha na kumbukumbu mbalimbali za tukio hilo tujikumbushe kidogo. Sehemu ya upande wa kaskazini mwa jengo la WTC muda mfupi baada ya...
  11. ELI COHEN

    Muslim Brotherhood sio tu shirika la kigaidi, ni mama wa kiitikadi wa vikundi vyote kuu vya kigaidi: Al-Qaeda, ISIS, Hamas, Boko Haram, Al-Shabab, etc

    Hii ni syndicate inayojificha nyuma za mamlaka kwenye mataifa ya uarabuni, kwa kuwaaidi viongozi wa mataifa haya usalama, ulinzi, wa kuendelea kuwepo madarakani au kutowekwa hatiani ili wao wapewe njia rahisi waendeleze itikadi yao ya machafuko na kufadhili vikundi vya kuleta machafuko mashariki...
  12. Yoda

    Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

    Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali? Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  14. Dalton elijah

    Uturuki: Kundi la kigaidi La PKK limetangazwa kuvunjwa na kuweka silaha chini

    Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) kimetangaza Mei 12 kufutwa kwake na kumalizika kwa zaidi ya miongo minne ya mapambano ya...
  15. Echolima1

    Majeshi ya Israel yanaendelea kuharibu mahandaki huko Gaza

    Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel
  16. I

    Kiongozi wa kundi la kigaidi la Isis la nchini Iraq na Syria auwawa.

    Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia Al Sudani alitangaza siku ya Ijumaa kwamba Abdullah Miki Musleh al Rifai ambaye pia hujulikana kama Abu Khadija kiongozi wa kundi la kigaidi cha Isis cha Iraq na Syria ameuwawa. Gaidi huyo ameuawa kwenye opereseheni iliyofanywa na vikosi vya ulinzi vya Iraq kwa...
  17. I

    Lebanon yanasa dola milioni 2.5 kutoka Iran zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Hezbollah.

    Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano". Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5 pesa taslimu zilizokuwa zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Lebanon Hezbollah aliripotiwa kuzuiliwa...
  18. Bulelaa

    Nchi zetu zifanye kama Israel kuyasambaratisha makundi ya kigaidi huku akimpiga na mfadhiri wa makundi hayo!

    Makundi ya Kigaidi huwezi kuyamaliza kama hujadhoofisha nguvu ya mfadhili wao Wengi tumeona vita vya Israel na makundi yaliyokuwa yakiisumbua nchi hiyo IDF hakuwa akipiga wanamgambo tu wa makundi ya kigaidi, bali aliwapiga na wafadhili wao wakuu na kuwadhoofisha kabisa, pale alipopiga mitambo...
  19. ELI COHEN

    Hongera Trump kwa kutia saini Amri ya Utendaji inayoidhinisha kufukuzwa kwa watu wasio raia wa US wanaounga mkono mashirika ya kigaidi kama vile Hamas

    Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
Back
Top Bottom