kifua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kingphisher

    Nahisi maumivu chini ya kifua

    Wakuu, wataalamu. Nimeanza kuhisi maumivu makali sana maeneo ya chini ya kifua. Ni siku ya tano toka nimeanza kuiExperience. Nimekuwa nikitumia dawa za maumivu kutuliza maumivu. Kama kuna anayejua dawa inayowesa kunisaidia anisaidie, maana hii hali nasikia wanasema huwa inatibiwa kienyeji...
  2. kiss ov love

    Msaada kifua kisichopona

    Nimekuwa nikisumbuliwa na kifua na mafua yasiyopona, naombeni msaada mwenye kufahamu dawa au wapi ntapata tiba, Asanteni.
  3. M

    Najipiga kifua mimi ni kijana wa kuigwa, nimekua sasa

    Habari ndugu wana JF. Kwa majina yangu naitwa Mtoto kautaka, a.k.a indaba mtini wena, a.k.a saga manoti, a.k.a mgambo mwenye cheo, lakini pia unaweza ukaniita mmongoli. Niende kwenye mada, leo nimekuja mbele yenu kujigamba kwa kujiamini kabisa kwamba sasa mimi nimekuwa kijana mkamilifu, kijana...
  4. 5

    Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  5. Waufukweni

    PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  6. haszu

    Busara ya Mungu, tunavutiwa na vitu tofauti tofauti, mimi kifua ndio hunibamba sana

    Imagine kila mwanaume angependa wowowo, dunia pasingetosha. Mi napenda wale wanaota English figure sema kifuani pakiwa pamenona, bas ndio ugonjwa wangu. Wadada wengi wanaoshobokewa kua wanashape hawana kwangu mimi nawaona kama wana disability. Mwanamke aliejazia sana nyuma ni kama wale jamaa...
  7. cutelove

    Kuna video inatrendi mtandaoni ya wanafunzi wa like wakiwa na vibe la hatari na mwingine kifua wazi:Kifungo cha miaka 30 kiangaliwe upya

    Hii video inaonenya ni moja ya shule mojawapo hapa Tanzania kwa sababu eneo walilokuwa kwa juu limeandikwa "Samia Suluhu Hassani Domitory Hawa ndo Taifa la leo na la kesho wanacheza wakionesha maungo yao na kujidhalilisha Tunamtaka Waziri Gwajima atoe tamko hii ni shule gani na hatua gani za...
  8. uhurumoja

    Mafua na kifua ya mwaka iko tough ni kupambana

    Hii kitu Kila mwaka inanipa shida mno sema Cha mwaka huu kimekutana na changamoto ya stress za maisha basi ni kupambana hadi sio poa Tuombeane sana
  9. L

    Madaktari wa China wasaidia vijana wa Kitanzania kushinda Kifua Kikuu sugu kisichosikia dawa

    “Leo nimeweza kujumuika na watu wengine wa sehemu mbalimbali duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, hii yote ni kutokana na hatua ya kuokoa maisha ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China visiwani Zanzibar,” alisema Seif Hassan Mbarouk mgonjwa wa kifua kikuu Zanzibar , huku...
  10. Maleven

    Mwanaume unatakiwa kua na kifua kikubwa, na tumbo na kiuno kidogo

    kwa kichwa cha habari hicho, vijana wadogo watawaza physically na watu wazima watawaza Abstractly . Vyote vina mantik
  11. Waufukweni

    Eric Shigongo: Watanzania tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana. Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa. Shigongo...
  12. L

    Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

    Ndugu zangu Watanzania, Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mimi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Dkt. Biteko: Watu Wenye Ualbino ni Muhimu Kama Wengine, Tembeeni Kifua Mbele

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza watu wenye ualbino nchini kutembea kifua mbele na kutojiona wanyonge kutokana na hali yao na badala yake watambue kuwa wao ni muhimu kama ilivyo kwa watu wengine. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo Januari 24, 2025 Jijini Dar es...
  14. MIXOLOGIST

    Jipige kifua mara tatu na kusema; mwaka 2025 nitafanya mambo yafuatayo:

    1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa; 2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi; 3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara; 4. Kupunguza liabilities, mke, mchepuko na mademu kausha damu; 5. KUshiriki kikamilifu kwenye siasa, kuchagua au...
  15. kipara kipya

    Shabiki wa simba tembea kifua mbele atakayesema timu mbovu au mwalimu hafai hajui mpira na sio simba!

    Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza. Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira....... Ila tu...
  16. chiembe

    Waandishi wetu wa habari, Rutto na Museveni wako Arusha, mna kifua cha kuwauliza maswali kuhusu kutekwa kwa Kiiza Byesigye? Labda Pasco Mayala tu!

    Hivi karibuni mwanasiasa wa upinzani Kiiza Byesigye alitekwa nchini Kenya na akasafirishwa mpela mpela mpaka Uganda. Viongozi wa nchi hizo sasa wako Arusha kwa shughuli za jumuiya. Nani atahoji viongozi hao kuhusu utekaji vs mkataba wa jumuiya pamoja na haki za binadamu? Pasco anaweza, kwa...
  17. Bams

    LGE2024 Hii ndiyo maana ya Kifua Kipana cha Waziri Mchengerwa?

    Siku Rais Samia alipomteua Mchengerwa kuwa Waziri wa TAMISEMI, alimsifia kuwa Mchengerwa ana kifua kipana!! Kila mmoja alitoka na tafsiri yake juu ya kauli hiyo ya Rais Samia. Lakini wengi tulidhania kuwa kifua kipana cha Mchengerwa, japo hatujawahi kukiona, Rais alikuwa akimaanisha uwezo wa...
  18. Mtoa Taarifa

    Ripoti WHO: Kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kifua Kikuu duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo ni kubwa zaidi iliyorekodiwa tangu WHO ilipoanza ufuatiliaji wa TB duniani mwaka 1995. Hili...
  19. JanguKamaJangu

    Daktari: Gachagua alikuwa na maumivu ya kifua, anaendelea vizuri

    KENYA: Daktari Mkuu wa Hospitali ya Karen, Dkt. Dan Gikonyo amesema Mwanasiasa Rigathi Gachagua alifikishwa kituoni hapo akiwa na maumivu ya kifua lakini anaendelea vizuri huku akifanyiw avipimo vingine. Amesema “Gachagua alifika Saa Tisa Alasiri, alisema alikuwa na maumivu makali kifuani...
  20. Lady Whistledown

    Serikali yaikingia kifua Polisi Mauaji ya Waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema Polisi pekee hawastahili kulaumiwa kwa vifo vya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano ya 25 Juni, 2024 ambayo yalihusisha majengo ya Bunge la Nairobi yakivamiwa Akiongea mbele ya Kamati ya Usalama wa Taifa ya Bunge, Kindiki...
Back
Top Bottom